Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Uko sawa mkuu hawa watu nimekaa nao hovyo kabisa mtu anaota kitambi kwenye nyumba ya Udongo ni wavivu alafu wana wivu na maendeleo ya wengineKijana wa kiume wa kizigua akishaweza kumiliki nyumba ya fito imeezekwa kwa nyasi(biwi), baiskeli, gobole, shoka na panga. Huyo ameshakua na uwezo wa kuoa.
Wazigua wanapenda sana majina ya kike ya, majabu, mwajabu, masefu, zaitun, habiba nk.
Huu sasa ni udhoefu wangu. Demu wa kizigua hata kama umemuoa, akienda kusalimia kwao kijijini, kama alikua na basha wake lazima atapasha kiporo joto.