Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Sasa hiki mbona kizalamo mkuu!?
[emoji38][emoji38][emoji38] vyafanana!
Kizigua, kizaramo, Kiluguru, kikwere n.k ni Viluga vinavyofanana kwa ukaribu sana!
[emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hiki mbona kizalamo mkuu!?
Wazigua wakike (ambao sio 40+ kiumri) ni wasaliti mamalaya ndiyo tabia yao ya asili yani mkipanga kesho mechi alafu usitokee anafanya juhudi mpaka apigwe hata na mwingine alafu ukienda kesho yake unapiga kama kawaida hawanaga uchoyo
Ndugu mtanzania uyasemayo ni yakweli kabisa ila wazigua ni asili yao kabisa sijui chimbuko la uzao wao ni kina naniKwa ujumla hali hiyo iko kwa makabila yote kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo, tamaa, kutokujielewa , umaskini, ukosefu wa maisha ya imani, n.k!
Kama kuna kabila ambalo lenyewe wametulia kwa 100% tafadhali litaje kwa nyakati hizi za utandawazi!
Tena unaweza kuja kuona afadhali ya hao wazigua!
Sifa moja wapo Waliyonayo ni ile ya Kibanga kumpiga mkoloni
Karibu Kidereko kwa watoto watamu
Mmnh?!
Wacha nitunze maoni yako!
Hao ni mfano wa wachache wanaosababisha wanawake wa kizigua waonekane hawajatulia kumbe utulivu au kutotulia ni tabia ya Mtu mwenyewe!
Hali inatisha!
Ndugu mtanzania uyasemayo ni yakweli kabisa ila wazigua ni asili yao kabisa sijui chimbuko la uzao wao ni kina nani
Sifa moja wapo Waliyonayo ni ile ya Kibanga kumpiga mkoloni
Karibu Kidereko kwa watoto watamu
kibao kata na baikoko....Ngoma za asili ni Kama vile Selo na machindi [emoji14][emoji14][emoji14][emoji450][emoji440][emoji446][emoji441]
sitaki kuamini[emoji15] [emoji15]Ndugu yangu hapa nimetoka kapaaa
Duh..kuna kadem ka tulian ndo nakatafta je unanshaurije??Off course wapo walotulia lakini wapo ambao hawajatulia pia!
Kwa Mgeni akienda pale ningemsihi awe mwangalifu sana la sivyo Mmnh labda Kama naye awe tayari anao!
Hicho kijiji nakijua kipo along barabara ya kwenda Tuliani!
Sio kweliuliwahi kuonya kuwa hawafai hasa wanaume ni legelege, na wanawake wapenda starehe na sio maendeleo (kasoro wewe unajitambua)
mkuu ni Mzigua90 aliwahi kusemaSio kweli
mkuu ni Mzigua90 aliwahi kusema
Duh..kuna kadem ka tulian ndo nakatafta je unanshaurije??
Sasa napata majibu tofauti nachanganyikiwa...kila ntu kwenye uzi huu anatoa maoni yake kuhusu wazgua...mara wapenda ngono na michepuko..haswa wanawake..legelege..hasa wanaume.. Mwingine kasema wachapakazi na wana tabia Nzuri ...what's is what??? ¿?????!?;?? Cc Mzigua90
89% nimetulia ...na ntafanyia ushauri wako kazi haswaa [emoji28]Kwa Wastani wako vizuri idara zote buana [emoji3][emoji3][emoji3]
Lakini pia inategemea Huyo unaemfukuzia umemfahamu ktk mazingira gani!
Hiyo nayo inamata wakati mwingine pale mambo mengine yanapobaki Kama yalivyo!
Ukiingia kichwa kichwa vimeo kweli nao wapo pia!
Halafu utakapokuwa tayari mwambie mkapime kwanza Kabla ya yote kama na Wewe umetulia [emoji108]🏻[emoji108]🏻[emoji108]🏻
Maana kanuni ya Mungu ni kumpa Mtu wa kufanana nae (kitabia)!