"Mzigua" Au aliyeoa uziguani Afunguke hapa!!!!!

Zamani sikujua kuwa Mhina na Muhando, pia ni majina ya watu wa Tanga. Hivi kuna kina Mshana huko Tanga?
 
Wanawake wa kizigua wanatombeka sana mtaani
 
Kijana wa kiume wa kizigua akishaweza kumiliki nyumba ya fito imeezekwa kwa nyasi(biwi), baiskeli, gobole, shoka na panga. Huyo ameshakua na uwezo wa kuoa.

Wazigua wanapenda sana majina ya kike ya, majabu, mwajabu, masefu, zaitun, habiba nk.

Huu sasa ni udhoefu wangu. Demu wa kizigua hata kama umemuoa, akienda kusalimia kwao kijijini, kama alikua na basha wake lazima atapasha kiporo joto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…