Ushawahi mcheat baby wakoAcha kabisaa... nilihama hostel kwetu nikaja kubebwa town ili tu niwe na bby karibu... sema ndo alikua bf wangi wa kwanza ndo maana alinidatisha sana.
Uhuru..
Nimewahi..
....maambelegesi!Muhimu kuchanganya ili kumpa mtu nafasi ya kupumua
Nina degree ya media mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unanitega eeh
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Uhuru..
Pambana Na hali yako unaniharibia concentration ya usail....maambelegesi!
..kumbe umesoma masomo ya kinshakupe!?
....ndo mana mtoto rojo la Bwawani
Do you like sex??Nimewahi..
Achana nae huyo
Basi na mm nmeconclude marinda hunakulikua na party chuoni inafanyika sehemu flani Posta, kufika nikamkuta ex bf wangu yuko na mwanamke ambae nilishasikia wanadate. Jamaa nilikua nampenda bado japo nilimuomba mimi tuachane, basi nilivyoona wamekaa nikaconclude nilichokua nakisikia ni kweli,basi nilianguka chini nikaanza kulia kama msiba mpaka mziki ukazimwa wakijua kuna mtu kafiwa na ukitegemea chuoni watu walikua wananijua jua basi ilikua aibu kesho yake maana nilikua napokea simu za pole kwa msiba kumbe nilikua nalilia mapenz..
Naogopa kulisema humu
I doDo you like sex??
Usiseme mwaya Ndio Maana tunatumia fake idNaogopa kulisema humu
Marinda yanahusika nini hapo mkuu?Basi na mm nmeconclude marinda huna