Orait oraitHata elfunaire sema usiwe mchoyo tu...
Unazungumziaje swala la mwanamke kuwa tegemezi katika mahusiano?Abeeee
Utegemezi wa vip??Unazungumziaje swala la mwanamke kuwa tegemezi katika mahusiano?
aiseee hebu njoo nikwambie [emoji7]Mrefu kidogo, sio mweupe wala sio mweusi, sio mwembamba wala mnene wa kutisha, umbo la kibantu.
Kwani Wasambaa mna wahesabia ktk wavivu?Mdigo akila wali wake na samaki kanywa na maji baridi na kafunga msuli wake huku anacheza bao walaaaa hana wasiwasi wa kutafuta million. Wanaume wa pwani shida yao ni kukosa mke tu baasi, akishapata mke maisha kayamaliza maana uhakika wa kula anajua upo akienda deep sea hakosi samaki wa kurudi nao nyumbani... ndugu zangu wananichoshaga sana!!
Wapi nije???aiseee hebu njoo nikwambie [emoji7]
Wachakarikaji sema wana vitabia vya ajabu ajabu vya wanaume wa Pwani..Kwani Wasambaa mna wahesabia ktk wavivu?
Bro, kwa hiyo hata intavyuuu unasaidia... walai umeweka bampa kona zoteOrait orait
Jichagulie swali nikuulize harakaWachakarikaji sema wana vitabia vya ajabu ajabu vya wanaume wa Pwani..
Wala hata, alikua ananitaka nikaona ngoja nimkubalie kupunguza machungu..Mtu uliecheat nae umewahi kumtamani kabla??..Au hasira zilikutia upofu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahahahhaaaaa....Bro, kwa hiyo hata intavyuuu unasaidia... walai umeweka bampa kona zote
Miss you baby....Jichagulie swali nikuulize haraka
Bro ilikuwa nikuita..Vyema umefika mwenyeweBro, kwa hiyo hata intavyuuu unasaidia... walai umeweka bampa kona zote
Muhusika alijua??...Ulijutia baada ya hasira kuisha??Wala hata, alikua ananitaka nikaona ngoja nimkubalie kupunguza machungu..
Nikajua unanitoroshea tena....Bro ilikuwa nikuita..Vyema umefika mwenyewe
Utegemezi wa kiuchumi..Mwanamke na mwanaume wote wana kipato..Lakini pesa ya mwanamke yake peke yake..Ya mwanaume ya kwake pia..Au mwanamke pesa yake anaitumia kwenye matumizi binafsi ila ya mwanaume ndo itimize mahitaji yote ya kifamilia..Imekaaje kwako??Utegemezi wa vip??
Nimeona nimpe kampani mke wetu bana