Mzigua90 kikaangoni

Mzigua90 kikaangoni

Mdigo akila wali wake na samaki kanywa na maji baridi na kafunga msuli wake huku anacheza bao walaaaa hana wasiwasi wa kutafuta million. Wanaume wa pwani shida yao ni kukosa mke tu baasi, akishapata mke maisha kayamaliza maana uhakika wa kula anajua upo akienda deep sea hakosi samaki wa kurudi nao nyumbani... ndugu zangu wananichoshaga sana!!
Kwani Wasambaa mna wahesabia ktk wavivu?
 
Utegemezi wa vip??
Utegemezi wa kiuchumi..Mwanamke na mwanaume wote wana kipato..Lakini pesa ya mwanamke yake peke yake..Ya mwanaume ya kwake pia..Au mwanamke pesa yake anaitumia kwenye matumizi binafsi ila ya mwanaume ndo itimize mahitaji yote ya kifamilia..Imekaaje kwako??
 
Back
Top Bottom