Shwariii[emoji41]
Haha mchagga unataka kuolewa Na msambaa!Bibi mzigua90
Kuna mahali nimesoma , umesema makabila matatu ambayo huwezi kumshauri mtu aolewe nayo au kuoa wasambaa nimojawapo ya kabila ulilolitaja, nilikuwa naomba uniambie tatizo lao hasa ni nini??
Pleaseeeee
Ulinikwaza.....
Aka, Dada yangu ndiyo kaolewa na msaambaa wiki tatu zilizo ishaa
Sikutaka kukujibu Jana nilinuna.... Na mm nikinunaaa mmmh shughuli yake pevuuu[emoji12]
So wewe ni spinster!!!Aka, Dada yangu ndiyo kaolewa na msaambaa wiki tatu zilizo ishaa
Kwa mm sijawahi kutamani kuolewa.
Hahaa! najua kubembeleza! Hata ununaje!Sikutaka kukujibu Jana nilinuna.... Na mm nikinunaaa mmmh shughuli yake pevuuu[emoji12]
Mmmh.... Hapa utamaliza maneno yoteeee
Nitaolewa sababu ni utamaduniSiamini kama umekwepa kaswali kangu hivi hivi.... haya tu.
Kwanini unadhamiria kuwa na mme? Kwsababu ulizaliwa ukakuta huu mfumo upo au! Nini hasa kinakusukuma kudhamiria kuolewa
Sasa bby unataka tugawane nusu kwa nusu?Mgawanyo wa 70/30
Mfano wewe na mmeo mnapokea Mil 1 kila mmoja..
Mwanaume anachangia
70/100 x 1,000,000 = 700,000...Anabakiwa na 300,000
Mwanamke anachangia
30/100 x 1,000,000 = 300,000..Anabakiwa na 700,000
Teh teh..Mi bado sijampata mwanamke wa kunishikia akili kiasi hiki aisee..
Niliachana rasmi na bf wangu, nikamrudia tena huyo jamaa ndo nikapata na mtoto kiranga kikaniisha basi hatukurudia tena.Ulirudia kukwichkwich na huyo jamaa
Wengi wao huwa hawawazi maendeleo..Bibi mzigua90
Kuna mahali nimesoma , umesema makabila matatu ambayo huwezi kumshauri mtu aolewe nayo au kuoa wasambaa nimojawapo ya kabila ulilolitaja, nilikuwa naomba uniambie tatizo lao hasa ni nini??
Pleaseeeee
Oooh ok pia nimesikia wana midomo/GubuWengi wao huwa hawawazi maendeleo..
Gubu huwezi kulikosa kwa wanaume wa pwani.. hiyo ni pie etiiiOooh ok pia nimesikia wana midomo/Gubu
Mmmh!!! Ila siyo woteGubu huwezi kulikosa kwa wanaume wa pwani.. hiyo ni pie etiii
Kujifariji ipo mwaya.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] sema sio wote!!Mmmh!!! Ila siyo wote
Jifariji mwenyewe kabla hujafarijiwa.