Mzigua90 kikaangoni

Mzigua90 kikaangoni

Bibi mzigua90

Kuna mahali nimesoma , umesema makabila matatu ambayo huwezi kumshauri mtu aolewe nayo au kuoa wasambaa nimojawapo ya kabila ulilolitaja, nilikuwa naomba uniambie tatizo lao hasa ni nini??

Pleaseeeee
 
Siamini kama umekwepa kaswali kangu hivi hivi.... haya tu.

Kwanini unadhamiria kuwa na mme? Kwsababu ulizaliwa ukakuta huu mfumo upo au! Nini hasa kinakusukuma kudhamiria kuolewa
Nitaolewa sababu ni utamaduni
 
Mgawanyo wa 70/30
Mfano wewe na mmeo mnapokea Mil 1 kila mmoja..

Mwanaume anachangia
70/100 x 1,000,000 = 700,000...Anabakiwa na 300,000

Mwanamke anachangia
30/100 x 1,000,000 = 300,000..Anabakiwa na 700,000

Teh teh..Mi bado sijampata mwanamke wa kunishikia akili kiasi hiki aisee..
Sasa bby unataka tugawane nusu kwa nusu?
 
Back
Top Bottom