Upo sahihi,me nilishare dem na Jamaa japo nilijua wanamahusiano but sikuwa na furaha.Sio kweli labda uwe unamchuna ndo atakua mtamu ila ukimpenda kwa dhati utamu utatoka wapi wakati unajua kuna mtu unashare nae dushe..
Nashukuru hapa me simo.AhsanteMzigua, msambaa, mzaramo
hupendi waarab na mashombe?Sipendi na sijawahi kudundwa ila nawapenda tu...
Nina mpenzi...
Sidhani kama nawapenda... huwa napenda wanaume weusi mara nyingi japo nikikutana na mtu ninaempenda huwa siangalii chochote..
Binti amesha jibu.
Masambaa hayakosi humu
Kanificha chumbani, msalimie Asprin mwambie waja leo wa rudi leo. Tanga raha[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bhanaa nashukuru kwa kunijibu, vipi babu yangu umemficha wapi??
cc: Daby
Nilimpeleka ukweni akakataa kurudi eti mpaka aone kibao cha kwaheri.
Mara kibao..
Kawaida hiyo..
Hongeaaa...
Oyooooo nimepata demu humu..jamii foram raha sanaKiasi flani japo navutiwa zaidi na wakurya..
[emoji15] [emoji15] [emoji15] siyo kwa penzi hilo my Bibi, ama kweli huko tanga na ninavyomjua babu yangu yule kwa kupenda mautamu utamu Kwisha habari ykeee....Nilimpeleka ukweni akakataa kurudi eti mpaka aone kibao cha kwaheri.