Mzigua90 kikaangoni

Hii kitu imenigusa moyooni..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] siyo kwa penzi hilo my Bibi, ama kweli huko tanga na ninavyomjua babu yangu yule kwa kupenda mautamu utamu Kwisha habari ykeee....
Cha msingi hapa nikusubiri nyongeza ya wa Jomba[emoji124] [emoji124]
Babu yako kafika mjukuu.....
 
Mbona wasambaa mimi napenda kuwaona kama wachaga? Nawapenda wasambaa wako proud mnoo na kabila lao na waahustle mnoo ujue?? Au nao wasambaa wako na ranks?

Madame S
Kidogo siku hizi wanapambana na wao.. katika makabila ya Tanga wasambaa ndo wanapambana japo hawanaga maendeleo sijui hela zao wanapelekaga wapi..
 
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] nimekuwq kipofu sioni ulichoandika[emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Itabidi mjukuu nikutafutie kungwi akucheze uwe unawashika babu zangu kama mimi nilivyomshika babu yako...
 
Nini kimekufanya uconclude hivyo mkuu?? Anyway ni mawazo yako sio msahafu kwamba uko sahihi..
 
Kidogo siku hizi wanapambana na wao.. katika makabila ya Tanga wasambaa ndo wanapambana japo hawanaga maendeleo sijui hela zao wanapelekaga wapi..
Huko me sifaham maa, napenda tu hustle zao

Madame S
 
mmh!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini kimekufanya uconclude hivyo mkuu?? Anyway ni mawazo yako sio msahafu kwamba uko sahihi..
Leo sijui ninekupenda zaidi. Nimependa unavyowajibu wanaokuchukulia negative.

Dunia sinia mama kila mmoja anapakua anachoweza. [emoji8][emoji8]
 
Leo sijui ninekupenda zaidi. Nimependa unavyowajibu wanaokuchukulia negative.

Dunia sinia mama kila mmoja anapakua anachoweza. [emoji8][emoji8]
Unanipenda zaidi kila siku bby sema leo umepata sababu tuya kufunguka...
 
Leo sijui ninekupenda zaidi. Nimependa unavyowajibu wanaokuchukulia negative.

Dunia sinia mama kila mmoja anapakua anachoweza. [emoji8][emoji8]
Nakupenda pia love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…