Mzigua90 kikaangoni

Mzigua90 kikaangoni

kulikua na party chuoni inafanyika sehemu flani Posta, kufika nikamkuta ex bf wangu yuko na mwanamke ambae nilishasikia wanadate. Jamaa nilikua nampenda bado japo nilimuomba mimi tuachane, basi nilivyoona wamekaa nikaconclude nilichokua nakisikia ni kweli,basi nilianguka chini nikaanza kulia kama msiba mpaka mziki ukazimwa wakijua kuna mtu kafiwa na ukitegemea chuoni watu walikua wananijua jua basi ilikua aibu kesho yake maana nilikua napokea simu za pole kwa msiba kumbe nilikua nalilia mapenz..
Hii kitu imenigusa moyooni..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] siyo kwa penzi hilo my Bibi, ama kweli huko tanga na ninavyomjua babu yangu yule kwa kupenda mautamu utamu Kwisha habari ykeee....
Cha msingi hapa nikusubiri nyongeza ya wa Jomba[emoji124] [emoji124]
Babu yako kafika mjukuu.....
 
Mbona wasambaa mimi napenda kuwaona kama wachaga? Nawapenda wasambaa wako proud mnoo na kabila lao na waahustle mnoo ujue?? Au nao wasambaa wako na ranks?

Madame S
Kidogo siku hizi wanapambana na wao.. katika makabila ya Tanga wasambaa ndo wanapambana japo hawanaga maendeleo sijui hela zao wanapelekaga wapi..
 
Nimekusoma kote nikaelewa na tabia yako.

Una tabia ya kibabe

Hujui kuongea i.e huna kauli nzuri

Una mawazo na hadhi ya ki-tom boy

Una haiba ya kimalaya (samahani nimetumia lugha ngumu)

MAWAZO YANGU

utapata na mtoto wa pili na watatu baba tofauti...

Ukiendelea hivyo na mume utamkosa utakuwa shankupe kama hutabadilika

Embu jifunze tabia nzuri maana naona umalaya unauendeleza sana mwisho hakuna mwanaume atakutamani utakuja kulia kama jini kabula
Nini kimekufanya uconclude hivyo mkuu?? Anyway ni mawazo yako sio msahafu kwamba uko sahihi..
 
Kidogo siku hizi wanapambana na wao.. katika makabila ya Tanga wasambaa ndo wanapambana japo hawanaga maendeleo sijui hela zao wanapelekaga wapi..
Huko me sifaham maa, napenda tu hustle zao

Madame S
 
Nimekusoma kote nikaelewa na tabia yako.

Una tabia ya kibabe

Hujui kuongea i.e huna kauli nzuri

Una mawazo na hadhi ya ki-tom boy

Una haiba ya kimalaya (samahani nimetumia lugha ngumu)

MAWAZO YANGU

utapata na mtoto wa pili na watatu baba tofauti...

Ukiendelea hivyo na mume utamkosa utakuwa shankupe kama hutabadilika

Embu jifunze tabia nzuri maana naona umalaya unauendeleza sana mwisho hakuna mwanaume atakutamani utakuja kulia kama jini kabula
mmh!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini kimekufanya uconclude hivyo mkuu?? Anyway ni mawazo yako sio msahafu kwamba uko sahihi..
Leo sijui ninekupenda zaidi. Nimependa unavyowajibu wanaokuchukulia negative.

Dunia sinia mama kila mmoja anapakua anachoweza. [emoji8][emoji8]
 
Leo sijui ninekupenda zaidi. Nimependa unavyowajibu wanaokuchukulia negative.

Dunia sinia mama kila mmoja anapakua anachoweza. [emoji8][emoji8]
Unanipenda zaidi kila siku bby sema leo umepata sababu tuya kufunguka...
 
Leo sijui ninekupenda zaidi. Nimependa unavyowajibu wanaokuchukulia negative.

Dunia sinia mama kila mmoja anapakua anachoweza. [emoji8][emoji8]
Nakupenda pia love
 
Back
Top Bottom