byongo
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 827
- 1,945
Hii kitu imenigusa moyooni..!kulikua na party chuoni inafanyika sehemu flani Posta, kufika nikamkuta ex bf wangu yuko na mwanamke ambae nilishasikia wanadate. Jamaa nilikua nampenda bado japo nilimuomba mimi tuachane, basi nilivyoona wamekaa nikaconclude nilichokua nakisikia ni kweli,basi nilianguka chini nikaanza kulia kama msiba mpaka mziki ukazimwa wakijua kuna mtu kafiwa na ukitegemea chuoni watu walikua wananijua jua basi ilikua aibu kesho yake maana nilikua napokea simu za pole kwa msiba kumbe nilikua nalilia mapenz..
Sent using Jamii Forums mobile app