Mzigua90 kikaangoni

1)yule bwana aliyekupa ujauzito akatokomea kukupa matunzo kipindi cha ujauzito vipi alijitambua akaja kutekeleza jukumu lake la matunzo?
2)mtoto ulishajifungua?
3)kama ulishajifungua jamaa anakupa matunzo au ndio umekuwa single mama?

-Ndumilakuwili-
1. Alijitambua
2. Nilishajifungua na ana miezi 10 now
3. Niko single mom tunalea tu mtoto wetu ila hakuna kingine kilichobaki kati yetu.
 
Simulia kituko kimoja ulichowahi fanya

Sent using Jamii Forums mobile app
kulikua na party chuoni inafanyika sehemu flani Posta, kufika nikamkuta ex bf wangu yuko na mwanamke ambae nilishasikia wanadate. Jamaa nilikua nampenda bado japo nilimuomba mimi tuachane, basi nilivyoona wamekaa nikaconclude nilichokua nakisikia ni kweli,basi nilianguka chini nikaanza kulia kama msiba mpaka mziki ukazimwa wakijua kuna mtu kafiwa na ukitegemea chuoni watu walikua wananijua jua basi ilikua aibu kesho yake maana nilikua napokea simu za pole kwa msiba kumbe nilikua nalilia mapenz..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…