Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Mazoezi sifanyi, kitambi sijui kama kipo au la, wanaonijua watanisaidia kujibu...we kimbia swali tu.... nimekuuliza unafanya mazoezi au unakitambi?.... au nichague mwenyewe jibu sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app