Chief Ortambo Ikumenye
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 247
- 503
Hiki chama hakijawahi kuwa na shughuli ndogo kwenye chaguzi. Huwa wanaupiga mwingi sana. Na ukweli tu wananchi wengi bado tuna tumaini na hiki chama kama chama pekee cha upinzani Tanzania.
Mwaka 2020 Magufuli na umwamba wake wote alipelekewa moto mkali sana na Tundu Lissu. Sasa kama Magufuli na umafia wake wote na support ya wanyonge Tanzania lakini ilifika mahali alipiga mpaka magoti.
Je, kwa Samia itakuwaje? Halafu na hao wabunge wa CCM huko bungeni walioshindwa kazi????
Patakuwa hapato, 2025 kutakuwa na balaa kubwa sanaaaaaa...