Nakuakikishia haizidi hata $40mil + hela za brt 2 kwasababu wangeweka njia za reli tu na nguzo za Umeme basi tungetumia hata treni za mafuta na tukiweka Umeme tunatumia za UmemeMagu hataweza. Ni very expensive
Mimi nimepanda saba treni za mjini na mabasi yao yapo kama brt na zote zipo on the same lane.Naomba kuona hiyo picha yenye BRT na reli katika barabara moja, ikiwezekana tutajie hiyo nchi ili tujifunze
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho, train zitakuwepo katika barabara zingine, lakini huwezi kuchanganya katika barabara moja, hakuna elimu yoyote ya uchumi inayosema hivyo, hata nchi tajiri kabisa duniani haziwezi kufanya hivyo.Hili linatakiwa magufuli na wizara ilione haraka tena haraka sana inatakiwa tutengeneze matumizi yenye tija ya bwawa letu la umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaelewa maana ya feasibility study?Sababu za msingi kivipi wewe uoni sgr ilikuwaje mpango wa bwawa la Umeme linalojengwa ni sababu kuu ya msingi ,sababu nyingine kujenga njia ya tram hakuzuhii brt maana atutaweka Umeme ila reli na pole za Umeme tu yaani nguzo mambo mengine tunaendelea nayo baadae bwawa likikamilika wacheni ubishi wa kipumbavu
Ujio wa bwawa la nyerere game kuchenji ilibidi masahihisho haya yafanyike
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nikitu cha kawaida treni za mijini kupita njia na magari ya kawaida sasa mnashangaa nini pia mm sikusema treni itumike na mabasi Kwa pamoja bali nimesema wakati tunangoja bwawa la Umeme tunatumia brt likikamilika tunaondoa mabasi tunaweka tram za umemeNaomba kuona hiyo picha yenye BRT na reli katika barabara moja, ikiwezekana tutajie hiyo nchi ili tujifunze
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kitu ni kama hakiwezikani, kwanini unataka kuchanfanya BRT na tram katika barabara moja?, lengo lako ni lipi?. Kama ni kusafirisha watu wengi, kwanini tusiongeze idadi ya mabasi yakapita kila baada ya dakika 5?. Mbona hueleweki?, trams na mabasi kwa pamoja ktk barabara moja?. Hilo ni wazo la ajabu sana.Nakuakikishia haizidi hata $40mil + hela za brt 2 kwasababu wangeweka njia za reli tu na nguzo za Umeme basi tungetumia hata treni za mafuta na tukiweka Umeme tunatumia za Umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata usinge panda wala kuziona mbona nikitu kidogo tu kufumia akili tena akili yq kawaida kabisa kuwa inawezekana tena gharama ni nafuu kuliko kujenga mifumo miwili tofauti brt kivyake kisha kuanza kujenga tena tram kivyake tungeokoa gharama kubwa sana kama tutafanya hivi ninavyo sisitizaMimi nimepanda saba treni za mjini na mabasi yao yapo kama brt na zote zipo on the same lane.
Na zote zinatumia umeme.
Angalia juu ya [emoji589] .View attachment 1310751View attachment 1310752View attachment 1310751
Thanks God u r not in power la sivyo Ungekuwa kama wale jamaa wa Kaskazini ambao baada ya phase I ghafla wakakurupuka kutaka kuweka umeme kisa SGR Tanzania itakuwa ya umeme! Get to know a project starts with feasibility study then impact assessment before setting down on starting a project!Wewe ndiyo ujui wakati tunapanga mfumo wa brt hakukuwa na mpango wa bwawa la Umeme .pia simaanishi lazima tuchanganye bali namaanisha tujenge njia za tram kabisa ili tusije tukaanza kubomoa barabara kuweka njia za tram
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni Europe, ukweli ni kwamba, barabara zenye trams, hawapitishi mabasi, hizo barabara ni kwa ajili ya MAGARI mengine, sio kwa ajili ya "mass public transportation".Mimi nimepanda saba treni za mjini na mabasi yao yapo kama brt na zote zipo on the same lane.
Na zote zinatumia umeme.
Angalia juu ya [emoji589] .View attachment 1310751View attachment 1310752View attachment 1310751
Sasa kwani wadau wanashauri brt zipite mabasi na hizo trams kwa wakati mmoja?Hapa ni Europe, ukweli ni kwamba, barabara zenye trams, hawapitishi mabasi, hizo barabara ni kwa ajili ya MAGARI mengine, sio kwa ajili ya "mass public transportation".
Labda utuambia ni mji gani Europe wanachanganya?. Tumeishi Amsterdam, Brussels, Paris na London, sijaona wakichanganya. Wewe taja ni mji gani ili tuwaulize jamaa waliopo huko muda huu watuambie ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kitu ni kama hakiwezikani, kwanini unataka kuchanfanya BRT na tram katika barabara moja?, lengo lako ni lipi?. Kama ni kusafirisha watu wengi, kwanini tusiongeze idadi ya mabasi yakapita kila baada ya dakika 5?. Mbona hueleweki?, trams na mabasi kwa pamoja ktk barabara moja?. Hilo ni wazo la ajabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshikaji una elimu gani? Na World Bank wangeendelea ku-finance phase II kwa change of mind namna hiyo? Sorry I am not trying to look down on u ila uelewa wako ni mdogo! Any Project has a financing part n for DART has 6 phases n for ur information since there is special track then even more longer buses with capacity nearly to tram can operate!Nakuakikishia haizidi hata $40mil + hela za brt 2 kwasababu wangeweka njia za reli tu na nguzo za Umeme basi tungetumia hata treni za mafuta na tukiweka Umeme tunatumia za Umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabasi yanatumia LNG pretty soon!Hivi wewe unajua gharama ya mafuta kwenye mabasi hayo au utumii akili unajua kwanini yunajenga sgr ya Umeme kweli!!???? Faida ya kutumia treni ni kubwa Mara 3 ya mabasi tumia logic kufikiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku utakuja kujijua ujinga wako ,kwahiyo bwawa la Umeme ni kukurupuka na sgr ya Umeme ni kukurupuka ??? Wewe wakati mwingine uwe tunatumia logic kwenye kufikiliThanks God u r not in power la sivyo Ungekuwa kama wale jamaa wa Kaskazini ambao baada ya phase I ghafla wakakurupuka kutaka kuweka umeme kisa SGR Tanzania itakuwa ya umeme! Get to know a project starts with feasibility study then impact assessment before setting down on starting a project!
Hukurupuki tu kijua kali! Hushangai kila mtu anakupinga! Jifunze kutoka jamaa wa kukurupuka wa LAPSSET, though mradi ulikuwa kwa ajili ya South Sudan na Ethiopia ghafla njiani wamegeuka wanadai mradi utakuwa a call point for post Panamax ships zisiende Singapore na Oman zije Lamu!
Kisa wamebumburuka usingizini na kujikuta waliowategemea hawako interested na hamna inland infrastructure as if there was no planning ahead. Huo ni ujuakali plan za train/tram zipo kuna ya kutoka Pugu na kuna nyingine ilifanyiwa upembuzi yakinifu kuelekea Bagamoyo na nyingine Mbagala/Bongowe.
Kwa hiyo Kwa kichwa na macho na uelewa wako bus na tram ziko katika lane /track moja? Wacha ujinga! Tram ina separate lane kwenye hizo picha! Na bus inatumia lane za magari yote! Nyuma ya hilo bus kuna salon car!Mimi nimepanda saba treni za mjini na mabasi yao yapo kama brt na zote zipo on the same lane.
Na zote zinatumia umeme.
Angalia juu ya 🚎 .View attachment 1310751View attachment 1310752View attachment 1310751
Mshikaji una elimu gani? Na World Bank wangeendelea ku-finance phase II kwa change of mind namna hiyo? Sorry I am not trying to look down on u ila uelewa wako ni mdogo! Any Project has a financing part n for DART has 6 phases n for ur information since there is special track then even more longer buses with capacity nearly to tram can operate!
ndio kwani nani kakataa?Kwa hiyo Kwa kichwa na macho na uelewa wako bus na tram ziko katika lane /track moja? Wacha ujinga! Tram ina separate lane kwenye hizo picha! Na bus inatumia lane za magari yote! Nyuma ya hilo bus kuna salon car!
Tuna gesi pia inaweza kutumika kwa mabasi diversification is the way forward! Unaongea as if JNHPP ita-produce 10,000 MW. Wacha kukurupuka.Siku utakuja kujijua ujinga wako ,kwahiyo bwawa la Umeme ni kukurupuka na sgr ya Umeme ni kukurupuka ??? Wewe wakati mwingine uwe tunatumia logic kwenye kufikili
BRT FALSE 2 TUSIPO FANYA MAANDALIZI YA KUWEKA TRAM ZA UMEME TUTAKUWA TUMEFANYA KOSA KUBWA SANA FALSE ZOTE ZILIZO BAKI ZILITAKIWA KUZINGATIA TRAM
Sent using Jamii Forums mobile app
So una suggest tuyatoe mabasi ya DART nje ya special lane yake yaani tujenge upya vituo nje ili tupishe tram hapo katikati? Ebu nieleweshe vizuri!ndio kwani nani kakataa?
Sasa hilo ni wazo tofauti kabisa, lengo lako ni kupunguza gharama za mafuta sivyo?. Hivi hujasikia kwamba wanataka kuleta mabasi yanayotumia gesi badala ya diesel?, sasa hivi China, Brazil, Chile wameanza kutumia mabasi ya UMEME, na hata Uganda wameanza kutengeneza mabasi ya UMEME, lakini wazo la kuchanganya BRT na reli ktk barabara moja, ni wazo la kiwendawazimu kuanza kusikia 2020.Hivi wewe unajua gharama ya mafuta kwenye mabasi hayo au utumii akili unajua kwanini yunajenga sgr ya Umeme kweli!!???? Faida ya kutumia treni ni kubwa Mara 3 ya mabasi tumia logic kufikiri
Sent using Jamii Forums mobile app