Mzimu wa BRT wazidi kuwatesa Wakenya, viongozi waendelea kutoa ahadi hewa

Sasa hilo ni wazo tofauti kabisa, lengo lako ni kupunguza gharama za mafuta sivyo?. Hivi hujasikia kwamba wanataka kuleta mabasi yanayotumia gesi badala ya diesel?, sasa hivi China, Brazil, Chile wameanza kutumia mabasi ya UMEME, na hata Uganda wameanza kutengeneza mabasi ya UMEME, lakini wazo la kuchanganya BRT na reli ktk barabara moja, ni wazo la kiwendawazimu kuanza kusikia 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshikaji mbishi! Na ishitoshe hybrid buses zinaweza kutumika pia kwenye Lane ya BRT! Labda tumuulize uelewa wake wa electrical buses! lwiva do we need overhead catenary system? Unachong'ang'ania wewe ni kutumia umeme wa JNHPP badala ya LNG! Tell us how r hybrid buses better than LNG buses?
 
Mshikaji mbishi! Na ishitoshe hybrid buses zinaweza kutumika pia kwenye Lane ya BRT! Labda tumuulize uelewa wake wa electrical buses!
Inawezekana ana wazo zuri, lakini hajafikiria kwa undani zaidi, kifupi amekurupuka japo lengo lake ni jema. Yeye anachoangalia zaidi ni UMEME wa JNHPP utumike ili kupunguza gharama za diesel, lakini hajafikiria gharama za ujenzi wa reli, na "logistic za kuendesha trains na reli katika barabara moja, sijawahi kuona reli na barabara zikiwa katika lane moja duniani, hiki ni kichekesho cha kuanzia mwaka2020.

Kingine hata hayo mabasi yanaweza kutumia umeme ni ku-designate electric charging points! If the case is to make use of hydropower from Rufiji! Mimi ningependa mabasi yatumie LNG/LPG fuel maana bado bomba la gesi la Mtwara ni underutilised! Tuweke pump stations at their parking lots asubuhi full tank ikiisha unajaza tena it is easy n more practical!
 
Mpatie hii video

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii ni sababu ya ufinyu wa nafasi na in very few places na sababu ni kwa vile hamna nafasi! Not best practice in traffic management! Ikitokea ajali ya magari ama foleni tram hukwama na kuondoa maana nzima ya seamless tranaport! Na kuna suala la tabia ya watumia barabara ukiweka hii Dar ni kupoteza resources hamna atakayepisha tram!
 
Tuna gesi pia inaweza kutumika kwa mabasi diversification is the way forward! Unaongea as if JNHPP ita-produce 10,000 MW. Wacha kukurupuka.

Na treni zitakapoanza zutatumia uo umeme with a plan ahead! Ila DART iache kama ilivyo! Nimekuuliza elimu yako baba!? Ya kubadili mradi wa fedha za World Bank angani phase II! Na wakaendelea kuu-finance!

Ujinga ni kazi kwani kuna ubaya gani kufanya kitu chenye vision kubwa na tija kubwa zaidi ? Faida nyingine ya tram hazina control ya usikani inayo tegemea zaidi dereva kuwa makini kutoka nje ya njia pia gharama ya ukarabati mataili kuisha au kupasuka na kusababisha ajali hakuna Kwa tram
Hivyo tram ni bora kuliko brt

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So una suggest tuyatoe mabasi ya DART nje ya special lane yake yaani tujenge upya vituo nje ili tupishe tram hapo katikati? Ebu nieleweshe vizuri!
Wewe mbona unajidai amnazo unajua kuna false 2,3,4,5 ambazo bado azijajengwa tunacho pendekeza ni hiki wakati wa ujenzi wa hizi false zilizo baki wazingatie tram za Umeme ,sasa kwani mabasi ya hizi false tulisha nunua hadi unauliza Maswali ya kijinga ? Siku wakenya wakijenga tram ndiyo watakuwa wametupiga bao la matako ndiyo na sisi tutaanza kutambua ujinga wetu kama sisi tulivyo wapiga kwenye sgr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo ni kuonyesha uwezekano tunacho zungumzia hapa ni tram za Umeme zinatija kuliko brt hivyo tuweke mfumo wa tram kabisa ili kuepuka kubomoabomoa barabara zetu Mara Kwa Mara ,tukijenga brt iwe na reli chini ili tuweze kuweka tram siku zijazo
Hii ni sababu ya ufinyu wa nafasi na in very few places na sababu ni kwa vile hamna nafasi! Not best practice in traffic management! Ikitokea ajali ya magari ama foleni tram hukwama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why Trams Cut Through Traffic But Buses Cannot
This ability is one of the main reasons car drivers will use trams
See also: Why Trams Cut Through Traffic But Buses Cannot | Bath & Bristol Trams
Trams do not need separate segregated lanes – they use the same road space as cars. This car in Lisbon, below left, is reversing, normal practice in this city where narrow streets are happily shared with trams.

In Croydon above the trams travel on the same main road as do other vehicles, no special lanes are needed.
Trams don’t get stuck in traffic is because many of the previous car drivers have vanished inside the tram – because they see it as a quicker, faster and more spacious option.
According to B&NES every day over 73,000 people travel into Bath by car. A modern tram can take 350 people per tram, who could be mainly ex car drivers. With a 6 minute frequency and 11 routes this means that trams could deliver around 40,000 people in one hour, 80,000 people in two hours. This is more than the entire number of people entering Bath each day.
Car drivers find cars attractive because they are spacious, every 6 minutes and reliable. So if they all went in by tram there would be no congestion and the trams would run in free – this is clearly unrealistic, but obviously trams will take a huge number of car drivers off the roads making free space for the tram. This is what happens in other cities.
Put another way, a tram uses about 1/80th of the road space of the queue of cars that the passengers would take up if they had chosen to drive.
With the reduced numbers of cars because previous drivers are now in the tram, it is possible to apply “Green Wave” Traffic Light Pre-emption.

“Green Wave” Traffic Light Pre-emption
The above video is not in fact quite how the situation would be addressed in Bath – the video has the tram on a dedicated route whereas in Bath the tram will share the single line road space with cars.
In the present situation with all the incoming roads jammed with cars it makes no difference to a bus caught in the traffic if it can only turn the lights green when it arrives at the light because it has already had to queue through the slow moving car stream.
With trams the situation is different. First of all, each tram can take up to 350 car drivers off the road, meaning there is a large space created in the road so the tram itself is less inhibited by traffic. But secondly, due to the large multiple doors and off-tram ticketing, boarding can be as short as 10 seconds. This means the tram stops in the road and does not have to pull over like a bus which has much longer boarding times as people queue through the single door and pay the driver.
So when the tram has picked up passengers, the road space in front has not been filled with cars, as happens with the bus and the tram does not have to fight its way back into the stream of cars.
Another simulation traffic light preemption

TRAM TRAVELLING FROM BATHFORD TO BATH – EXAMPLE

When say the tram from Bathford approaches the London Road at the A46 junction roundabout, sensors linked to a central computer will have cleared any cars from in front of it by setting the lights green and holding cars on the slip roads by setting lights to red a sufficient number of seconds before the tram arrives.
The computer will also have set the next set along the London Road to green also sufficiently early so that as the tram crosses the A46 the next section of the London Road has cleared of cars. Thus when the tram crosses the A46 the driver sees a clear road ahead with any cars in front moving through the next light. As soon as the tram, plus any following bus passes the A46, the lights revert to their normal cycle.
All other lights on the way into the city can also be preemptively set in a similar manner meaning the tram gets a completely clear run. This cannot be done effectively for buses because the traffic stream is more or less continuous.
It’s important to stress that this does not in fact delay the cars – they are already subject to waiting times at traffic light and all the “Green Wave” Traffic Light Pre-emption does is to slightly shift timings so the cars do not experience any extra delay. But for those drivers who will still choose to drive in they will experience a much freer journey because the tram will have taken so many cars off the road.

Another important point is that this means that both rural and local buses can be timed to arrive immediately after the tram so that they can follow it in, so that they are not subject to delay once they arrive at Bath, and this will encourage more drivers to take the busses in because it will be much cheaper and quicker.

As an example of how this might work in Bath see: How Green Wave traffic light pre-emption gets trams through traffic even on shared road space | Bath & Bristol Trams
Wewe mbona unajidai amnazo unajua kuna false 2,3,4,5 ambazo bado azijajengwa tunacho pendekeza ni hiki wakati wa ujenzi wa hizi false zilizo baki wazingatie tram za Umeme ,sasa kwani mabasi ya hizi false tulisha nunua hadi unauliza Maswali ya kijinga ? Siku wakenya wakijenga tram ndiyo watakuwa wametupiga bao la matako ndiyo na sisi tutaanza kutambua ujinga wetu kama sisi tulivyo wapiga kwenye sgr

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuliza uelewa wako wa kuanza project ya mabasi then ku-switch phase II kwenye tram! Seamless movement inawezekana vp? Halafu nazidi kuwadharau kwenda kuleta clip ya tram na magari on one lane ati in trying to substantiate! Tram moja inabeba watu 90 na DART ina mabasi yanayoweza kubeba abiria 140! Sioni economic benefits ya trams kama sababu ni kutumia umeme wakati hybrid buses zipo!
 
Faida zipo nyingi zikiwemo za utalii na kuhusu kuswitch false II ilo ni swala la mainjinia siyo lako na kuhusu tija waulize wazungu kwanini wanapendekeza tram badala ya brt na kuhusu uwezo wa kubeba habilia ni swala la viti vilivyo pangwa hakuna logic inayo zuia tram kuchukua habilia wengi

Kaka jaribu kuwa muelewa, hapo ni trams zikichanganyika na private vehicles. Tunachopinga ni Kuwepo na " Two means of public mass transportation system using the same lane", hicho ni kitu hakipo duniani. BRT & private vehicles, OR trams & Private vehicles. Not BRT & Trams on the same lane.

Nimeuliza elimu yako! Get to know why dedicated Lane is a best solution for mass transport as far as traffic management is concerned. Na kama nilivyokuambia some of DART buses can carry up to 140 PAX while tram (usually two wagons) carries up to 90 PAX! IT'S a matter of Cost n Benefit Analysis i. e. build a dedicated Lane for buses n pay less! If it was tram then had to be a choice from onstart!
 
Ujinga ni kazi kwani kuna ubaya gani kufanya kitu chenye vision kubwa na tija kubwa zaidi ? Faida nyingine ya tram hazina control ya usikani inayo tegemea zaidi dereva kuwa makini kutoka nje ya njia pia gharama ya ukarabati mataili kuisha au kupasuka na kusababisha ajali hakuna Kwa tram
Hivyo tram ni bora kuliko brt

Sent using Jamii Forums mobile app

Na maana yake utapaswa kusimama kila tram itakaposimama huruhusiwi ku-overtake kisheria! Waliowahi kuendesha Europe wanajua hilo!
 
Nani kakuambia kwamba tuwe na njia Mbili mm nimesema tunaweka kujiandaa na tram kwenye ujenzi wa brt tunayo jenga Kwa kuweka njia za tram mbona unakichwa kigumu kama funza ,Na wakati tunatumia brt muda ukifika tunabadili na kuweka tram pia usiseme aiwezekani brt na tram kutumia njia moja Kwa sababu njia ya tram unaweza kutumia na BRT hata na magari ya kawaida Ila njia ya BRT uwezi tumia tram sababu hakuna reli Ila magari ya kawaida yanaweza kutumia njia ya BRT sasa nacho sema mm njia za brt ziwekewe line za tram kabisa ili kuepuka Kubomoa tutakapo taka kujenga tram system
Kaka jaribu kuwa muelewa, hapo ni trams zikichanganyika na private vehicles. Tunachopinga ni Kuwepo na " Two means of public mass transportation system using the same lane", hicho ni kitu hakipo duniani. BRT & private vehicles, OR trams & Private vehicles. Not BRT & Trams on the same lane.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faida zipo nyingi zikiwemo za utalii na kuhusu kuswitch false II ilo ni swala la mainjinia siyo lako na kuhusu tija waulize wazungu kwanini wanapendekeza tram badala ya brt na kuhusu uwezo wa kubeba habilia ni swala la viti vilivyo pangwa hakuna logic inayo zuia tram kuchukua habilia wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hutaji ni nchi gani ambako trams na BRT zinatumia lane moja?, ninakuhakikishia hakuna nchi yoyote duniani inayochanga trams na BRT ktk barabara moja.

Hivi hujui kwanini trams au train zinabeba watu wengi au mzigo mkubwa kuliko MAGARI?, siri ni uwezo mdogo wa tyres kuhimili mzigo mkubwa na uwezo wa barabara ukilinganisha na chuma cha reli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nanukuu kutoka maktaba "Huo mfumo haupo kenya pekeake, nchi nyingi sana zime dedicate special lanes kw kupaka rangi sehemu flani ya barabara..

Au hujatembea jomba"

😂😂😂
IMG_20200103_103538_013.JPG
 
Back
Top Bottom