Mzimu wa BRT wazidi kuwatesa Wakenya, viongozi waendelea kutoa ahadi hewa

Naomba kuona hiyo picha yenye BRT na reli katika barabara moja, ikiwezekana tutajie hiyo nchi ili tujifunze

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimepanda saba treni za mjini na mabasi yao yapo kama brt na zote zipo on the same lane.
Na zote zinatumia umeme.
Angalia juu ya 🚎 .
0B933C9A-675E-44A0-9B50-0B80B88DE511.jpeg
82293C5E-D24A-4A5B-B269-37399A9C59D1.jpeg
0B933C9A-675E-44A0-9B50-0B80B88DE511.jpeg
 
Hili linatakiwa magufuli na wizara ilione haraka tena haraka sana inatakiwa tutengeneze matumizi yenye tija ya bwawa letu la umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho, train zitakuwepo katika barabara zingine, lakini huwezi kuchanganya katika barabara moja, hakuna elimu yoyote ya uchumi inayosema hivyo, hata nchi tajiri kabisa duniani haziwezi kufanya hivyo.

Train ni nzuri kwasababu zinabeba watu wengi kwa wakati mmoja, lakini ni ghali Sana kuzijenga na kuziendesha, kumbuka behewa moja la train ni sawa na mabei ya mabasi sita. Pia train likiharibika njiani, kulitoa ili kufungua njia inaweza kuchukua masaa 6(logistically not compatible)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu za msingi kivipi wewe uoni sgr ilikuwaje mpango wa bwawa la Umeme linalojengwa ni sababu kuu ya msingi ,sababu nyingine kujenga njia ya tram hakuzuhii brt maana atutaweka Umeme ila reli na pole za Umeme tu yaani nguzo mambo mengine tunaendelea nayo baadae bwawa likikamilika wacheni ubishi wa kipumbavu
Ujio wa bwawa la nyerere game kuchenji ilibidi masahihisho haya yafanyike

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaelewa maana ya feasibility study?
 
Naomba kuona hiyo picha yenye BRT na reli katika barabara moja, ikiwezekana tutajie hiyo nchi ili tujifunze

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nikitu cha kawaida treni za mijini kupita njia na magari ya kawaida sasa mnashangaa nini pia mm sikusema treni itumike na mabasi Kwa pamoja bali nimesema wakati tunangoja bwawa la Umeme tunatumia brt likikamilika tunaondoa mabasi tunaweka tram za umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuakikishia haizidi hata $40mil + hela za brt 2 kwasababu wangeweka njia za reli tu na nguzo za Umeme basi tungetumia hata treni za mafuta na tukiweka Umeme tunatumia za Umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kitu ni kama hakiwezikani, kwanini unataka kuchanfanya BRT na tram katika barabara moja?, lengo lako ni lipi?. Kama ni kusafirisha watu wengi, kwanini tusiongeze idadi ya mabasi yakapita kila baada ya dakika 5?. Mbona hueleweki?, trams na mabasi kwa pamoja ktk barabara moja?. Hilo ni wazo la ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimepanda saba treni za mjini na mabasi yao yapo kama brt na zote zipo on the same lane.
Na zote zinatumia umeme.
Angalia juu ya [emoji589] .View attachment 1310751View attachment 1310752View attachment 1310751
Hata usinge panda wala kuziona mbona nikitu kidogo tu kufumia akili tena akili yq kawaida kabisa kuwa inawezekana tena gharama ni nafuu kuliko kujenga mifumo miwili tofauti brt kivyake kisha kuanza kujenga tena tram kivyake tungeokoa gharama kubwa sana kama tutafanya hivi ninavyo sisitiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndiyo ujui wakati tunapanga mfumo wa brt hakukuwa na mpango wa bwawa la Umeme .pia simaanishi lazima tuchanganye bali namaanisha tujenge njia za tram kabisa ili tusije tukaanza kubomoa barabara kuweka njia za tram

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks God u r not in power la sivyo Ungekuwa kama wale jamaa wa Kaskazini ambao baada ya phase I ghafla wakakurupuka kutaka kuweka umeme kisa SGR Tanzania itakuwa ya umeme! Get to know a project starts with feasibility study then impact assessment before setting down on starting a project!

Hukurupuki tu kijua kali! Hushangai kila mtu anakupinga! Jifunze kutoka jamaa wa kukurupuka wa LAPSSET, though mradi ulikuwa kwa ajili ya South Sudan na Ethiopia ghafla njiani wamegeuka wanadai mradi utakuwa a call point for post Panamax ships zisiende Singapore na Oman zije Lamu!

Kisa wamebumburuka usingizini na kujikuta waliowategemea hawako interested na hamna inland infrastructure as if there was no planning ahead. Huo ni ujuakali plan za train/tram zipo kuna ya kutoka Pugu na kuna nyingine ilifanyiwa upembuzi yakinifu kuelekea Bagamoyo na nyingine Mbagala/Bongowe.
 
Mimi nimepanda saba treni za mjini na mabasi yao yapo kama brt na zote zipo on the same lane.
Na zote zinatumia umeme.
Angalia juu ya [emoji589] .View attachment 1310751View attachment 1310752View attachment 1310751
Hapa ni Europe, ukweli ni kwamba, barabara zenye trams, hawapitishi mabasi, hizo barabara ni kwa ajili ya MAGARI mengine, sio kwa ajili ya "mass public transportation".

Labda utuambia ni mji gani Europe wanachanganya?. Tumeishi Amsterdam, Brussels, Paris na London, sijaona wakichanganya. Wewe taja ni mji gani ili tuwaulize jamaa waliopo huko muda huu watuambie ukweli.

Sasa kwani wadau wanashauri brt zipite mabasi na hizo trams kwa wakati mmoja?

Inwezekana kuna ligha gongana sehemu
 
Hivi wewe unajua gharama ya mafuta kwenye mabasi hayo au utumii akili unajua kwanini yunajenga sgr ya Umeme kweli!!???? Faida ya kutumia treni ni kubwa Mara 3 ya mabasi tumia logic kufikiri
Hicho kitu ni kama hakiwezikani, kwanini unataka kuchanfanya BRT na tram katika barabara moja?, lengo lako ni lipi?. Kama ni kusafirisha watu wengi, kwanini tusiongeze idadi ya mabasi yakapita kila baada ya dakika 5?. Mbona hueleweki?, trams na mabasi kwa pamoja ktk barabara moja?. Hilo ni wazo la ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuakikishia haizidi hata $40mil + hela za brt 2 kwasababu wangeweka njia za reli tu na nguzo za Umeme basi tungetumia hata treni za mafuta na tukiweka Umeme tunatumia za Umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshikaji una elimu gani? Na World Bank wangeendelea ku-finance phase II kwa change of mind namna hiyo? Sorry I am not trying to look down on u ila uelewa wako ni mdogo! Any Project has a financing part n for DART has 6 phases n for ur information since there is special track then even more longer buses with capacity nearly to tram can operate!
 
Hivi wewe unajua gharama ya mafuta kwenye mabasi hayo au utumii akili unajua kwanini yunajenga sgr ya Umeme kweli!!???? Faida ya kutumia treni ni kubwa Mara 3 ya mabasi tumia logic kufikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Mabasi yanatumia LNG pretty soon!
 
Thanks God u r not in power la sivyo Ungekuwa kama wale jamaa wa Kaskazini ambao baada ya phase I ghafla wakakurupuka kutaka kuweka umeme kisa SGR Tanzania itakuwa ya umeme! Get to know a project starts with feasibility study then impact assessment before setting down on starting a project!

Hukurupuki tu kijua kali! Hushangai kila mtu anakupinga! Jifunze kutoka jamaa wa kukurupuka wa LAPSSET, though mradi ulikuwa kwa ajili ya South Sudan na Ethiopia ghafla njiani wamegeuka wanadai mradi utakuwa a call point for post Panamax ships zisiende Singapore na Oman zije Lamu!

Kisa wamebumburuka usingizini na kujikuta waliowategemea hawako interested na hamna inland infrastructure as if there was no planning ahead. Huo ni ujuakali plan za train/tram zipo kuna ya kutoka Pugu na kuna nyingine ilifanyiwa upembuzi yakinifu kuelekea Bagamoyo na nyingine Mbagala/Bongowe.
Siku utakuja kujijua ujinga wako ,kwahiyo bwawa la Umeme ni kukurupuka na sgr ya Umeme ni kukurupuka ??? Wewe wakati mwingine uwe tunatumia logic kwenye kufikili
BRT FALSE 2 TUSIPO FANYA MAANDALIZI YA KUWEKA TRAM ZA UMEME TUTAKUWA TUMEFANYA KOSA KUBWA SANA FALSE ZOTE ZILIZO BAKI ZILITAKIWA KUZINGATIA TRAM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa world bank wangepingaje wakati gharama Mpya tunaweka Kwa Pesa yetu acha akili za kukalili Mara haiwezekani mara world bank hata ueleweki mile nacho jaribu kuishauri serikali ni kuepuka makosa makosa kwenye miradi yanayo sababisha kubomoa na kujenga miundo mbinu yetu Mara Kwa Mara
NI VEMA TUJENGE NJIA YA BRT IKIWA PAMOJA NA RELI KABISA KWA SABABU YA BWAWA LA UMEME TUNALO JENGA ILI OUONDOKANA NA MATUMIZI YA MAFUTA TUNAYO NUNUA KWA PESA ZA KIGENI NA UCHAFUZI WA MAZINGIRA
Mshikaji una elimu gani? Na World Bank wangeendelea ku-finance phase II kwa change of mind namna hiyo? Sorry I am not trying to look down on u ila uelewa wako ni mdogo! Any Project has a financing part n for DART has 6 phases n for ur information since there is special track then even more longer buses with capacity nearly to tram can operate!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Kwa kichwa na macho na uelewa wako bus na tram ziko katika lane /track moja? Wacha ujinga! Tram ina separate lane kwenye hizo picha! Na bus inatumia lane za magari yote! Nyuma ya hilo bus kuna salon car!
ndio kwani nani kakataa?
 
Siku utakuja kujijua ujinga wako ,kwahiyo bwawa la Umeme ni kukurupuka na sgr ya Umeme ni kukurupuka ??? Wewe wakati mwingine uwe tunatumia logic kwenye kufikili
BRT FALSE 2 TUSIPO FANYA MAANDALIZI YA KUWEKA TRAM ZA UMEME TUTAKUWA TUMEFANYA KOSA KUBWA SANA FALSE ZOTE ZILIZO BAKI ZILITAKIWA KUZINGATIA TRAM

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna gesi pia inaweza kutumika kwa mabasi diversification is the way forward! Unaongea as if JNHPP ita-produce 10,000 MW. Wacha kukurupuka.

Na treni zitakapoanza zutatumia uo umeme with a plan ahead! Ila DART iache kama ilivyo! Nimekuuliza elimu yako baba!? Ya kubadili mradi wa fedha za World Bank angani phase II! Na wakaendelea kuu-finance!
 
Hivi wewe unajua gharama ya mafuta kwenye mabasi hayo au utumii akili unajua kwanini yunajenga sgr ya Umeme kweli!!???? Faida ya kutumia treni ni kubwa Mara 3 ya mabasi tumia logic kufikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hilo ni wazo tofauti kabisa, lengo lako ni kupunguza gharama za mafuta sivyo?. Hivi hujasikia kwamba wanataka kuleta mabasi yanayotumia gesi badala ya diesel?, sasa hivi China, Brazil, Chile wameanza kutumia mabasi ya UMEME, na hata Uganda wameanza kutengeneza mabasi ya UMEME, lakini wazo la kuchanganya BRT na reli ktk barabara moja, ni wazo la kiwendawazimu kuanza kusikia 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom