Nani kakuambia vitumike pamojaN u consider ur argument having logic? U simply don't grasp what u r told! Hilo lilitakiwa lifanyike toka phase I. La sivyo tutajikuta kwenye mradi wa BRT Thika Superhighway! Ama twende na tram hizi! Nadhani zitaendana na system iliyopo at minimum modification! Umeelewa mzee thamani ya fedha muhimu! Hata vituo vinafanana na vyetu! Lane strict for tram n DART buses n will be using the same traffic control system yasigongane!
Hapo ndipo unapokosea. Njia ya BRT sio barabara ya kawaida, kuna miundombinu inayojitegemea kwa BRT tu. Wewe unazungumzia BRT kama ya Kenya ambayo hawahafanya lolote zaidi ya kuchora barabara?, kumbuka Tanzania imekopa $160M kwa ajili ya miundombinu ya Phase one tu, sasa utasemaje kwamba unaweza changanya BRT na reli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshinda baba! 🙏
Umeshinda baba! 🙏
Tupe mfano wa nchi iliyojenga barabara za BRT kwanza, kisha wakazitumia kwa trams, au waliojenga barabara za BRT baadae njia hizo hizo zikatumika kwa trams. Labda Tanzania ndio iwe nchi ya kwanza hapa duniani, inawezekana, ila uchumi wetu kwa sasa hauruhusi hilo kufanyika.
Tupe mfano wa nchi iliyojenga barabara za BRT kwanza, kisha wakazitumia kwa trams, au waliojenga barabara za BRT baadae njia hizo hizo zikatumika kwa trams. Labda Tanzania ndio iwe nchi ya kwanza hapa duniani, inawezekana, ila uchumi wetu kwa sasa hauruhusi hilo kufanyika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka, unaona jinsi tunavyoijadili hii mada kati ya Mimi, Gezaulole na lwiva?, tunajikita kwenye uwezekano wa kutumia reli na BRT katika njia moja, hatulinganishi na Kenya hata kidogo. Sababu ni kwamba wakenya hawajaingilia huu mjadala, wakiingilia tu utaona jinsi utakavyoharibika. Hawa jamaa wanapenda sana kujikweza na kuhisifia bila facts zozote.Huu uzi ungeazia comment namba #7.
Lini tutajadiliana kuhusu mipango na miradi ya Tanzania bila kujali Kenya wanafanya nini?
Unavopeleka mwanao shule flani, hauulizi wa jirani wanasomea wapi. Unawapeleka hiyo shule coz kwa kipato chako hiyo ndo shule bora zaidi..... so
When you buy or build something, enjoy it for what it is not becoz your neighbour doesn't have it or cant afford it..... What it he eventually affords it, do you stop enjoying yours?! Hii mindset sijui ni nature ya binadam au ni ya waafrica au tatizo ni elimu tu.
Or could it be I'm the one missing the point and thats what Jf is really about!!!
Kuna tofauti kati ya tram na train I will prefer JNIA kuunganishwa na SGR train ya Pugu-city center! I believe that plan is already there n as I don't see the difference btn tram n the planned DART along Nyerere Road!Ila mi nashauri kama serikali inaweza kule nyerere road iwekwe tram halafu iunganishwe na airport
Kwakweli airport kukosa japo BRT ni fedheha sn wageni hasa watalii wanatoka uko kwao umbali mrefu wanakuja apa wakutane na foleni co kweli kabsaIla mi nashauri kama serikali inaweza kule nyerere road iwekwe tram halafu iunganishwe na airport
Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Kaka, unaona jinsi tunavyoijadili hii mada kati ya Mimi, Gezaulole na lwiva?, tunajikita kwenye uwezekano wa kutumia reli na BRT katika njia moja, hatulinganishi na Kenya hata kidogo. Sababu ni kwamba wakenya hawajaingilia huu mjadala, wakiingilia tu utaona jinsi utakavyoharibika. Hawa jamaa wanapenda sana kujikweza na kuhisifia bila facts zozote.
Jambo linalowafanya wasichangie huu mjadala ni kwasababu
1)BRT ni mwiba mkali sana kwao, hawana la kujitetea
2)Wamegundua hapa yupo Gezaulole na Joto la jiwe, wanatuita wazee wa kamati ya roho chafu, huwa hatuwakopeshi, tunawarudishia "change" zao papo kwa papo
Hawa jamaa kama wangeacha tabia yao ya kupenda sifa za kijinga, mbona tungekuwa na mijadala mizuri tu hapa JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe asilimai zote kuhusu mtiririko wa mjadala ulivyooenda, na ndo maana nikasema uzi ungeanzia comment namba #7. comment zilizotangulia ni zilezile za siku zote, hata uzi wenyewe uliletwa kwa kuangalia wanachofanya wakenya.Kaka, unaona jinsi tunavyoijadili hii mada kati ya Mimi, Gezaulole na lwiva?, tunajikita kwenye uwezekano wa kutumia reli na BRT katika njia moja, hatulinganishi na Kenya hata kidogo. Sababu ni kwamba wakenya hawajaingilia huu mjadala, wakiingilia tu utaona jinsi utakavyoharibika. Hawa jamaa wanapenda sana kujikweza na kuhisifia bila facts zozote.
Jambo linalowafanya wasichangie huu mjadala ni kwasababu
1)BRT ni mwiba mkali sana kwao, hawana la kujitetea
2)Wamegundua hapa yupo Gezaulole na Joto la jiwe, wanatuita wazee wa kamati ya roho chafu, huwa hatuwakopeshi, tunawarudishia "change" zao papo kwa papo
Hawa jamaa kama wangeacha tabia yao ya kupenda sifa za kijinga, mbona tungekuwa na mijadala mizuri tu hapa JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya is bankable they need around $300 mln to implement what Dar has done n is doing so far! That is DART phase I n II! After chinese' Thika superhighway is done n operating ofcourse! 🤣 👆
Ni wazi hata huelewi historia ya BRT na jinsi Bogota walivyokuja na aina hii ya usafirishaji badala ya kutumia trams na subways.Nani kakuambia kwamba tuwe na njia Mbili mm nimesema tunaweka kujiandaa na tram kwenye ujenzi wa brt tunayo jenga Kwa kuweka njia za tram mbona unakichwa kigumu kama funza ,Na wakati tunatumia brt muda ukifika tunabadili na kuweka tram pia usiseme aiwezekani brt na tram kutumia njia moja Kwa sababu njia ya tram unaweza kutumia na BRT hata na magari ya kawaida Ila njia ya BRT uwezi tumia tram sababu hakuna reli Ila magari ya kawaida yanaweza kutumia njia ya BRT sasa nacho sema mm njia za brt ziwekewe line za tram kabisa ili kuepuka Kubomoa tutakapo taka kujenga tram system
Sent using Jamii Forums mobile app
eliakeem, tuambie ni nchi gani ambayo inatumia trams na BRT katika barabara moja. Mimi nilivyoona Europe ni kwamba, trams zinatumia barabara moja na private other vehicles, lakini sio another mass public transportation vehicles, hakuna maana yoyote kwa barabara moja uwe na aina mbili tofauti ya public transportation, hiyo ni duplication of project inayosababisha " unhealthy competition ".Inawezekana kuwa na light train au trammer kati ya barabara za brt. In Europe it's not uncommon to have such combination.
Wewe unaongelea historia mm naongelea engineering workNi wazi hata huelewi historia ya BRT na jinsi Bogota walivyokuja na aina hii ya usafirishaji badala ya kutumia trams na subways.
Tatizo lako ni kutokuwa mbunifu ndiyo maana ya ilo swali lako la nchi gani inatumia tram na brt hiyo ni kazi ya mainjinia kinacho hitajika ni mpungatu kazi ifanyike hakuna ugumu wowoteeliakeem, tuambie ni nchi gani ambayo inatumia trams na BRT katika barabara moja. Mimi nilivyoona Europe ni kwamba, trams zinatumia barabara moja na private other vehicles, lakini sio another mass public transportation vehicles, hakuna maana yoyote kwa barabara moja uwe na aina mbili tofauti ya public transportation, hiyo ni duplication of project inayosababisha " unhealthy competition ".
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu ya kukuuliza historia ya brt ni kujua kama unaelewa sababu za mfumo huu kuanzishwa.Wewe unaongelea historia mm naongelea engineering work.