Mzimu wa BRT wazidi kuwatesa Wakenya, viongozi waendelea kutoa ahadi hewa

Mzimu wa BRT wazidi kuwatesa Wakenya, viongozi waendelea kutoa ahadi hewa

Inawezekana kuwa na light train au trammer kati ya barabara za brt. In Europe it's not uncommon to have such combination.
Unaelewa argument iliyopo? lwiva ame-suggest phase II DART iwe na tram kwa vile itaongeza matumizi ya umeme wa JNHPP! Na operationwise, tumemwambia haina haja maana in reality mabasi ya DART ni tram bila reli!

Na itakuwa kuongeza gharama zisizo na maana kusababisha non seamless transportation! If we set for tram then we should have been planned before na si after phase II has started our financers WB won't accept. BTW Tram capacity ni 90 PAX wakati DART inafika mpaka 140 PAX!

Na kuchanganya tram na mabasi/magari si best practice since many disadvantages. For instance incase of traffic jams ama ajali! Mara nyingi ulaya tram zinachanganyika na other transport panapokuwa na ufinyu wa nafasi.

Kupunguza gharama SGR/NGR but double tracks kutoka Pugu ipitie JNIA. Watafute locomotives MU za intercity transport! BTW DART buses zinaweza pia kutumia umeme na LNG pia if the argument was only usage of HP from Rufiji.
 
Sababu ya kukuuliza historia ya brt ni kujua kama unaelewa sababu za mfumo huu kuanzishwa.

Bogota (mji wa kwanza kuwa na BRT), walipokuwa wanatafuta suluhishi la kupunguza foleni, walitembelea miji ya Ulaya na Marekani kujifunza jinsi usafiri wa umma unavyoendeshwa. Walipokuja kufanya mahesabu, waliona gharama zake ni kubwa mno kutekelezwa.

Kumbuka, New york subway ilijengwa na wahamiaji masikini waliofanya kazi ngumu na hatari kwa kipato kidogo. London tube nayo pia ilijengwa wakati Uingereza kiwa na makoloni yake, hasa yale ya visiwani. Hivyo gharama kubwa ya kuchimba mahandaki ilifanywa bure.

Ndipo wana Colombia hao wakaamua kuja na njia ya ufanisi zaidi isiyo na gharama. Wakaja na wazo la kutumia sehemu ya kati kama njia tengefu ya mabasi. Na utaona nchi nyingi (hasa masikini) zilizokuwa hazina usafiri mzuri wa umma, zilifuata mfumo huo.

Kwa hiyo, unaposema kuweka BRT na treni sehemu moja inamaana unafanya kitu kile kile mara mbili na hivyo kuongeza gharama, kitu ambacho hakileti maana.
Tatizo ni IQ yenu ndogo kuweza kuelewa Ila tutskuja kutambua kosa letu miaka 10 tu ijayo ,na kuhusu gharama mnakalili utafiti wa nchi zingine bila kujua utafitj unatofautiana gharama kutokana na mambo mengi ,kwanza sikusema brt na tram zitumike Kwa pamoja ila nilichosema kutokana na kubadilika Kwa mikakati mfano wa bwawa la Umeme linalo jengwa Tram za Umeme zinge tumika vizuri zaidi hayo mambo ya gharama ni uongo maana mbona tunajenga treni ya Umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa ya kujenga BRT ni mkopo wa WB, tulishakubaliana... sasa wewe unataka tuvunje mkataba na beberu mkuu?
 
What is BRT?
HOME | WHAT IS BRT? | ABOUT THE BRT STANDARD | THE SCORECARD | BRT RANKINGS | DOWNLOAD

Quito, Ecuador
Quito, Ecuador

Bus Rapid Transit (BRT) is a high-quality bus-based transit system that delivers fast, comfortable, and cost-effective services at metro-level capacities. It does this through the provision of dedicated lanes, with busways and iconic stations typically aligned to the center of the road, off-board fare collection, and fast and frequent operations.

Because BRT contains features similar to a light rail or metro system, it is much more reliable, convenient and faster than regular bus services. With the right features, BRT is able to avoid the causes of delay that typically slow regular bus services, like being stuck in traffic and queuing to pay on board.

What is a BRT Corridor?
A BRT corridor is a section of road or contiguous roads served by a bus route or multiple bus routes with a minimum length of 3 kilometers (1.9 miles) that has dedicated bus lanes. The BRT Standard is to be applied to specific BRT corridors rather than to a BRT system as a whole, because the quality of BRT in cities with multiple corridors can vary significantly*.

Screenshot 2014-05-13 12.00.10

To be considered BRT, a corridor must:
  • be at least 3km length with dedicated lanes,
  • score 4 or more points in dedicated right-of-way element,
  • score 4 or more points in busway alignment element; and
  • score 20 or more points across all five BRT Basics element.
*See The Scorecard 2016 for more details.

The BRT Basics
There are five essential features that define BRT. These features most significantly result in a faster trip for passengers and make traveling on transit more reliable and more convenient.

Dedicated Right-of-Way
Bus-only lanes make for faster travel and ensure that buses are never delayed due to mixed traffic congestion.

Busway Alignment
Center of roadway or bus-only corridor keeps buses away from the busy curbside where cars are parking, standing, and turning

Off-board Fare Collection
Fare payment at the station, instead of on the bus, eliminates the delay caused by passengers waiting to pay on board.

Off-board_TJ_web

Intersection Treatments
Prohibiting turns for traffic across the bus lane reduces delays caused to buses by turning traffic. Prohibiting such turns is the most important measure for moving buses through intersections – more important even than signal priority.

Screenshot 2014-05-12 17.13.14

Platform-level Boarding
The station should be at level with the bus for quick and easy boarding. This also makes it fully accessible for wheelchairs, disabled passengers, strollers and carts with minimal delays.

CC: 😡Lwiva, Saint Ivuga eliakeem
 
Pesa ya kujenga BRT ni mkopo wa WB, tulishakubaliana... sasa wewe unataka tuvunje mkataba na beberu mkuu?
Mshikaji mbishi halafu mtupu kichwani! Hajui what it takes to start a project! From planning to financing to execution!
 
Kwakweli airport kukosa japo BRT ni fedheha sn wageni hasa watalii wanatoka uko kwao umbali mrefu wanakuja apa wakutane na foleni co kweli kabsa
halafu mi huwa nashangaa yaan kule ndo kulitakiwa kuwe kwa kwanza kabisa ile phase I,kwa maana ile nyerere road ndo mlango na sura ya Tanzania
 
Mshikaji mbishi halafu mtupu kichwani! Hajui what it takes to start a project! From planning to financing to execution!
Ni mlolongo mrefu sana tena wa miaka mingi. Akili yake huyu jamaa ni kama za wakenya walioamua kupaka rangi eti na wao wana BRT.
 
Kule teyari wana treni ya mjini (kibongo bongo), hivyo hakuna haraka.
Tunaongelea airport yn kuwe na BRT itakayotokea posta mpk gongo la Mboto lengo kuwa save abiria pale airport lkn wkt huo huo ku save raia wanaotoka na kuelekea gongo la Mboto cz kuna watu wengi mno kule hii treni ya mwakyembe imesaidia lkn haitoshi
 
Mpango wa kujenga treni ya JNIA upo ila kwa sasa barabara ya juu ya Mfugale inasaidia kuwatoa watu JNIA mpaka mjini kwa haraka.
 
Pesa ya kujenga BRT ni mkopo wa WB, tulishakubaliana... sasa wewe unataka tuvunje mkataba na beberu mkuu?
Ndiyo maana nikakuambia tatizo IQ ndogo kwani tumekopeshwa brt au tumekopeshwa hela ya kujengea brt kwani wewe ukikopa bank hela ya kujengea shule ukajiongeza na kujengea shule na hospital kwa kuongeza hela yako utakuwa umekosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana nikakuambia tatizo IQ ndogo kwani tumekopeshwa brt au tumekopeshwa hela ya kujengea brt kwani wewe ukikopa bank hela ya kujengea shule ukajiongeza na kujengea shule na hospital kwa kuongeza hela yako utakuwa umekosea
Unafikiri mikopo ya WB ni sawa na vile vimikopo unavyokopa benki? Unafikiri kwanini IMF walimnyima Mwalimu na Kaunda pesa za kujenga TAZARA, kama mkopo ni pesa tuu ya kulipa? Mbona kim hawataki kufanyanae biashara?
 
Acha kujiaibisha mzee haya ni mambo ambayo upeo wako ni mdogo sana kuelewa kiufupi kiufupi financing ya miradi kama hii ya multi lender financier ina binding agreements ikiwepo utekelezaji wake kama mkopeshaji na mkopaji wanavyokubaliana. Outside of which it is called a fault to honor the agreement or loan default.
 
Hata Benki ukibadili mradi maombi yaandikwa upya!
 
Mshikaji mbishi halafu mtupu kichwani! Hajui what it takes to start a project! From planning to financing to execution!
Sasa wewe mwenye kitu kichwani unajua kuna flyover ya ubungo tunajenga Kwa kuzingatia brt kabla hata ya false kufikiwa ,WB wao wanakupa hela mliyo kubaliana kama kunamaboresho mengine unaweza kufanya Kwa gharama zako wewe mwenye ,kama mnao ushahidi kuwa WB watatuzuia kujengea tram badala ya brt uleteni .wao wanacho weza kukataa ni kuongeza mkopo labda , ukikopa bank mkopo wa kufyatua matofali 1000 wakakupa aimaanishi wtakuzuia kufyatua zaidi Kwa Pesa yako

Hebu tupe utaratibu wa kuomba mkopo hata benki ya kawaida! Ni muhimu kujua upeo wako! Sorry wewe hata chuo hujafika jinsi ulivyo mweupe! Hujui anything about debt obligations!

Una-bore tumia JF kujielimisha kuna vichwa humu ndani na si kubishabisha kusiko na mpango! Usifikirie mikopo hii ni kama kwenda gengeni kukopa kitunguu!
 
Ni mlolongo mrefu sana tena wa miaka mingi. Akili yake huyu jamaa ni kama za wakenya walioamua kupaka rangi eti na wao wana BRT.
Dhama zimebadilika dhama za milolongo siyo dhama za magufuli unajua kwanini sgr inajengwa Kwa mfumo wa kudizaini na kujenga tofauti na huo mfumo wa upembuzi yakinifu nyinyi mnabisha vitu ambavyo tayari vimesha fanyika tz tatizo mnadhani magufuli ange tumia milolongo hiyo tungefanya chochote cha maana hata ndege zimenunuliwa nje ya utaratibu mjue ilo tum3chelewa sana hatutakiwi tuzidi kujichewesha Kwa akili mgando zenye IQ ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikopo ya hivyo ndiyo inayotufanya waafrika tuitwe manyani Kwa kuishabikia mbona walikataa kutupa Pesa ya kujenga bwawa la Umeme na sgr au umesahau siyo lazima kuwategemea wao brt na tram ni kitu kidogo ukilinganisha na sgr na bwawa la Umeme acheni kusujudia upuumbavu
Unafikiri mikopo ya WB ni sawa na vile vimikopo unavyokopa benki? Unafikiri kwanini IMF walimnyima Mwalimu na Kaunda pesa za kujenga TAZARA, kama mkopo ni pesa tuu ya kulipa? Mbona kim hawataki kufanyanae biashara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi ndiyo wale wapuumbaavu mnaofikili kujua kimombo ndiyo akili Ila ukweli wewe geza unifikii mm hata 10%
Hebu tupe utaratibu wa kuomba mkopo hata benki ya kawaida! Ni muhimu kujua upeo wako! Sorry wewe hata chuo hujafika jinsi ulivyo mweupe! Hujui anything about debt obligations!

Una-bore tumia JF kujielimisha kuna vichwa humu ndani na si kubishabisha kusiko na mpango! Usifikirie mikopo hii ni kama kwenda gengeni kukopa kitunguu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujiaibisha mzee haya ni mambo ambayo upeo wako ni mdogo sana kuelewa kiufupi kiufupi financing ya miradi kama hii ya multi lender financier ina binding agreements ikiwepo utekelezaji wake kama mkopeshaji na mkopaji wanavyokubaliana. Outside of which it is called a fault to honor the agreement or loan default.
Nyinyi ni wazee wa kuamisha magoli Mara brt yenye tram haiwezekani Mara world bank Mara upembuzi yakinifu hata amsomeki kwani. Nilazima tutegemee WB kama tunaona njia bora zaidi kuliko matakwa ya WB mbona mchina tumemkataa na mikataba ya sgr na bagamoyo tumieni akili maana nyinyi wajinga mnaosema Pro Lipumba ndiyo mchumi bora Duniani mnamatatizo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom