Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Sawa bwege!Nyinyi ni wazee wa kuamisha magoli Mara brt yenye tram haiwezekani Mara world bank Mara upembuzi yakinifu hata amsomeki kwani. Nilazima tutegemee WB kama tunaona njia bora zaidi kuliko matakwa ya WB mbona mchina tumemkataa na mikataba ya sgr na bagamoyo tumieni akili maana nyinyi wajinga mnaosema Pro Lipumba ndiyo mchumi bora Duniani mnamatatizo sana
Sent using Jamii Forums mobile app