Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Hofu imetanda CHADEMA
tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon.
Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu na umakini sana kila anapokutana na wana habari.
cha kushangaza zaidi ni pale mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema John Mrema, anadai msigwa hana hadhi ya kujibiwa na chadema, huku yeye mwenywe Mrema akiwa ana mzungumzia na kumjibu huyo huyo Msigwa, maswala mbalimbali ambayo amekua akiyaibua dhidi ya chadema dhaifu...
sasa sijui hii ndio ile kitu inaitawa confuser and confused are confusing each other, right?
Nawatakia maandalizi mema ya Uchaguzi Serikali za Mitaa🐒