Pre GE2025 Mzimu wa Msigwa waitesa CHADEMA hofu ya gharika nyingine kutokea yatanda

Pre GE2025 Mzimu wa Msigwa waitesa CHADEMA hofu ya gharika nyingine kutokea yatanda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtasubiri sana Chadema kufa. Ccm kila mwaka mnalikoroga mara mikataba, mara tozo, mara wamasai, mara chura kiziwi, mara tukiwapoteza msituulize, mara tukishamaliza kuiba kura tunamwambia Mungu atusamehe nk nk nk.......... Wananchi wamechoka. Najua unajua ila unajitoa ufahamu!
gentleman pole sana,
naina moyo wako umejaa makholokhoncho ya maana hadi huruma dah 🐒

unaishi wap aise, kuhifadhi mambo kama hayo ni miongoni mwa vyanzo muhimu vya changamoto za kifra kwasasa,

ni muhimu kumuona daktari mapema aise dah 🐒
 
Waondoke wote Mnyika, Lissu hata Mbowe Chadema haitakufa chama hiki ni mpango wa Mungu.
na wataondoka,
zingatia maelezo na mienendo yao ila sio vizuri kuwaza vifo na kusingizia Mungu 🐒
 
Chadema ikitikisika na kufa si ndiyo jambo la kheri kwenu wana CCM sasa mbona upambe mwingi ndugu
nakuombea kwa Mungu uondokane na Roho ya mauti, usiwe unawaza masuala ya kufa kufa...

tujadili siasa na ustawi wake zaidi , kama hivi unavyoona baadhi ya viongozi waandamizi Chadema wakijiandaa kujitenga na chama hicho n.k🐒
 
Msibwa hana impact kubwa kwa siasa za Tanzania, ni kweli alikuwa na vyeo vingi CDM ila nguvu ya Mamba siku zote ni kwenye maji akiwa nje ya maji nguvu inapungua. CCM wanamtumia msigwa kama toilet paper, wakimaliza issue zao wanamtumbukiza kwenye dustbin kazi imeisha.
kama ilivyo kwa wale wa COVID-19, chedema hudai kwamba hawana impact yoyote ndani ya chadema lakini ndio habari mjini na hoja kuu kila mara kamati kuu ya Chadema inapokutana...

na msigwa sasa ndio pasua kichwa kila moja chadema anaskia baridi 🐒
 
COVID 19 wana impact kubwa kwa siasa za Tanzania kwa sababu wana faida kwa Taifa. Sababu kubwa pamoja Bunge ni la chama kimoja lakini kwa kuwepo wao jumuia za kimataifa linajua kuwa Bunge letu ni la vyama vingi. Pia COVID 19 ndiyo inasidia kwa kiasi kikubwa kwa sasa CDM kuwa na nguvu kwani wana pata rudhuku ya serkari kila mwezi zaidi ya milioni 100.kwahiyo CoVID 19 isiwalinganishe na msigwa.
 
alaa alaaa alaaaaaah 🐒
 
Hajui kuwa CHADEMA waliondoka Zito kabwe, Slaa, Mashinji, Sumaye, Lowasa, Nyalandu, Laurence Masha, na wengine wengi ambao walikua Very senior, yeye anaamka asubuhi hata chai hajui kama atakunywa anakuja na thread za Msigwa ambaye hakua hata na cheo.....

CDM ni kama chuo kikuu wanapita wengi lakini yenyewe iko pale pale na inazidi kuimarika / kuogopwa / kuongeza vitivo.
 
zingatia tahadhari na umakini wa maelezo, ufafanuzi, body languages, tones na facial expressions miongoni mwa waandamizi hasa kamati kuu wanavyoteseka ndani ya chadema, kisha utagunfua maumivu makali wanayoputia...

wengi wao ni kama vile wako njiani au kwenye maandalizi ya mwisho kumjoin, i think ni suala la muda tu :pulpTRAVOLTA:

Uzuri wa CDM iko ngazi ya tasisi na si mtu moja mmoja.
Waulize waliotoka watakwambia hata huyo Msigwa anajua kuwa baada ya siku kama 60 hatakuwa na la kuisema CDM labda kurudia rudia aliyokwisha sema.
 
Uzuri wa CDM iko ngazi ya tasisi na si mtu moja mmoja.
Waulize waliotoka watakwambia hata huyo Msigwa anajua kuwa baada ya siku kama 60 hatakuwa na la kuisema CDM labda kurudia rudia aliyokwisha sema.
ngazi za wap gentleman 🤣

Chadema ni ya mtu moja bana acha utani 🐒
 
CDM ni kama chuo kikuu wanapita wengi lakini yenyewe iko pale pale na inazidi kuimarika / kuogopwa / kuongeza vitivo.
chuo cha cha mafunzo ya kuporomosha matusi right?🐒

au hicho ni kitivo tu...
 
hofu imetanda chadema..
tahadhari ni kubwa, kuna kwamba kuna uwezekana wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon...

imefikia mahali,
kila kiongozi mwandamizi wa chadema hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari sana kila anapokutana na wana habari...

cha kushangaza zaidi ni pale mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema John Mrema, anadai msigwa hana hadhi ya kujibiwa na chadema, huku yeye mwenywe Mrema akiwa ana mzungumzia na kumjibu huyo huyo Msigwa..

sasa sijui hii ndio ile kitu inaitawa confuser and confused are confusing each other, right?

nawatakia maandalizi mema ya uchaguzi serikali za mitaa🐒
Chadema wenyewe wako busy na mambo mengine
Hofu imetanda CHADEMA
tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon.

Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu na umakini sana kila anapokutana na wana habari.

cha kushangaza zaidi ni pale mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema John Mrema, anadai msigwa hana hadhi ya kujibiwa na chadema, huku yeye mwenywe Mrema akiwa ana mzungumzia na kumjibu huyo huyo Msigwa, maswala mbalimbali ambayo amekua akiyaibua dhidi ya chadema dhaifu...

sasa sijui hii ndio ile kitu inaitawa confuser and confused are confusing each other, right?

Nawatakia maandalizi mema ya Uchaguzi Serikali za Mitaa🐒
Unajua sana kuwazubaisha watu, but not me. Punguza sana kuanzisha nyuzi random ambazo hazina maana yoyote ili watu waacha kujadili masuala ya msingi ya nchi hii
 
ndio maana wanamjibu msigwa kwa tahadhari na umakini mkubwa sana sio gentleman?

kama hili sio jambo la maana unababaika nini sasa,si usonge na yale unayoona ni muhimu na ya msingi....

for your information,
chadema hapako sawa kuna mwamba anaachia ngazi anytime soon 🐒
 
Hofu imetanda CHADEMA
tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon.

Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu na umakini sana kila anapokutana na wana habari.

cha kushangaza zaidi ni pale mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema John Mrema, anadai msigwa hana hadhi ya kujibiwa na chadema, huku yeye mwenywe Mrema akiwa ana mzungumzia na kumjibu huyo huyo Msigwa, maswala mbalimbali ambayo amekua akiyaibua dhidi ya chadema dhaifu...

sasa sijui hii ndio ile kitu inaitawa confuser and confused are confusing each other, right?

Nawatakia maandalizi mema ya Uchaguzi Serikali za Mitaa🐒
Ulikuwa unamjua Soka wakati Dr Slaa anajiuzulu?
 
ndio maana wanamjibu msigwa kwa tahadhari na umakini mkubwa sana sio gentleman?

kama hili sio jambo la maana unababaika nini sasa,si usonge na yale unayoona ni muhimu na ya msingi....

for your information,
chadema hapako sawa kuna mwamba anaachia ngazi anytime soon 🐒
Per your information unless ni chawa hakuna anachukulia random news zako serious. Nchi ina mambo mengi muhim yanayoendelea now na msigwa si jambo muhim
 
Ulikuwa unamjua Soka wakati Dr Slaa anajiuzulu?
kipindi hicho chadema wanamuita Hayati E.N.Lowasa fisadi au?

halafu tena ghafla ufisadi ukapotea akapewa ujumbe wa kamati kuu na nafasi ya kugombea urais kabisaaaa au ?🤣

si ndio kipindi hiki unazungumzia, right?🐒
 
Per your information unless ni chawa hakuna anachukulia random news zako serious. Nchi ina mambo mengi muhim yanayoendelea now na msigwa si jambo muhim
🤣 actually nadhani muhimu zaidi ni hofu iliotanda kamati kuu Chadema, unadhani kwanini hawaaminiani?🐒
 
Sijui kwanini tunapotezaga muda Kujadili Mada kama hizi, Msigwa ni mfano mzuri sana ya wnasiasa.
Wanasiasa wengi wanaangalia maslahi yao kwanza hayo mengine baadae.

Msigwa ameenda ccm kwa kupata maslahi mazuri ushahidi ni pale atakapokosa nafasi ya kugombea Ubunge kama mtamuona tena anapiga makelele huko kwenye mikutano yenu.

Mimi huwa namuomba Mungu hii CCM ije kupata watu wenye kutetea maslahi ya wanyonge kwasababu hakuna jinsi wanaweza kutolewa madarakani miaka ya hivi karibuni.

Mtu anakwambia kabisa kama huwezi kulipa Tozo hamia Burundi wakati watoto wake wanasomeshwa feza schools.

Sijawahi kuwa na urafiki na wnasiasa.

Huyu Mpina najaribu kumuelewa lakini naona kam ndio wale wale tu.

Vijana tupige kazi, Hizi siasa tuziongelee pale inapobidi
 
Back
Top Bottom