Pre GE2025 Mzimu wa Msigwa waitesa CHADEMA hofu ya gharika nyingine kutokea yatanda

Pre GE2025 Mzimu wa Msigwa waitesa CHADEMA hofu ya gharika nyingine kutokea yatanda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hofu imetanda CHADEMA
tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon.

Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu na umakini sana kila anapokutana na wana habari.

cha kushangaza zaidi ni pale mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema John Mrema, anadai msigwa hana hadhi ya kujibiwa na chadema, huku yeye mwenywe Mrema akiwa ana mzungumzia na kumjibu huyo huyo Msigwa, maswala mbalimbali ambayo amekua akiyaibua dhidi ya chadema dhaifu...

sasa sijui hii ndio ile kitu inaitawa confuser and confused are confusing each other, right?

Nawatakia maandalizi mema ya Uchaguzi Serikali za Mitaa🐒
CCM kaachia Katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti mbona husemi wewe chawa?
 
kipindi hicho chadema wanamuita Hayati E.N.Lowasa fisadi au?

halafu tena ghafla ufisadi ukapotea akapewa ujumbe wa kamati kuu na nafasi ya kugombea urais kabisaaaa au ?[emoji1787]

si ndio kipindi hiki unazungumzia, right?[emoji205]

Baada ya hapo akazikwa kwa heshima zote za kitaifa na mizinga kama yote.
Think twice before you lip.
 
Shule shule shule
Remember without challenge your scale of deeds become domant and finally extinct.
maana conclusions za kwenye mijadala ya vijana wengi wa hicho unachoita chuo ni mihemko na kuporomosha matusi tu, au nasema urongo ndrugo zango?🐒

ndiyo!
eleze ukweli basi kama si hivyo?...
 
Baada ya hapo akazikwa kwa heshima zote za kitaifa na mizinga kama yote.
Think twice before you lip.
ndio maana nasema hapana utulivu chadema, hofu ni kubwa, no trust to each other,

hata kumjibu msigwa ambae yupo nje ya Chadema ni kwa umakini na tahadhari ya kiwango cha juu sana....

who is next to join msigwa CCM? John Myika or Heche?🤣
 
Nikidhani anaye-comment amenda shule na kujua maana ya tasisi kumbe daaahh ndo kaanza chekechea.
sio kitega uchumi cha mtu kile?🐒,

acheni utani na investments au biashara za watu tahadhali....

eti taasisi 🤣
 
Mwandishi ni msigwa mwenyewe!
Ila kiukweli msigwa hakuwa na umaarufu wowote CDM!
Yeye ndie alikuwa anatembelea NYOTA ya CDM
Kama huamini basi sasa ndio mwisho wake
actually unaweza kua uko sahihi kwamba msigwa hakua maarufu chadema,

but truely,
the gentleman was very powerful individual within chadema, hasa kamati kuu...

hii hofu iliotanda kamati, tahadhari na umakini kwenye kumjibu msigwa unatoka wapi sasa kwa miongoni mwa viongozi waandamizi wa Chadema?🐒
 
Sijui kwanini tunapotezaga muda Kujadili Mada kama hizi, Msigwa ni mfano mzuri sana ya wnasiasa.
Wanasiasa wengi wanaangalia maslahi yao kwanza hayo mengine baadae.

Msigwa ameenda ccm kwa kupata maslahi mazuri ushahidi ni pale atakapokosa nafasi ya kugombea Ubunge kama mtamuona tena anapiga makelele huko kwenye mikutano yenu.

Mimi huwa namuomba Mungu hii CCM ije kupata watu wenye kutetea maslahi ya wanyonge kwasababu hakuna jinsi wanaweza kutolewa madarakani miaka ya hivi karibuni.

Mtu anakwambia kabisa kama huwezi kulipa Tozo hamia Burundi wakati watoto wake wanasomeshwa feza schools.

Sijawahi kuwa na urafiki na wnasiasa.

Huyu Mpina najaribu kumuelewa lakini naona kam ndio wale wale tu.

Vijana tupige kazi, Hizi siasa tuziongelee pale inapobidi
ni muhimu sana vijana kupiga kazi,

lakini ni jambo la maana sana kushiriki kikamilifu katika masuala ya siasa na uongozi. hili halikwepeki...

it once said,
if you don't want to part in political administrations don't blame to be ruled by a fool 🐒
 
ni muhimu sana vijana kupiga kazi,

lakini ni jambo la maana sana kushiriki kikamilifu katika masuala ya siasa na uongozi. hili halikwepeki...

it once said,
if you don't want to part in political administrations don't blame to be ruled by a fool 🐒

siku hizi uchawa umezidi kuliko kushiriki katika siasa. hata wewe ni chawa tu huna lolote kwenye siasa.
Kushiriki kwenye siasa ni kudai haki pale panapostahili na kupongeza pale panapostahili leo hii hakuna mwan ccm atadai haki na wala hakuna mpinzani atapongeza.
 
Back
Top Bottom