Pre GE2025 Mzimu wa Msigwa waitesa CHADEMA hofu ya gharika nyingine kutokea yatanda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
siku hizi uchawa umezidi kuliko kushiriki katika siasa. hata wewe ni chawa tu huna lolote kwenye siasa.
Kushiriki kwenye siasa ni kudai haki pale panapostahili na kupongeza pale panapostahili leo hii hakuna mwan ccm atadai haki na wala hakuna mpinzani atapongeza.
sasa kusingekua na pande hizo mbili tofauti kimaoni, mitazamo na uelekeo, kungekua na siasa?🐒

hizo ni miongoni mwa athari za uhuru wa mtu kuamini au kutetea anachodhani ni sahihi kadiri ya maoni na mtazamo wake...

sasa unamkasirikia au kumchukia mtu au kundi la watu wenye maoni na mtazamo wako , ati unamuita nyumbu au chawa kana kwamba sijui itabadilisha nini 🤣

saa zinngine ni muhimu sana kuwaza vizur kwa utulivu mambo haya
 
Hofu imetanda CHADEMA
tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon.

Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu na umakini sana kila anapokutana na wana habari.

cha kushangaza zaidi ni pale mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema John Mrema, anadai msigwa hana hadhi ya kujibiwa na chadema, huku yeye mwenywe Mrema akiwa ana mzungumzia na kumjibu huyo huyo Msigwa, maswala mbalimbali ambayo amekua akiyaibua dhidi ya chadema dhaifu...

sasa sijui hii ndio ile kitu inaitawa confuser and confused are confusing each other, right?

Nawatakia maandalizi mema ya Uchaguzi Serikali za Mitaa🐒
Mnyika keshabwaga manyanga. Hilo kundi life tu, lilishangilia kifo cha Dkt Magufuli
 
unaandika kama Tutusa
relax gentleman,
mihemko si muhimu sana kwenye majadiliano ya maana kama haya,

ikiwa umechoka unapumzika tu au unaendelea na mambo mengine 🐒
 
Hofu imetanda CHADEMA
tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon.

Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu na umakini sana kila anapokutana na wana habari.

cha kushangaza zaidi ni pale mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema John Mrema, anadai msigwa hana hadhi ya kujibiwa na chadema, huku yeye mwenywe Mrema akiwa ana mzungumzia na kumjibu huyo huyo Msigwa, maswala mbalimbali ambayo amekua akiyaibua dhidi ya chadema dhaifu...

sasa sijui hii ndio ile kitu inaitawa confuser and confused are confusing each other, right?

Nawatakia maandalizi mema ya Uchaguzi Serikali za Mitaa🐒
Makamu wa Rais yupo eneo liitwalo MOWAYUNGU, Dodoma.
Mowayungu upo hapo?
 
Bila kuitaja cdm post zako hazipati wachangiaji wengi. Inshort cdm ndio habari ya mjini.
 
maana conclusions za kwenye mijadala ya vijana wengi wa hicho unachoita chuo ni mihemko na kuporomosha matusi tu, au nasema urongo ndrugo zango?[emoji205]

ndiyo!
eleze ukweli basi kama si hivyo?...

Bado hujaelewa soma tena na tena utaelewa tuuu
 
ndio maana nasema hapana utulivu chadema, hofu ni kubwa, no trust to each other,

hata kumjibu msigwa ambae yupo nje ya Chadema ni kwa umakini na tahadhari ya kiwango cha juu sana....

who is next to join msigwa CCM? John Myika or Heche?[emoji1787]

Shida inajubu nje ya hoja yangu ya msingi kama vile ni show off ya kulipwa
 
Bila kuitaja cdm post zako hazipati wachangiaji wengi. Inshort cdm ndio habari ya mjini.
ukishaposti chochote humu jukwaani hulazimishwi kuchangia..

kwamfano wewe,
kwanza inaonyesha ni mvivu, huna new ideas wala huna fikra mbadala,

halafu si upumzike tu ama ufanye mambo mengine gentleman, kuliko kubabaika ati kipi kimechangiwa sana ama la, who are you by the way hadi unapata muda wa kuasess yote hayo?

huna kazi ee🤣
 
Mimi sio jobless boss. Nikiwa free ndio nachangia, ww mumeo anakuletea kila kitu mezani lazima ushinde hapa jf.
 
Back
Top Bottom