Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #61
sasa kusingekua na pande hizo mbili tofauti kimaoni, mitazamo na uelekeo, kungekua na siasa?🐒siku hizi uchawa umezidi kuliko kushiriki katika siasa. hata wewe ni chawa tu huna lolote kwenye siasa.
Kushiriki kwenye siasa ni kudai haki pale panapostahili na kupongeza pale panapostahili leo hii hakuna mwan ccm atadai haki na wala hakuna mpinzani atapongeza.
hizo ni miongoni mwa athari za uhuru wa mtu kuamini au kutetea anachodhani ni sahihi kadiri ya maoni na mtazamo wake...
sasa unamkasirikia au kumchukia mtu au kundi la watu wenye maoni na mtazamo wako , ati unamuita nyumbu au chawa kana kwamba sijui itabadilisha nini 🤣
saa zinngine ni muhimu sana kuwaza vizur kwa utulivu mambo haya