Pre GE2025 Mzimu wa Msigwa waitesa CHADEMA hofu ya gharika nyingine kutokea yatanda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hofu mnayo nyinyi sisiemu ,cdm hakuna hofu wala kuogopana bali ni kuheshimiana tu.
basi sawa nadhani hujamshuhudia hata mwandamizi moja wa Chadema akimzingumzia msigwa na kwasababu hiyo huwezi kubali wala kuelewa ninachozungumxia πŸ’
 
ATAKAENDOKA ATAKUA MWANASIASAPESA...
Huwezi kukimbia mkiwa vitani..
sure,
kwa mfano Makamu mwenyekiti wa chadema Taifa yupo kwenye vita kali sana ya rushwa dhidi ya waandamizi wenzie katika uongozi wa juu wa chama,

unaizunguziaje vita hii kali na ya moto sana πŸ’
 
Chadema hai kuwahi kuteswa na kuondoka kwa W.Slaa iteswe na mzimu wa kinyago.
Vaa nguo mzee kupo wazi .
Chama kina Mbunge mmoja miaka mitano iliyopita halafu unasema hakijawahi kuteswa na kuondoka Dk. Slaa? Kweli aliyewaita nyumbu ajengewe mnara!
 
Msigwa anaupiga mwingi, anaisema vibaya huko atokako utadhani alikuwa huko kama mpelelezi na si mwanachama kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…