King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
hofu ya nini sasa,
na kutoaminiana kwao ni kwasababu gani sasa?🐒
Hofu mnayo nyinyi sisiemu ,cdm hakuna hofu wala kuogopana bali ni kuheshimiana tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hofu ya nini sasa,
na kutoaminiana kwao ni kwasababu gani sasa?🐒
basi sawa nadhani hujamshuhudia hata mwandamizi moja wa Chadema akimzingumzia msigwa na kwasababu hiyo huwezi kubali wala kuelewa ninachozungumxia 🐒Hofu mnayo nyinyi sisiemu ,cdm hakuna hofu wala kuogopana bali ni kuheshimiana tu.
Kaa kwa passwordebu gonga kwanza ugoro kidogo kabla hujapandisha mori na kuanza kuvurumusha makombora ya nguvu ya alqas kama tupo ghaza vile ila kwa maneno tu🐒
ATAKAENDOKA ATAKUA MWANASIASAPESA...Chadema hai kuwahi kuteswa na kuondoka kwa W.Slaa iteswe na mzimu wa kinyago.
Vaa nguo mzee kupo wazi .
sure,ATAKAENDOKA ATAKUA MWANASIASAPESA...
Huwezi kukimbia mkiwa vitani..
Nikianza usilalamikeniko rada na niko chonjo mbaya sana my friend, nimejipanga mbaya sana traa tra tat🐒
Nadhani ndiyo unachohitaji muda huukuyaporomosha au?
mbona asubuh mno sasa 🐒
Chama kina Mbunge mmoja miaka mitano iliyopita halafu unasema hakijawahi kuteswa na kuondoka Dk. Slaa? Kweli aliyewaita nyumbu ajengewe mnara!Chadema hai kuwahi kuteswa na kuondoka kwa W.Slaa iteswe na mzimu wa kinyago.
Vaa nguo mzee kupo wazi .