Mzindakaya naye ataka serikali imsafishe Mkapa

Mzindakaya naye ataka serikali imsafishe Mkapa

Eti Nani???
Mzindakaya?
Huyu lazima ajikombe kwa waliomkopesha/kumpa mabilioni bila sababu. Hapo alipo kama atang'ang'aniwa kulipa deni la kiwanda chake cha nyama, ni sawa na hukumu ya maisha yake maana hicho kiwanda! Looo! sidhani kama kilifanyiwa uchambuzi kabla ya kuanzishwa.

It is a total loss. Kiwanda kikubwa hakuna kazi yoyote. Alizoea kupewa madaraka sasa anajifunza biashara kwa hali ngumu sana!

Eti anapanda magari yanayosafirisha nyama kwenda nje ya nchi ili asiibiwe!!
Heee! 🙂

Uliona wapi mtu miaka zaidi ya 70 ndo ananza biashara, anaweza kufa mapema kwa pressure ya loss, ndo maana anapanda magari wasimwibiye nyama. Biashara anza mapema miaka 20-45 baada ya hapo wewe unakuwa mwangalizi tu kwa mbali baada ya kuwafundisha wasaidizi wako.
 
Nanukuu kauli ya aliyekuwa Waziri Mkuu Fredrick Sumaye (aliyoitoa mwisho wa Mei 2008)

"Kama (Rais Mkapa) angekua anatuhumiwa kama kiongozi wangu (Rais) ningemsaidia kujibu, lakini jamani mambo binafsi mimi siwezi kumsemea, Kwani mimi ni mtoto wake?"

Hivi Mzindakaya, anamfanya Mkapa hana mdomo wa kuzungumza!! Kama amechafuliwa ni Mahakama pekee ndio inayoweza kumsafisha, kama ilivyofanya kwa Mh. Sumaye! Serikali isitumike kusafisha "wapuuzi" wenye kuona mahakama na kushindwa kuzitumia.

Tunachokiona kwa Mzindakaya ni kuchanganyikiwa kwa mafisadi, tunachotaka kumwambia ni subiri muda wake bado! Mwenzake jana aliingia mitini baada ya Dr. Mwakyembe kuwasilisha hoja yake! Bungeni hapatoshi!
 
Ila Mzindakaya kipindi flani si ndio aliyekua mbunge shupavu na kipenzi kuliko wengi...alisifika kutoa mabomu ya uhakika ambayo yaliwakimbiza mafisadi kwenye wizara zao..sasa amekuja kuwaje tena............au hawajamaa wamesha mlambisha asali?????
 
Yulembunge machacha (enzi zake) wa Kwela, Chrisant Mzindakaya, ameitaka serikali kutoa kauli haraka iwezekanavyo kuhusiana na tuhuma zinazomkabili Benjamin Mkapa.
Amesema leo Bungeni kuwa Mkapa anasakamwa wakati ni mtu si tu mwenye sifa katika anga za kimataifa, bali amelifanyia mambo makubwa taifa hili.
Ameshangazwa na wabunge ambao nao wamejiunga katika orodha ya watu wanaomsema vibaya rais huyo akisema kuwa wanajifedhehesha kwani hata ukumbi wa bunge ambamo wanakaa na kujadili mambo kadha umejengwa kutokana na juhudi za mkapa.

Toka lini Nyani akamkosoa Tumbili kwenye kesi tena ya Mahindi. Mkuubwa alifanya hivyo kwa kuangalia mbali kwa maana amekula na vipofu kufunika Mahekalu yake kwa ukumbu nadhifu wa Bunge.

Anyway, Anastahili Hongera zake lakini bado haiwezi kuficha pembe la Ng'ombe.
 
Uyu nae si alipewa mkopo wa bilioni kadhaa alafu BOT wakamdhamini enzi za mkapa au anazani tumesahau?
Sio ukumbi wa bunge tuu ata uwanja wa taifa haijalishi!
Na mpaka leo sijui kama hizo bilioni 6 kama sijakosea zimerudi.Mafisadi ndivyo yalivyo ynataka kujiona ni matakatifu kila mahali.sasa huyu mzee kasahau kama alichua mkopo kwa bond ya bot au anataka kutufanya mabwege?
 
Ila Mzindakaya kipindi flani si ndio aliyekua mbunge shupavu na kipenzi kuliko wengi...alisifika kutoa mabomu ya uhakika ambayo yaliwakimbiza mafisadi kwenye wizara zao..sasa amekuja kuwaje tena............au hawajamaa wamesha mlambisha asali?????

...siku hizi kwisha habari yake maana limekuwa fisadi number one!
 
Augustoos au Brutus wazee wa sheria wanajua historia ya mzindakaya ktk kubomoa uwezo wa bunge kuisimamia serikali.... chini ya chama kimoja, halafu akawa anatumika kuwachojoa wale ambao serikali haiwataki ktk nyadhifa zao rejea mabomu ya mlipuko kwa simba, mporongonyi na mbilinyi..... pia hata ile hoja binafsi aliyoitoa majuzi sijaona kama ina mapendekezo zaidi ya angalizo.....
he is a real scam.....
 
Hili zee nalo halina hata aibu kuja na mameno kama hayo?.
Hili zee nalo ni jizi tu kama Mkapa. Nasema Mkapa ni mwizi bila woga wala hofu kwani ushaidi upo wa kutosha na kama Mkapa anakataa basi aje hapa na akanushe kauli yangu nami nitamwaga ukweli juu ya ukweli.

Ni kitu cha kusikitisha sana Tanzania kuwa na wabunge wapumbavu kama Mzindakaya. Ni watu kama hawa ndiyo wamekuwa viongozi kwa muda mrefu kwa kushika nafasi nyeti ndani ya serikali kwa muda mrefu kama ukuu wa mkoa nk. Na bila shaka upumbavu wa watu kama Mzindakaya umetufikisha mahali hapa pabaya ambapo nchi na mali asili zake zote zimeuzwa kwa wageni.

Ushauri wa bure kabisa kwa Mzindakaya ni kwamba sasa hivi nchi imebadilika, hakuna kutishana wala kuogopana, zile enzi za utawala wa mabavu umeisha. Hizi ni zama za ukweli na uwazi na hatutaki tena viongozi wasiokwenda shule kama wewe. Acha kutetea mambo ambayo unajitia aibu kwani hata muhusika mwenyewe anajua wazi kwamba kaiba na kafanya makosa.

Ingekuwa ni busara kama ungeendelea kufanya kazi yako ya uganga wa kienyeji kama ulivyokuwa unamtibu mke wa kwanza wa malecela na malecela mwenyewe na sisi tuendelee kupambana na wezi wa mali zetu. Na bila kusahau ni lazima na wewe urudishe mapesa ulichukua benki kuu ya Tanzania (shs billion tisa)
 
1. Mkuu Mzindakaya, hakuwahi kumtibu malecela wala mkewe, marehemu mke wa malecela alikuwa anaumwa ugonjwa ambao madakitari bingwa toka Japan alikowkenda kutibiwa kwanza walimuambia kuwa unahitaji kuishi mahali penye hali ya hewa inayofanana na ile ya Japan, alipokwenda kutibiwa kwa muda mrefu, wataalumu wa Muhimbili walipofahamishwa walsema kuwa ni Kigoma nidpo panafaaa, wakati huo malecela akiwa waziri mkuu, ndio ikaamuliwa na serikali kuwa apelekwe Kigoma kwenye Ikulu, ambako kama umewahi kufika ni mahali pa kubwa sana na nyumba nyingi za wageni wa RC, ndio mama akapewa moja wapo akihudumiwa na serikali, na sio Mzindakaya, ambapo kwanza aliyekuwepo pale RC alikuwa ni Liundi ndio baadaye Mzindakaya akaja kuwa RC, kwa hiyo mkuu ni vyema tukawa wakweli na hizi habari tunzohabarishana hapa JF, ili tusipotoshane,

2. Again, malecela hajawahi hata kulazwa Hospitlaini katika maisha yake, hata siku moja ya maisha yake hajawahi kulazwa Hospitali kwa ugonjwa, wowote ule, sasa Mzindakaya, aliwahi kumtibu nini hasa kama sio uongo mkuu? Wewe unamfahamu malecela, anyekunywa vitamins toka akiwa mdogo mpaka leo na ndio maana hatumii miwani kusoma mpaka leo, wewe unasema eti ailitibiwa na Mzindakaya? Huna aibu mkuu kuzusha uongo namna hii?

3. Mzindakaya, ukweli ni kwamba originally, alikopa hela hizo shillingi billioni 7, kutoka Standard bank na sio BOT, by then yeye na mkapa walikuwa paka na panya, hata kikako kimoja ambacho wabunge waligoma kuidhinisha kuuzwa kwa NMB bank, kwa sababu walijua kuwa Sumaye na Idd Simba wanataka kuinywa, sumaye alipoona wabunge wamegoma akamuita mkapa na kumchongea Mzaindakaya kuwa ndiye chanzi cha ukorofi wa wabunge wa CCM, mkapa alimtukana sana kama mtoto mdogo siku hiyo,

Mzindakaya baadaye alishindwa kulipa deni la Standard hata hela za kwanza tu halkulipa ndio wazungu walipoanza kumjia juu kuwa alipe, Mzindakaya akaenda kwa Balali, ambaye kwa kupewa okay na mkapa, BOT wakalinunua lile deni kutoka Standard Bank, deni ambalo mpaka leo according to the dataz Mzindakaya hajalilipa hata senti moja kwa BOT, na ndipo kwa mara ya kwanza wakawa washikaji na mkapa, mpaka mkapa akamtembelea Ranchi ya Mzindakaya kule Sumbawanga, na ndipo kwa mara ya kwanza mkuu akajiunga na mtandao, maana alijua kuwa kuna mpango mzito uliokuwa unaendeshwa na kimiti kumtoa ubunge, since then amekuwa kibaraka wa Lowassa, na sasa ndio amejitangaza rasmi!

Samahani wakuu nilitaka tuu kuweka ukweli unapotakiwa, unajua sio vyema kupotoshana maana huu uwnaja ni mkubwa sana.

Ahsante Wakuu!
 
Nashangaa kuwa kwenye orodha ya mafisadi jina la Mzindakaya halivumi sana.

Huyu Mzee alinyamazishwa na ufisadi kwa kupewa ranchi na mkopo wa mabilioni ya bure.

Mzindakaya huyu hana authority tena ya kuwasemea watanzania kama aliyokuwa nayo kabla hajachukuliwa na ufisadi.
 
wewe Field marshal mbona unajua mambo mengi sana ya hao wakuu?
 
1. Mkuu Mzindakaya, hakuwahi kumtibu malecela wala mkewe, marehemu mke wa malecela alikuwa anaumwa ugonjwa ambao madakitari bingwa toka Japan alikowkenda kutibiwa kwanza walimuambia kuwa unahitaji kuishi mahali penye hali ya hewa inayofanana na ile ya Japan, alipokwenda kutibiwa kwa muda mrefu, wataalumu wa Muhimbili walipofahamishwa walsema kuwa ni Kigoma nidpo panafaaa, wakati huo malecela akiwa waziri mkuu, ndio ikaamuliwa na serikali kuwa apelekwe Kigoma kwenye Ikulu, ambako kama umewahi kufika ni mahali pa kubwa sana na nyumba nyingi za wageni wa RC, ndio mama akapewa moja wapo akihudumiwa na serikali, na sio Mzindakaya, ambapo kwanza aliyekuwepo pale RC alikuwa ni Liundi ndio baadaye Mzindakaya akaja kuwa RC, kwa hiyo mkuu ni vyema tukawa wakweli na hizi habari tunzohabarishana hapa JF, ili tusipotoshane,

2. Again, malecela hajawahi hata kulazwa Hospitlaini katika maisha yake, hata siku moja ya maisha yake hajawahi kulazwa Hospitali kwa ugonjwa, wowote ule, sasa Mzindakaya, aliwahi kumtibu nini hasa kama sio uongo mkuu? Wewe unamfahamu malecela, anyekunywa vitamins toka akiwa mdogo mpaka leo na ndio maana hatumii miwani kusoma mpaka leo, wewe unasema eti ailitibiwa na Mzindakaya? Huna aibu mkuu kuzusha uongo namna hii?

3. Mzindakaya, ukweli ni kwamba originally, alikopa hela hizo shillingi billioni 7, kutoka Standard bank na sio BOT, by then yeye na mkapa walikuwa paka na panya, hata kikako kimoja ambacho wabunge waligoma kuidhinisha kuuzwa kwa NMB bank, kwa sababu walijua kuwa Sumaye na Idd Simba wanataka kuinywa, sumaye alipoona wabunge wamegoma akamuita mkapa na kumchongea Mzaindakaya kuwa ndiye chanzi cha ukorofi wa wabunge wa CCM, mkapa alimtukana sana kama mtoto mdogo siku hiyo,

Mzindakaya baadaye alishindwa kulipa deni la Standard hata hela za kwanza tu halkulipa ndio wazungu walipoanza kumjia juu kuwa alipe, Mzindakaya akaenda kwa Balali, ambaye kwa kupewa okay na mkapa, BOT wakalinunua lile deni kutoka Standard Bank, deni ambalo mpaka leo according to the dataz Mzindakaya hajalilipa hata senti moja kwa BOT, na ndipo kwa mara ya kwanza wakawa washikaji na mkapa, mpaka mkapa akamtembelea Ranchi ya Mzindakaya kule Sumbawanga, na ndipo kwa mara ya kwanza mkuu akajiunga na mtandao, maana alijua kuwa kuna mpango mzito uliokuwa unaendeshwa na kimiti kumtoa ubunge, since then amekuwa kibaraka wa Lowassa, na sasa ndio amejitangaza rasmi!

Samahani wakuu nilitaka tuu kuweka ukweli unapotakiwa, unajua sio vyema kupotoshana maana huu uwnaja ni mkubwa sana.

Ahsante Wakuu!

Kigoma kuna hali ya hewa kama Japani toka lini?.
Nilichosema hapo juu si majungu hata kidogo bali ni ukweli mtupu. Kwa taarifa yako Mzindakaya alikuwa analeta madawa ya miti shamba hadi Dar es salaam kwa Malecela na kuwaelekeza jinsi ya kutumia. Mpaka marehemu (mke wa kwanza wa malecela anapelekwa Kigoma) kisha tibiwa sana na Mzindakaya.

Mkoani kwetu huyu jamaa anajulikana kwa shuguli hiyo ingawa haifanyi wazi wazi kama walivyo masangoma wengine.
 
MAKUBWA!
ETI NINI?
NA CHENGE NAYE NANI ALIMPA?
AMA KWELI ccm KUNA MAMBO!
 
FMES Na Kidatu Wote Mnaweza Kuwa Right...kwani Habari Zenu Hazijapishana Sana Zaidi Zaidi Ni Baadhi Ya Insights Kama Vile Usangoma Na Asili Ya Billioni Saba Za Mzindakaya.
So Kuna Connection Ya BOT Na NMB.
Sasa Simba naye ndiye engineer wa ccm kwenya wizi wa EPA!
 
Kigoma kuna hali ya hewa kama Japani toka lini?.
Nilichosema hapo juu si majungu hata kidogo bali ni ukweli mtupu. Kwa taarifa yako Mzindakaya alikuwa analeta madawa ya miti shamba hadi Dar es salaam kwa Malecela na kuwaelekeza jinsi ya kutumia. Mpaka marehemu (mke wa kwanza wa malecela anapelekwa Kigoma) kisha tibiwa sana na Mzindakaya.

Mkoani kwetu huyu jamaa anajulikana kwa shuguli hiyo ingawa haifanyi wazi wazi kama walivyo masangoma wengine.

SASA TUNAWEZA KUJUA BAADHI YA VYANZO VYA UGAGULA WA ccm!
Hizi habari hatuwezi kuzi underestimate PROVIDED KULIKUWA NA UCHAWI WA ccm HUKO BUNGENI.
TUKIMBANA CHENGE TUTAJUA!
ILA HUKO SUMBAWANGA ALIKO KIDATU NA MZINDAKAYA..KUNA ANOTHER UCHAWI ANGLE NA MADHALI HUYU BWANA YUKO HUKO SUMBA=TUPA, WANGA=UCHAWI...THEN ANAWEZA KUWA RIGHT!
 
JMushi1: Dawa za mitishamba na uchawi ni vitu viwili tofauti.
 
jmushi1: Dawa Za Mitishamba Na Uchawi Ni Vitu Viwili Tofauti.

Na Sangoma Ni Nani?
Acha Kidatu Atuletee Hizo Nyeti!
Yeye Yuko Sumba Wanga!
Na Kama Hupafahamu Sumba Wanga Uliza Uambiwe!
Kama Hujachanjiwa Huwezi Ishi Kule!
 
Wakimbana CHENGE Basi sitashangaa na ule unga unga wakisema ni miti shamba ya kumtibu spika six na wenzake!
 
JMushi1: Dawa za mitishamba na uchawi ni vitu viwili tofauti.

Nakubaliana na wewe kwamba dawa za mitishamba na uchawi ni vitu viwili tofauti.

Mzindakaya ni qualified sangoma. Alikuwa anatoa miti shamba hiyo na kupiga ramli ama bao kuangalia nini kinamsumbua mgonjwa.

Kuna ushaidi wa kutosha kabisa wakati mkuu wa wilaya ya kigoma mjini miaka ya 1990 - 1993 kapteni S.M. Missana alipokuwa anasumbuliwa na mgongo Mzindakaya alipiga ramli/bao kumsaidia kapteni huyo na kumpatia madawa ya miti shamba badala ya Muhimbili hospitali kutoona matatizo ya mgonjwa huyo.
Jamaa aliambiwa karogwa hivyo ilibidi amtibu na kumpa zindiko.

Mzindakaya ni Sangoma hilo halina ubishi, kama kumwita sangoma haipendezi
basi tumwite doctor Mzindakaya.
 
Back
Top Bottom