Kuna habari zimetoka kuwa Azam wameweka million 400 mezani kwa Yanga wakitaka kumsajili Mzize.
Azam ni kichakani yaani sio mjini kwenye soka kwa maana Mzize hataonekana sana huko Ulimwenguni
Namshauri asalie Yanga ili aandae baadae yake nzuri kisoka maana akicheza Yanga team kubwa zitamuona ila akifata tamaa ya muda mfupi ataishia kucheza na Namungo
Au labda zitakuwa propaganda za kututoa kwenye mawazo ya derby ili tujikite kumwaza azam na Mzize
Na nyie kila kitu mnalink na wapinzani..sasa wapinzani wenu si ndo hao mnasema mtawapiga goli 5 trh 20 mbona kama mmekua na wasi wasi sana kama mnajisaidia nje? Yani wasiwasi ni kubwa kuliko hali halisi ...Hii ni mbinu za wakala wake au mbinu za wapinzani wake za kuitoa Yanga kwenye mipango ya kushinda mechi ya Derby au mipango ya ubingwa wa ligi kuu.
Wakala anataka kupiga pesa ndefu Mzinze akipewa mkataba wa fedha nyingi.
Kumbukeni wakala wa Feisal Salum, Mayele na Mzinze ni yule wakala mkubwa wa wachezaji ligi kubwa Ulaya.
Azam ni Simba BHii ni mbinu za wakala wake au mbinu za wapinzani wake za kuitoa Yanga kwenye mipango ya kushinda mechi ya Derby au mipango ya ubingwa wa ligi kuu.
Wakala anataka kupiga pesa ndefu Mzinze akipewa mkataba wa fedha nyingi.
Kumbukeni wakala wa Feisal Salum, Mayele na Mzinze ni yule wakala mkubwa wa wachezaji ligi kubwa Ulaya.
Juzi mmeandika mzize analipwa laki 6,kwahiyo mnataka aendelee kulipwa hivyo?Kuna habari zimetoka kuwa Azam wameweka million 400 mezani kwa Yanga wakitaka kumsajili Mzize.
Azam ni kichakani yaani sio mjini kwenye soka kwa maana Mzize hataonekana sana huko Ulimwenguni
Namshauri asalie Yanga ili aandae baadae yake nzuri kisoka maana akicheza Yanga team kubwa zitamuona ila akifata tamaa ya muda mfupi ataishia kucheza na Namungo
Au labda zitakuwa propaganda za kututoa kwenye mawazo ya derby ili tujikite kumwaza azam na Mzize
Laki6 brooKwani hao Uto wanamlipa Mzize $ngapi kwa mwezi?
Namshauri aende Azam huyo jamaa, huko Uto atakufa njaa tu.Laki6 broo
Acha apate exipojha....hahahaaa ya kucheza na masandawaneNamshauri aende Azam huyo jamaa, huko Uto atakufa njaa tu.
Aishi kwa matumaini ya kupata timu kubwa Africa au Ulaya huku akilipwa mshahara kiduchu. Umri unaenda mwisho wa siku anaishia Namungo, Singida, KMC nkNi kweli...mara nyingine it's not always about money...ni vile unakua kwenye timu ambayo unapata exposure na kujulikana zaidi na kushiriki zaidi michuano mbalimbali...baadae unaweza lamba dili kubwa zaidi..hapa Tanzania uchawi na figusu figisu nyingi unaweza kupotea kabisa...
Mwambieni kijana atulie...
Naunga mkono hojaKuna habari zimetoka kuwa Azam wameweka million 400 mezani kwa Yanga wakitaka kumsajili Mzize.
Azam ni kichakani yaani sio mjini kwenye soka kwa maana Mzize hataonekana sana huko Ulimwenguni
Namshauri asalie Yanga ili aandae baadae yake nzuri kisoka maana akicheza Yanga team kubwa zitamuona ila akifata tamaa ya muda mfupi ataishia kucheza na Namungo
Au labda zitakuwa propaganda za kututoa kwenye mawazo ya derby ili tujikite kumwaza azam na Mzize
Una uhakika analipwa hela hiyo ?kijana aondoke Tena haraka Sana haiwezekani mchezaji unacheza game had za Champions leauge afu anaalipwa laki tisa kwa mwezi uwo ni upumbavu wa kiwango cha Rami Fei uyo jina Dogo ila benki akunti imenona akiwa Yanga jina kubwa ila anagombania daladala kama mkimbizi
Mkuu sio laki 9 ni laki 6 😅kijana aondoke Tena haraka Sana haiwezekani mchezaji unacheza game had za Champions leauge afu anaalipwa laki tisa kwa mwezi uwo ni upumbavu wa kiwango cha Rami Fei uyo jina Dogo ila benki akunti imenona akiwa Yanga jina kubwa ila anagombania daladala kama mkimbizi
Makoolo ndio mnajua mishahara ya wachezaji wa Yanga ajabu haujui mshahara wa Karabakakijana aondoke Tena haraka Sana haiwezekani mchezaji unacheza game had za Champions leauge afu anaalipwa laki tisa kwa mwezi uwo ni upumbavu wa kiwango cha Rami Fei uyo jina Dogo ila benki akunti imenona akiwa Yanga jina kubwa ila anagombania daladala kama mkimbizi