ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Kuna habari zimetoka kuwa Azam wameweka million 400 mezani kwa Yanga wakitaka kumsajili Mzize.
Azam ni kichakani yaani sio mjini kwenye soka kwa maana Mzize hataonekana sana huko Ulimwenguni
Namshauri asalie Yanga ili aandae baadae yake nzuri kisoka maana akicheza Yanga team kubwa zitamuona ila akifata tamaa ya muda mfupi ataishia kucheza na Namungo
Au labda zitakuwa propaganda za kututoa kwenye mawazo ya derby ili tujikite kumwaza azam na Mzize