Mzize kwenda Azam ni kujimaliza kisoka

Mzize kwenda Azam ni kujimaliza kisoka

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Kuna habari zimetoka kuwa Azam wameweka million 400 mezani kwa Yanga wakitaka kumsajili Mzize.

Azam ni kichakani yaani sio mjini kwenye soka kwa maana Mzize hataonekana sana huko Ulimwenguni
Namshauri asalie Yanga ili aandae baadae yake nzuri kisoka maana akicheza Yanga team kubwa zitamuona ila akifata tamaa ya muda mfupi ataishia kucheza na Namungo

Au labda zitakuwa propaganda za kututoa kwenye mawazo ya derby ili tujikite kumwaza azam na Mzize
 
Kwani hao Uto wanamlipa Mzize $ngapi kwa mwezi?
Kuna habari zimetoka kuwa Azam wameweka million 400 mezani kwa Yanga wakitaka kumsajili Mzize.

Azam ni kichakani yaani sio mjini kwenye soka kwa maana Mzize hataonekana sana huko Ulimwenguni
Namshauri asalie Yanga ili aandae baadae yake nzuri kisoka maana akicheza Yanga team kubwa zitamuona ila akifata tamaa ya muda mfupi ataishia kucheza na Namungo

Au labda zitakuwa propaganda za kututoa kwenye mawazo ya derby ili tujikite kumwaza azam na Mzize
 
Angekuwa ni free agent ningesema Mzize achukue hela hizo. Mpira ni ajira.

Pia kama mshahara mzuri aende azam tu
 
Ni kweli...mara nyingine it's not always about money...ni vile unakua kwenye timu ambayo unapata exposure na kujulikana zaidi na kushiriki zaidi michuano mbalimbali...baadae unaweza lamba dili kubwa zaidi..hapa Tanzania uchawi na figusu figisu nyingi unaweza kupotea kabisa...
Mwambieni kijana atulie...
 
Hii ni mbinu za wakala wake au mbinu za wapinzani wake za kuitoa Yanga kwenye mipango ya kushinda mechi ya Derby au mipango ya ubingwa wa ligi kuu.
Wakala anataka kupiga pesa ndefu Mzinze akipewa mkataba wa fedha nyingi.
Kumbukeni wakala wa Feisal Salum, Mayele na Mzinze ni yule wakala mkubwa wa wachezaji ligi kubwa Ulaya.
 
Na nyie kila kitu mnalink na wapinzani..sasa wapinzani wenu si ndo hao mnasema mtawapiga goli 5 trh 20 mbona kama mmekua na wasi wasi sana kama mnajisaidia nje? Yani wasiwasi ni kubwa kuliko hali halisi ...
Samaleko jirani...
 
Hii ni mbinu za wakala wake au mbinu za wapinzani wake za kuitoa Yanga kwenye mipango ya kushinda mechi ya Derby au mipango ya ubingwa wa ligi kuu.
Wakala anataka kupiga pesa ndefu Mzinze akipewa mkataba wa fedha nyingi.
Kumbukeni wakala wa Feisal Salum, Mayele na Mzinze ni yule wakala mkubwa wa wachezaji ligi kubwa Ulaya.
Azam ni Simba B
 
Kuna habari zimetoka kuwa Azam wameweka million 400 mezani kwa Yanga wakitaka kumsajili Mzize.

Azam ni kichakani yaani sio mjini kwenye soka kwa maana Mzize hataonekana sana huko Ulimwenguni
Namshauri asalie Yanga ili aandae baadae yake nzuri kisoka maana akicheza Yanga team kubwa zitamuona ila akifata tamaa ya muda mfupi ataishia kucheza na Namungo

Au labda zitakuwa propaganda za kututoa kwenye mawazo ya derby ili tujikite kumwaza azam na Mzize
Juzi mmeandika mzize analipwa laki 6,kwahiyo mnataka aendelee kulipwa hivyo?
 
Ni kweli...mara nyingine it's not always about money...ni vile unakua kwenye timu ambayo unapata exposure na kujulikana zaidi na kushiriki zaidi michuano mbalimbali...baadae unaweza lamba dili kubwa zaidi..hapa Tanzania uchawi na figusu figisu nyingi unaweza kupotea kabisa...
Mwambieni kijana atulie...
Aishi kwa matumaini ya kupata timu kubwa Africa au Ulaya huku akilipwa mshahara kiduchu. Umri unaenda mwisho wa siku anaishia Namungo, Singida, KMC nk
 
Kuna habari zimetoka kuwa Azam wameweka million 400 mezani kwa Yanga wakitaka kumsajili Mzize.

Azam ni kichakani yaani sio mjini kwenye soka kwa maana Mzize hataonekana sana huko Ulimwenguni
Namshauri asalie Yanga ili aandae baadae yake nzuri kisoka maana akicheza Yanga team kubwa zitamuona ila akifata tamaa ya muda mfupi ataishia kucheza na Namungo

Au labda zitakuwa propaganda za kututoa kwenye mawazo ya derby ili tujikite kumwaza azam na Mzize
Naunga mkono hoja
 
kijana aondoke Tena haraka Sana haiwezekani mchezaji unacheza game had za Champions leauge afu anaalipwa laki tisa kwa mwezi uwo ni upumbavu wa kiwango cha Rami Fei uyo jina Dogo ila benki akunti imenona akiwa Yanga jina kubwa ila anagombania daladala kama mkimbizi
 
Una uhakika analipwa hela hiyo ?
 
kijana aondoke Tena haraka Sana haiwezekani mchezaji unacheza game had za Champions leauge afu anaalipwa laki tisa kwa mwezi uwo ni upumbavu wa kiwango cha Rami Fei uyo jina Dogo ila benki akunti imenona akiwa Yanga jina kubwa ila anagombania daladala kama mkimbizi
Makoolo ndio mnajua mishahara ya wachezaji wa Yanga ajabu haujui mshahara wa Karabaka
 
Back
Top Bottom