Mzizi mkuu wa changamoto za mfumo wa Elimu Tanzania ni kwamba RoteLearning ndio injini, moyo na roho ya elimu rasmi.
Rote Learning ni mfumo wa kujifunza ambao mwanafunzi hutakiwa kukariri na kukumbuka. Mbadala wake ni pamoja na mbinu za kujifunza zinazozingatia fikra tunduizi, majaribio ya vitendo, na mbinu shirikishi.
I’m sure most CRLS students have taken a vocabulary test during their high school careers, or perhaps a test on the sines and cosines of the unit circle.