"Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

Ngwiji la habari nchini aleyegeuka kituko kwa uoga tuu
yaani Pascal Mayalla
siku nchi ikirudi ktk mikono salama namaanisha siku utawala huu wa kidikteta ukiondoka sijui utatumia media gani kuomba radhi watanzania ili warudishe imani kwako
 
So kwa akili yako utaratibu ndiyo unasema hivyo? Hata kama wewe mi MATAGA jua siyo tiketi ya wewe kuwa mpumbavu, shirikisha akili yako
 
Mlimsema sana Bashite mpaka ikaonekana kwa Tanzania yeye tu ndiye Zero brain, kumbe kuna watu kama wewe mmejificha Jf
 
Bro umeteleza na umeungana na MATAGA!

why CCM wanashangilia hili jambo wakati mwezi mmoja tu uliopita WALIKUWA WANAWAZOMEA?

TANGU lini?
Nakuheshimu Pasko
 
Ukimuona mwanaume anakuwa mbeya ogopa Sana. Hivi aliyekuambia kuwa kina Mdee wanaoenda kufukuzwa uanachama Ni Nani. Mbona kipindi Cha nyuma wanaitana tu hivi hii ya leo ndio ameanza kuwa mwanasheria. Jambo hili Ni la Chadema mashabiki wa CCM wakae kando
 
Kama unafahamu kuna taratibu, mbona ccm hawajafuata kuwateua hao unaowasifu sasa hivi? Fomu za Nusrat kuteuliwa kuwa mbunge zilipitia kwako? Na hata safari hii, pamoja na kujitahidi kutengeneza visibility hakuna atakayekuteua uende kujipendekeza huko.
 
Huyo jamaa siku hizi anajitoa sana ufahamu, usipoteze nguvu zako bure
 
Mkuu mbona umefurahi mapema hivi, ngoma ndio kwanza ina siku 4 bado mbichi hii. Wewe unadhani kufuata taratibu zote hizo ni kazi ngumu? Ukweli ni kwamba, chama kimeshika mpini, wao wameshika makali. Kama wana grounds, waende. Maana kuchelewa hakutawaponya, kutachelewesha tu the inevitable
 
Mayala yupo nyumbani kwa mdee tokea juzi Akili zimemruka hajuia anachokiandika
 
Mayalla aliponiacha hoi baada ya kuwapongeza hakusema ofisi zao zs ubunge huo zitakuwa wapi, ndani ya sidiria au Lumumba? Na je, ndiyo wamekata mawasiliano na chama chao cha Chadema?
Makada wa ccm wamejipatia wachumba huko Dodoma kwa njia za kujidai kuwatetea
 
Wote 19 kila mmoja sasa ana boy friend mpya ccm ni hatari kubwa hata Paskal ataporwa mdee licha ya kushinda na kulala kwake tokea juzi
 
We mayala ni kalio sana
 
Kwani Lissu na Lema Wote wanaanza na herufi (L), walidai wametishiwa maisha hadi wakakimbilia ughaibuni. Je, ni kituo gani cha Polisi walikwenda kuripoti kama wanatishiwa ili wapate ulinzi? kwanini unawakomalia hawa wanawake? au na wewe ulikuwa na mpango wa kupata hata nafasi moja lakini wakakuwahi. Kwa bahati mbaya, hawa makomandoo wa Kike, hata wakifukuzwa uanachama watakwenda mahakani na kesi itakwenda kwa muda wa miaka 5. The business is OVER, Mbowe Ruzuku anavuta, na 10%zake anapata. Utatoa povu sana bila mafanikio. chukua jembe ukalime ndg...
 
Kwani kulikuwa na mashtaka??
 
Wewe babu inakuuma nini Halima kufukuzwa akaungana na wewe CCM? kwani lazima awe CHADEMA si ufurahie anakuja CCM? shame on you usiyekuwa na aibu hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…