NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Hawana na hakuna anaeweza.Hamna huo uwezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana na hakuna anaeweza.Hamna huo uwezo
Itakuwa hana VPN [emoji1787]Paskal mayala kaenda kwa mdee kuchukua pesa eti aje kuwatetea mitandaoni njaa mbaya sana
So kwa akili yako utaratibu ndiyo unasema hivyo? Hata kama wewe mi MATAGA jua siyo tiketi ya wewe kuwa mpumbavu, shirikisha akili yakoHalima Mdee amesema hadharani kuwa wamepata baraka za Chama chini ya uongozi wa Mbowe. Lakini, Mbowe hajatoka hadharani kukanusha hilo. Kwahiyo, simple logic ni kuwa Mbowe anaunga mkono wabunge hawa kuapishwa.
Mengine yanayoendelea ni kuwalaghai tu wanaharakati. Ni sawa na kumuahidi mtoto peremende ili aache kulia.
Mlimsema sana Bashite mpaka ikaonekana kwa Tanzania yeye tu ndiye Zero brain, kumbe kuna watu kama wewe mmejificha JfHalima Mdee amesema hadharani kuwa wamepata baraka za Chama chini ya uongozi wa Mbowe. Lakini, Mbowe hajatoka hadharani kukanusha hilo. Kwahiyo, simple logic ni kuwa Mbowe anaunga mkono wabunge hawa kuapishwa.
Mengine yanayoendelea ni kuwalaghai tu wanaharakati. Ni sawa na kumuahidi mtoto peremende ili aache kulia.
Mkuu siyo kweli kuwa Pascal Mayalla hana hivyo vitu, tatizo ni njaa na teuzi sema mzee baba kamkazia kama vile hamwoni na jitihada zake zoteHistoria itakukumbuka kama mwandishi wa habari asiye na busara, hekima wala maadili. Binafsi nitakukumbuka kwa hilo.
Bro umeteleza na umeungana na MATAGA!Huu ni msemo wa Kiswahili kuwa Mzoea Vya Kunyonga, vya kuchinja haviwezi! Chadema ilizoea kuwanyonga wanachama wake kwa kuwafukuza kienyeji enyeji na kujinga jinga, nimeisoma taarifa hii kwa faraja.
Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo.
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!
- Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?
- Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?
- Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia. Je, hili lilifanyika? Nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, je huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?
- Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, je hili litafanyika?
- Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?
Chadema sasa lazima ijifunze kufanya mambo kwa kufuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni!, kufanya mambo kwa kienyeji enyeji kwa mtindo wa zimamoto, sasa basi!
Hongera sana Kamanda Mhe. Halima Mdee na makamanda makomandoo wa kike kwa kuifunza nidhamu chama chenu cha Chadema.
Paskali
Kama unafahamu kuna taratibu, mbona ccm hawajafuata kuwateua hao unaowasifu sasa hivi? Fomu za Nusrat kuteuliwa kuwa mbunge zilipitia kwako? Na hata safari hii, pamoja na kujitahidi kutengeneza visibility hakuna atakayekuteua uende kujipendekeza huko.Huu ni msemo wa Kiswahili kuwa Mzoea Vya Kunyonga, vya kuchinja haviwezi! Chadema ilizoea kuwanyonga wanachama wake kwa kuwafukuza kienyeji enyeji na kujinga jinga, nimeisoma taarifa hii kwa faraja.
Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo.
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!
- Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?
- Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?
- Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia. Je, hili lilifanyika? Nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, je huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?
- Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, je hili litafanyika?
- Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?
Chadema sasa lazima ijifunze kufanya mambo kwa kufuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni!, kufanya mambo kwa kienyeji enyeji kwa mtindo wa zimamoto, sasa basi!
Hongera sana Kamanda Mhe. Halima Mdee na makamanda makomandoo wa kike kwa kuifunza nidhamu chama chenu cha Chadema.
Paskali
Huyo jamaa siku hizi anajitoa sana ufahamu, usipoteze nguvu zako bureKama unafahamu kuna taratibu, mbona ccm hawajafuata kuwateua hao unaowasifu sasa hivi? Fomu za Nusrat kuteuliwa kuwa mbunge zilipitia kwako? Na hata safari hii, pamoja na kujitahidi kutengeneza visibility hakuna atakayekuteua uende kujipendekeza huko.
Kweli kabsaKitokuja kwao kumeisaidia Chadema kuongeza siku za uhai wake!!
Mkuu mbona umefurahi mapema hivi, ngoma ndio kwanza ina siku 4 bado mbichi hii. Wewe unadhani kufuata taratibu zote hizo ni kazi ngumu? Ukweli ni kwamba, chama kimeshika mpini, wao wameshika makali. Kama wana grounds, waende. Maana kuchelewa hakutawaponya, kutachelewesha tu the inevitableHuu ni msemo wa Kiswahili kuwa Mzoea Vya Kunyonga, vya kuchinja haviwezi! Chadema ilizoea kuwanyonga wanachama wake kwa kuwafukuza kienyeji enyeji na kujinga jinga, nimeisoma taarifa hii kwa faraja.
Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo.
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!
- Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?
- Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?
- Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia. Je, hili lilifanyika? Nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, je huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?
- Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, je hili litafanyika?
- Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?
Chadema sasa lazima ijifunze kufanya mambo kwa kufuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni!, kufanya mambo kwa kienyeji enyeji kwa mtindo wa zimamoto, sasa basi!
Hongera sana Kamanda Mhe. Halima Mdee na makamanda makomandoo wa kike kwa kuifunza nidhamu chama chenu cha Chadema.
Paskali
Mayala yupo nyumbani kwa mdee tokea juzi Akili zimemruka hajuia anachokiandikaPasca unawajua wanawake waiivyo hata wa kwako aikukimbia akaenda Marekani unadhani hatujui hiyo. Hauoji waipatikanaje mchakato mzima ni forgery . Mwandishi gani anatetea maovu, chuoni umefundishwa Mwandishi wa habari anatakiwa awe mkweii , je wewe unaukweii wowote au unataka upewe cheo tuu kujaii tumbo . Kikao kinaendeea Bahari Beach wewe ng'ang'ana tuu subiri nondo nzuri, yupo Sugu, Msigwa, Mbowe, Suzan Kiwanga n.k, Antipus anajiunga kwa video conference.
Makada wa ccm wamejipatia wachumba huko Dodoma kwa njia za kujidai kuwateteaMayalla aliponiacha hoi baada ya kuwapongeza hakusema ofisi zao zs ubunge huo zitakuwa wapi, ndani ya sidiria au Lumumba? Na je, ndiyo wamekata mawasiliano na chama chao cha Chadema?
We mayala ni kalio sanaHuu ni msemo wa Kiswahili kuwa Mzoea Vya Kunyonga, vya kuchinja haviwezi! Chadema ilizoea kuwanyonga wanachama wake kwa kuwafukuza kienyeji enyeji na kujinga jinga, nimeisoma taarifa hii kwa faraja.
Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo.
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!
- Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?
- Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?
- Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia. Je, hili lilifanyika? Nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, je huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?
- Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, je hili litafanyika?
- Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?
Chadema sasa lazima ijifunze kufanya mambo kwa kufuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni!, kufanya mambo kwa kienyeji enyeji kwa mtindo wa zimamoto, sasa basi!
Hongera sana Kamanda Mhe. Halima Mdee na makamanda makomandoo wa kike kwa kuifunza nidhamu chama chenu cha Chadema.
Paskali
Kwani Lissu na Lema Wote wanaanza na herufi (L), walidai wametishiwa maisha hadi wakakimbilia ughaibuni. Je, ni kituo gani cha Polisi walikwenda kuripoti kama wanatishiwa ili wapate ulinzi? kwanini unawakomalia hawa wanawake? au na wewe ulikuwa na mpango wa kupata hata nafasi moja lakini wakakuwahi. Kwa bahati mbaya, hawa makomandoo wa Kike, hata wakifukuzwa uanachama watakwenda mahakani na kesi itakwenda kwa muda wa miaka 5. The business is OVER, Mbowe Ruzuku anavuta, na 10%zake anapata. Utatoa povu sana bila mafanikio. chukua jembe ukalime ndg...Mayalla! Unapogoma kwenda kazini kwa sababu ya kuwaogopa wafanyakazi wenzako ni kwamba umeacha kazi na si vinginevyo. Unampaje hongera anayejitoa uanachama! Kisa, anawaogopa wanachama wenzake, tulia tafakari.
Sijawahi kukushambulia na mara zote husema wakusikilize ili wakujue, lakini kwa hili umekosea ungewashauri waende au watoe ushahidi polisi au kwingineko wanakoona watalindwa.
Kwani kulikuwa na mashtaka??Huu ni msemo wa Kiswahili kuwa Mzoea Vya Kunyonga, vya kuchinja haviwezi! Chadema ilizoea kuwanyonga wanachama wake kwa kuwafukuza kienyeji enyeji na kujinga jinga, nimeisoma taarifa hii kwa faraja.
Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo.
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!
- Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?
- Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?
- Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia. Je, hili lilifanyika? Nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, je huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?
- Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, je hili litafanyika?
- Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?
Chadema sasa lazima ijifunze kufanya mambo kwa kufuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni!, kufanya mambo kwa kienyeji enyeji kwa mtindo wa zimamoto, sasa basi!
Hongera sana Kamanda Mhe. Halima Mdee na makamanda makomandoo wa kike kwa kuifunza nidhamu chama chenu cha Chadema.
Paskali
Huyu mzee asiyekuwa na akiliHistoria itakukumbuka kama mwandishi wa habari asiye na busara, hekima wala maadili. Binafsi nitakukumbuka kwa hilo.