Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri maamuzi ya pamoja ya kamati kuu!Mbona Mbowe yupo kimya sana kuhusu hili sakata.
Membe alifukuzwa kwa kuzoea vya kunyonga toka kwa malaika wa kirundiHuu ni msemo wa Kiswahili kuwa Mzoea Vya Kunyonga, vya kuchinja haviwezi! Chadema ilizoea kuwanyonga wanachama wake kwa kuwafukuza kienyeji enyeji na kujinga jinga, nimeisoma taarifa hii kwa faraja.
Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo.
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!
- Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?
- Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?
- Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia. Je, hili lilifanyika? Nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, je huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?
- Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, je hili litafanyika?
- Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?
Chadema sasa lazima ijifunze kufanya mambo kwa kufuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni!, kufanya mambo kwa kienyeji enyeji kwa mtindo wa zimamoto, sasa basi!
Hongera sana Kamanda Mhe. Halima Mdee na makamanda makomandoo wa kike kwa kuifunza nidhamu chama chenu cha Chadema.
Paskali
Mlipokuwa mnawaibia kura mlikuwa mmesahau huo uzuri wao? Unafiki huu unazidi kujenga msingi wa kuibomoa nchiUmenena logic sana mdogo wangu!
Wenyehekima watayaishi maono yako!
Hao watu ni wazuri kufikisha hoja za wananchi na kujadili mstakabali wa Taifa.
Sisi kama wanachama hatuo sababu ya kuendeleza malumbano yasiyo na tija.
Siasa ni ujira na wao washaula. Tuache roho za korosho
Polisi ya wapi wangekwenda kuripoti ? Mara mia wawe wabunge wa mahakama kuliko kuwa wabunge mamluki kisa mbowe anaitaka ruzukuKwani Lissu na Lema Wote wanaanza na herufi (L), walidai wametishiwa maisha hadi wakakimbilia ughaibuni. Je, ni kituo gani cha Polisi walikwenda kuripoti kama wanatishiwa ili wapate ulinzi? kwanini unawakomalia hawa wanawake? au na wewe ulikuwa na mpango wa kupata hata nafasi moja lakini wakakuwahi. Kwa bahati mbaya, hawa makomandoo wa Kike, hata wakifukuzwa uanachama watakwenda mahakani na kesi itakwenda kwa muda wa miaka 5. The business is OVER, Mbowe Ruzuku anavuta, na 10%zake anapata. Utatoa povu sana bila mafanikio. chukua jembe ukalime ndg...
Na wee mchawi kulikoni huku kwetu?Ona huyu Kilaza hahaha
Wewe Nani hasa
Na wee mchawi kulikoni huku kwetu? Yanakuhusuje?Ona huyu Kilaza hahaha
Wewe Nani hasa
Chadema wakubali yaishe. Walishiriki uchaguzi ili wapate kura .Wamepata wabunge 20.Si haba wawape ushirikiano wawashe moto bungeni. Waendelee kujenga chama. Na waongee hoja bungeni. Maana huku nje wakiongea wanaitwa wachochezi.
Mkurugenzi wa NEC ni nani, huyo ni uchafu kama uchafu mwingine. Unaleta habari za watu walioratibu wizi kwenye uchaguzi, ndio unaniambia kasema?Mkurugenzi wa NEC kasema mnyika alipeleka majina yao tarehe 19, Sasa huelewi Nini tena?
Ni lini Chadema walishatambua matokeo ?Ila pamoja na kutokutambua matokeo still wamekuwa wakienda Bungeni.CHADEMA kama chama hawayatambui matokeo ya uchaguzi na yote yatokanayo nao.
Tume inasema ilipata orodha kwa CHADEMA kupitia katibu mkuu anayekanusha hilo.
Kwanini asibainishwe aliyeingilia mchakato huu ambayo kwa hakika ni jinai?
Mtawalazimisha CHADEMA kuyatambua matokeo haya ya wizi?
Zamani alikuwa ana akili za kumtosha. Lakini tangu ameitwa mbele ya bunge, amekuwa mtu tofauti kkabisa.Ndio amebadili msimamo wake kiitikadi hadi eti naye akawa kada wa ccm na kuomba kuteuliwa kugombea ubunge wa Kawe. Amekuwa kama zezeta siku hizi. Atafuta attention ya mfalme wao.Huyo jamaa siku hizi anajitoa sana ufahamu, usipoteze nguvu zako bure
Ni lini Chadema walishatambua matokeo ?Ila pamoja na kutokutambua matokeo still wamekuwa wakienda Bungeni.
Mwenye mamlaka Ni chama sio mtu mfano mnyika angekuwa kafa na mwingine hajateuliwa majina yasingepaelekwa?Kama Halima ni mwanasheria, alitakiwa kujua mwenye mamlaka ya kisheria ya kupeleka majina tume ya uchaguzi ni KM. Huu uzi unakuchoresha tu bro.
Hahaha wamehamia ccmKwa sababu Tanzania hakuna Kovid-19 --- ilifukizwa ikafukuzwa!
Nasikia jamaa sio salama toka akiwa boarding school hivyo tumsamehe bureKabla ya Magufuli kuwa rais, nilikuwa namuona Paskali kama mwanaume, lakini baada ya kupata njaa ndio nimegundua ni mvulana.