Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika suala hili nilimuuliza Pascal maswali takribani 5 mwanzoni mwa mwezi Nov. aliomba 'time out' ilikujipanga hakuwahi kurudi licha ya kukumbushwa na tindo.
Hoja aliyonijibu Paskali ni kuwa yeye kama Raia ana uhuru wa kutoa mawazo, na kwamba ukada si kigezo cha kumpoka haki yake ya msingi. Nilikubaliana naye na kumwambia kuwa 'kuna thin line' kati ya kusimamia mawazo huru na kusimamia ukada hasa nyakati hizi ambapo u-DC unapatikana kwa mayowe.
Napenda kumkumbusha Paskali kuwa katika suala hili yeye si paskali huru, ni mtumishi na kada katika mission.
Hii ni kazi aliyopewa na anaifanya kwa juhudi ingawaje hawa mafedhuli Chadema wanatia mchanga kitumbua.
Namalizia ugali wangu a ngwoge hapa Bondei. karibuni
Yani awamu hii nayenyewe ukiona hupati teuzi? Basi kaogee mavi ya bibi kizee usafishe nyota.
Paskali kuchukua ukada sioni kama ni tatizo, ni haki yake kikatiba. Nilimweleza hiloSiku ambayo paschal mayalla aliamua kutumia real name yake kisa tu zile sifa za kuuliza swali kwa Magu nilimwambia utafurahia sasa tu ila ndo umeuza uhuru wako jumla. Kwassa hana ubavu wa kjandika kama pasco... kilichokua kinamfanya akatae kuwa si yeye pindi alipohusishwa na ID ya pasco ndicho kimemfanya aandike anayoandika sasa.
Hun jipya mzee paskali.Huu ni msemo wa Kiswahili kuwa "Mzoea vya kunyonga, vya kuchinja haviwezi"! Chadema ilizoea kuwanyonga wanachama wake kwa kuwafukuza kienyeji enyeji na kujinga jinga, nimeisoma taarifa hii kwa faraja.
Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo.
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!
- Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?
- Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?
- Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia. Je, hili lilifanyika? Nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, je huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?
- Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, je hili litafanyika?
- Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?
Chadema sasa lazima ijifunze kufanya mambo kwa kufuata katiba yake, sheria, taratibu na kanuni!, kufanya mambo kwa kienyeji enyeji kwa mtindo wa zimamoto, sasa basi!
Hongera sana Kamanda Mhe. Halima Mdee na makamanda makomandoo wa kike kwa kuifunza nidhamu chama chenu cha Chadema.
Paskali
Update:
Mkuu mode, bila kuingilia uhuru na mamlaka ya mode ku edit bandiko lolote na heading yoyote, ila heading inapotumia tamathali za semi, methali au nahau, neno hilo linapaswa kuwa vile vile lilivyo!. Mode hapaswi kulibadili!. Nimetumia neno
"Mzoea vya kunyonga, vya kuchinja haviwezi", hivi ndivyo neno rasmi lilivyo, ni tofauti na neno "
"Mmezoea vya kunyonga hamviwezi vya kuchinja"
P
Hata wakati wa uchaguzi waligombea hawa kina mama mbona hamkuwapigia debe leo ndio hashuo la kina mamaMh. Pascal kwa hili kwa kweli ni kipimo halisi cha Demokrasia inayopiganiwa na Chadema. Watuonyeshe sasa kuwa hicho ni chama chenye Uhuru ,haki na maendeleo ya watu.
Kuwafukuza mama zetu na Dada zetu waliokipigania chama kwa miaka na kutoa sehemu ya mishahara yao kukijenga huku wanaume wakiwa waoga na wasaliti ni kuendeleza udikteta na ukatili kwa mama zetu waliojitoa kupigania Uhuru ,haki na maendeleo ya watu.
Atafutwe aliyepeleka majina ya nafasi hizo za ubunge na sio walioteuliwa na tume baada ya kupokea majina.
Wao wameitwa baada ya majina yao kufika kwenye tume. Kosa lao ni nini ?
Maendeleo ya watu ni pamoja na kuheshimu fursa za wakinamama zinazowapa kipato kikatiba.
Mh. Pascal nakuomba sana endapo watawafukuza hao Wakinamama walioteuliwa kulingana na katiba ya nchi yetu na hawakujipendekeza bali majina yao yalipelekwa na mtu asiyejulikana , basi tumuombe Msajili wa vyama akifute hicho chama haraka sana mana sio chama cha siasa na hakifuati katiba ya nchi.
Chama gani hicho cha siasa ambacho hakijali maslahi ya Nchi,wala maslahi ya wanachama wake waliokipigania !
Hicho chama kipo kwa ajili ya nani hasa mana kwa wananchi hakijali maslahi yao,kwa taifa hakijali maslahi mapana kwa taifa letu .
Kwa nini kisifutwe !!
Mbowe abadili mfumo wa kuongoza chama kidikteta na kuwaumiza wanachama na viongozi wenzake waliokipigania chama kwa miaka mingi.
Uchaguzi umepita na walioumizwa na uchaguzi huo hawana sababu ya kuendeleza dhulma inayodhaniwa kuwa ilifanyika kwa kuwaumiza wakina mama ili wakose maslahi yao yatakayowapa nguvu ya kukijenga chama na kuongoza BAWACHA wakiwa na nguvu ya kiredha na heshima kama wabunge. Lakini pia tunataka watu wa kubishana kwa hoja bungeni jambo ambalo wale 20 wanaliweza.
Tena Bunge likianza halafu nikisikia mtu anambughudhi Esta Bulaya basi itabidi aitwe bungeni kujieleza kwenye kamati ya maadili.
Wakina Dada wa watu wamepata maslahi manono halafu wanaletewa fitina kinyume cha katiba ya nchi yetu.
Mkuu Nguruvi3 , naomba uni tag kwenye uzi husika, nikujibu, kiukweli mimi ni mtu wa no stone unturned, ukiona sijajibu kitu, ujue sina jibu.Katika suala hili nilimuuliza Pascal maswali takribani 5 mwanzoni mwa mwezi Nov. aliomba 'time out' ilikujipanga hakuwahi kurudi licha ya kukumbushwa na tindo.
Hoja aliyonijibu Paskali ni kuwa yeye kama Raia ana uhuru wa kutoa mawazo, na kwamba ukada si kigezo cha kumpoka haki yake ya msingi. Nilikubaliana naye na kumwambia kuwa 'kuna thin line' kati ya kusimamia mawazo huru na kusimamia ukada hasa nyakati hizi ambapo u-DC unapatikana kwa mayowe.
Napenda kumkumbusha Paskali kuwa katika suala hili yeye si paskali huru, ni mtumishi na kada katika mission.
Hii ni kazi aliyopewa na anaifanya kwa juhudi ingawaje hawa mafedhuli Chadema wanatia mchanga kitumbua.
Namalizia ugali wangu a ngwoge hapa Bondei. karibuni
Mkuu tindo , naomba uni tag kwenye uzi husika, nikujibu, kiukweli mimi ni mtu wa no stone unturned, ukiona sijajibu kitu, ujue sina jibu.Bora umemkumbusha maana nilisubiri kwa hamu majibu yake na nikamkumbusha juu lakini hakutokea! Na sio kwamba hakutokea kwa bahati mbaya, bali ilibidi.
Huu ni msemo wa Kiswahili kuwa "Mzoea vya kunyonga, vya kuchinja haviwezi"! Chadema ilizoea kuwanyonga wanachama wake kwa kuwafukuza kienyeji enyeji na kujinga jinga, nimeisoma taarifa hii kwa faraja.