residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Misukule ndivyo ilivyo. Imeshasetiwa nini cha kufanya,kusema na kuandika.Mkuu, umesoma na kuelewa au umekimbilia ku komenti moja kwa moja!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misukule ndivyo ilivyo. Imeshasetiwa nini cha kufanya,kusema na kuandika.Mkuu, umesoma na kuelewa au umekimbilia ku komenti moja kwa moja!?
Wana haki kushiriki siasa na wala siyo dhambi.Watu wa Mungu wameacha kazi ya Mungu wamejikita kwenye siasa!
Kwa nini kucha kutwa unahangaika kutafuta umbea?Wakiunga mkono mapambio ya yesu FAKE hamtii neno ila wanapowanyooshea kidole puppets wa maccm mnatokwa na povu zito.
Uchaguzi 2020 - Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!
Wewe jamaa yaani ni muongo hata babako shetani anakushangaa umezaliwajee!Wacheni kuwaonea tbc matangazo yanarushwa kupitia mtandao wa internet na pale mbagala mawasiliano Ni ya kusuasua tatizo Ni wao cdm kufanyia mkutano vichochoroni,
Kichwa cha habari ulishawahi kukiona wapi bwasheeeeeDuh...!
Umesoma uzi wote kweli wewe? Au umesoma kichwa cha habari tu!!!!
Mbona mpayuko wa bwana yule unaenda live bila editing why dabo stdWaandishi wahabari wanautamaduni wao wakutoa taarifa inayoenda mojakwa moja kwenye jamiiiii. Hivyo sikila tamko au mijadala inayozungunzwa huwa inapelekwa mojakwa moja . hivyo lazima ichujwe kwanzaaa.
Hivyo kinachowagarimu nyie hadi jamaa yenu mkuuu akakasirika vile nikwa sababu mlitaka kila mnalopayuka liende moja kwamoja kwenye uuma wawatuuu.
TBC ni waandishi wahabari mahili wanaozingatia miiko na taratibu za taaluma yao.
Wewe kwa akili yako unadhani nani angewavamia? Wale siyo maccm bwana, wanajitambua, hawawezi kufanya ujinga kama huo!Hivi waandishi wa TBC WANGEVAMIWA NA ILE HALAIKI NA KUSHAMBULIWA TUNGEANDIKA HAYA?
Ila Gwajima yeye anafanya kazi ya yesu wa ChatoWatu wa Mungu wameacha kazi ya Mungu wamejikita kwenye siasa!
Duh....!Wacheni kuwaonea tbc matangazo yanarushwa kupitia mtandao wa internet na pale mbagala mawasiliano Ni ya kusuasua tatizo Ni wao cdm kufanyia mkutano vichochoroni,
Mtaongea maneno mengi kwa kuyapanga mkidhani mnaelewa sana na kumbe ni bure tuCCM bado hawana uwezo wa kushindana kisiasa. Hii imethibitika baada ya kauli ya Mgombea wa ccm kuwaambia wapiga kura "Mischague viongozi wa upinzania hata kama wanafaa".
Kauli hii yenye ukakasi imezua tafakuri si kwa wapinzani peke yake, bali hata kwa wana ccm wa kawaida. Inafichua ni kiwango gani ccm imehujumu maendeleo ya taifa kwa matumizi mabaya ya raslimali za taifa wakiwemo watu ambao ni hazina ya taifa.
Tumeshuhudia kwa kipindi fulani sasa ni namna gani majimbo yanayoongozwa na upinzani yakihujumiwa maendeleo, kwa kubaguliwa eti walichagua upinzania bil kujali kwamba hawa wananchi ni walipa kodi tena wazuri pengine kuliko hata wana ccm ambao ni mafisadi wa vizazi na vizazi, ila wanabadili rangi na aina ya ufisadi tu kama vinyonga.
Kuna maeneo ambayo hata fursa za miradi mizuri ya maendeleo zilizuiliwa na wakurugenzi eti kwa kuwa tu halmashauri ziko upinzani (Hili mimi ni shahidi, nilishuhudia wakati nimetembeleo ofisi ya Manispaaa Arusha. Kuna mtu mmoja alikwenda kwa Mkurugenzi akiwa na mradi wa supply ya maji na salama kwa mji mzima wa Arusha uliokuwa na manufaa lukuki yakiwemo afya, umeme, mazingira, uzalishaji, etc, bila kuongeza gharama ya maji kwa mtumiaji. Ilikuwa wananchi wawe wanafungulia maji bombani kokote na kunywa bila kuchemsha. Kwa masikio yangu wakati huyo mwananchi anawasilisha, alijibiwa na Mkurugenzi "Umepitia halmashauri, halmashauri yenyewe ni ya CHADEMA, mradi hautekelezeki". Niliugua moyoni ni kumfuata huyo Mtanzania akiwa na mabahasha yake, ndipo nilipojua huduma.
Lakini hii ni kwa sababau ccm hawana uchungu na maendeleo wala ustawi wa taifa na ndiyo sababu wamefanya hujuma kama hizi ili kuwaaminisha wananchi wapiga kura wenye uelewa mdogo kwama "Wapinzania hawawezi kuwasaidia" Hii si haki Mbele za Mungu.
Mgombea wa ccm aliposema "Msiwachague wapinzani hata kama wanafaa" eti wachague ccm ili awabane. Hii ina maana
1. Nchi inaongozwa na utashi wa mtu na si mfumo wajibishi. Ikitokea kiongozi anayefanya juhudi za kuwabana watu akawa na udhuru wa kutokuwa ofisini, hakuna uwajibikaji, n ahata juhudi anazosimamia zinakomea pale, bila haki ya mtu kuhoji uendelevu wake.
2. Hao anaosema wachaguliwe atawabana, ameshindwa kuwabana hadi sasa ni diyo sababu ya tumeshuhudia aki recycle mawaziri hadi basi. Hii ni kutokana na kuwa na watu wasiofaa, wasiokuwa na uwezo wala sifa sahihi ambao wamekuwa mizigo si kwake tu bali kwa taifa. Kuongozwa na viongozi mizigo, kumeliletea taifa hasara kiasi gani cha kazi duni, upotevu wa muda na gharama za malipo yao?
3. Mheshimiwa angelikuwa na uwezo wa kuwabana, bila shaka angewarekebisha wakafanya kazi sahihi kwa kiwango sahihi. Lakini kuwabana kwa kuwafukuza kazi, ni dhahiri hawa watu si wa kurekebisha maana hawana uwezo wa kubadilika.
4. Kuwa na viongozi wanaotegemewa kubanwa ili wafanyekazi, ukaacha watu wenye sifa na uwezo ambao wamesomeshwa na taifa hili kwa gharama kubwa, wenye vipaji ambavyo Mungu amelitunuku taifa hili, ni kukosa uzalendo na ni hujuma kubwa kwa taifa.
5. CCM imedhihirisha kukosa uwezo wa kutumia raslimali za taifa ipasavyo na ndiyo sababu hawana uchungu kutamka wachaguliwe watu hata kama ni wa hovyo kwa gharama ya kodi za Watanzania, walipwe kwa kodi za wananchi, watumie muda mkubwa wa kukimbizana na kukwepana ambao ulitakiwa uwe muda wa kulizalishia taifa, watu ambao hawana uwezo wa kurithisha kitu chema kwa vizazi vijavyo kti ambacho ni cha huzuni sana.
6. Unaweza kuwabana watu katika utekelezaji wa maazimio. Lakini unawezaje kumbana mtu asiye na uwezo ili atunge sera na sheria za nchi? Hawa wanaopigiwa debe kwamba walpewe tu uongozi hata kama hawana sifa, watakwenda bungeni kuchanganua bills na kuzipitisha ama kushauri masuala ya levels gani katika dunia hii inayoathiriwa na masuala mbalimbali ya utandawazi? Hawa watu wanajua sera za nchi na sheria zinapashwa kuzingatia mambo gani? Wanapeleke wapi nchi yetu hawa?
7. Nimepata kwikwi sana katika hili nikaona, picha pana sana juu ya kukaatwa kikatili majina ya wagombea wa upinzania, kutokusilikizwa hata wakiwa na hoja za msingi kiasi gani, hila za kucheleweshwa mashauri ya uchaguzi, matumizi ya nguvu kama utekaji n.k bila kujali kwamba tunajenga taifa moja.
8. Kwa kuzingatia mambo mengi nyuma ya udhaifu huu, ninatoa wito kwa Watanzania wote, tuchague wawakilishi wenye sifa na wanaofaa bila kuajli vyama ili CCM wajifunze kutumia raslimali za taifa kwa maslahi ya taifa. Asiyetaka kufanya kazi na watanzania wenye sifa eti kwa sababhu hawezi kuwa thibiti, ni mtu asiyejue kwamba uongozi ni mifumo na bila mifumoa sahihi hakuna maendeleo endelevu hivyo, ajitathmini.
Leta ushadiiMbona mpayuko wa bwana yule unaenda live bila editing why dabo std
Leta ushadii
Hapo kwa Gwajima vipi..?Watu wa Mungu wameacha kazi ya Mungu wamejikita kwenye siasa!
Team KICHAA!.Waandishi wahabari wanautamaduni wao wakutoa taarifa inayoenda mojakwa moja kwenye jamiiiii. Hivyo sikila tamko au mijadala inayozungunzwa huwa inapelekwa mojakwa moja . hivyo lazima ichujwe kwanzaaa.
Hivyo kinachowagarimu nyie hadi jamaa yenu mkuuu akakasirika vile nikwa sababu mlitaka kila mnalopayuka liende moja kwamoja kwenye uuma wawatuuu.
TBC ni waandishi wahabari mahili wanaozingatia miiko na taratibu za taaluma yao.
Kuna ubaya? Lbd kwakuwa ni uchaguzi had it been ni covid 19 viongozi wangesifiwa Kwa kushiriki, woga wa watawala uko wazi.Watu wa Mungu wameacha kazi ya Mungu wamejikita kwenye siasa!
Hampendi ukweli .Watu wa Mungu wameacha kazi ya Mungu wamejikita kwenye siasa!
Team matusi mkitekeleza ilani yenu ya uchaguzi ya miaka 5Team KICHAA!.