Mzozo wa CHADEMA na TBC: Nitasema mimi kiazi, wewe muhogo una mzizi'!

Weredi ndiyo nini??
 
Kauli ni sahihi maana wakiingia kule mjengoni ni kususa na kupinga kila kitu sasa tutapitishaje hoja zao waliopiga kura?. Safari hii wana saccos wa Ufipa, mtakula wa chuya.

Usiwe mtu wa kukubali kila jambo hata kama lina maslahi kwako binafsi achilia mbali jamii,
Uwe makini kijana kupinga jambo siyo kwa nia ovu bali kutaka kujua kwa undani maudhui ya jambo lile.
 
Walipayuka wakasemaje?
 

Watu wa kiwango chako, kwenye mijadala kama hii unasoma na kujifunza kimya kimya. Kufugnua mdomo ni kuanika utupu hadharani. Huoni haibu?
 
Ona haya japo kidgo zezeta wa ccm ww.
 
Watu wa Mungu wameacha kazi ya Mungu wamejikita kwenye siasa!
Fuasi jinga sijui umesoma ujumbe au unaendekeza uzombie wako....kwa upinzani wanafanya siasa ila ccm halali kwakua chama cha kidini....pumbafu sn wew
 
Vitendo vya kuchagua maudhui ya kurusha kwa upande wa Upinzani na kutokuchagua maudhui ya kurusha kwa upande wa CCM na Serikali yake ndivyo vinavyopelekea baadhi ya Vyombo vya Habari ikiwemo TBC kuhisiwa kuwa wana upendeleo. Swali fikirishi, je CCM na Serikali yake ndiyo wenye akili sana kuliko watanzania wote 'marakadhaa tumeshudia viongozi tuliowapa dhamana wakijitoa ufahamu hadi tunashanga'
 
Reactions: BAK
Tiibiisii ni sikio la kufa ambalo lilishakufa zamani
 
Watu wa Mungu wameacha kazi ya Mungu wamejikita kwenye siasa!
Siasa ni maisha unayoishi binaadamu yeyoye siasa inaweza amua ukaishi kama digi digi siasa inaweza amua ukaishi kama upo peponi unataiacha siasa siku utakapo ingia kaburini mtu unaposema wewe sio mwanasiasa wakati siasa hizo hizo ndio zinakuendeshea mfumo wako wa maisha kila siku huwa nakushangaa sana nikuweke kwenye kundi gani kilazaaa au mbulula
 
Kinachofanyika TBC ni mfano wa yale yanayofanywa na vyombo vingi sana vya serikali, wala sio siri wala kufichana. Kama huamini leo hii chukua wimbo wako hata wa dini, peleka TBC uwaombe waurushe hewani kwa mfano kwenye vipoindi vya dini, hautapokelewa....unless uwe unasifia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…