Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

Ukitafuta habari tumia mashirika mengine halafu uone kama Taarifa zinafanana ndo utoe majumuisho kwamba ukweli ni upi. Usitegemee shirika moja tuu.
Nipe majumuisho basi kutoka vyanzo vyako.
 
Hahahaha wanajeshi mzee hao raia hata gaidi mmoja akitua kariakoo anaua watu hata 100 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbu mkuu anahofia watu kufika gisenyi, kaifanya goma buffer zone,jambo zuri kuziweka target hapo, askari wa tpdf mmoja sawa na hao fidodido mia, lazima tulipe
 
Mbu mkuu anahofia watu kufika gisenyi, kaifanya goma buffer zone,jambo zuri kuziweka target hapo, askari wa tpdf mmoja sawa na hao fidodido mia, lazima tulipe
Hahahaha acha kulia kichapo ulichopokea ni Cha mbwa koko🤣🤣🤣🤣🤣
 
W

We Kweli punga Sasa mtu kashakuulia wanajeshi wako we unasubiri nini hahahaa yaani umeshapokea kipigo Cha mbwa Koko we bado unabwekea bandani kwako tu huna jeshi mzee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha jeuli za nyuma ya keyboard bwa mdogo,, wengine humu baba zako wa kufikia ila I'd fake tu za jf.. siku ukinikuta kwa mama yako wa kitusi na taulo kiunoni ndo adabu itakushika..
 
Kimewakuta nini sake mkielekea bukavu huko!?
Kama kawaida baada ya kupokea kichapo Cha mbwa Koko tulitarajia propaganda hizo hahahaha uzuri m23 inapiga kazi tu kama mnaweza nendeni mkaikomboe goma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Acha jeuli za nyuma ya keyboard bwa mdogo,, wengine humu baba zako wa kufikia ila I'd fake tu za jf.. siku ukinikuta kwa mama yako wa kitusi na taulo kiunoni ndo adabu itakushika..
we itakua mke wa baba labda 🤣🤣🤣🤣
 
Hii ndiyo sababu hasa, na ndiyo lugha inayoeleweka kwa vijitu vikorofi kama PK.

Nadhani alipoambiwa Kigali itasambaratishwa kwa "Long range ballistic missiles", akajua hapo ndo rasmi utawala wake utatamatishwa kibabe wakati bado anataka kuendelea kula
 
DRC is a failed state
 
W

We Kweli punga Sasa mtu kashakuulia wanajeshi wako we unasubiri nini hahahaa yaani umeshapokea kipigo Cha mbwa Koko we bado unabwekea bandani kwako tu huna jeshi mzee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa naanza kupata picha kwa nini wahutu walikuwa wanawaiteni kokrochi,, wanajeshi walioukufa ni walinda Amani na si wa front line, umeelewa we choko la kitusi
 
M23 ya 2013 na ya sasa ina utofauti upi?
 
Sasa naanza kupata picha kwa nini wahutu walikuwa wanawaiteni kokrochi,, wanajeshi walioukufa ni walinda Amani na si wa front line, umeelewa we choko la kitusi
We punga mbona hasira mmeshachezea kichapo na la kufanya huna kama unahasira sana kalia dole🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sio watapigwa washapigika mizoga Yao wameibeba tena sio south Africa na tanzania Kuna mizoga Yao wameichukua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dogo usijiamini Sana hii inathibitisha wewe sio Mtanzania kama ni Mtanzania si mzalendo. Unajua gharama ya usariti kwa nchi? Shauri yako unadhani hii mitandao ni salama Sana. Wenzako wanamtambo wa kukujua kutumia data (internet) unayotumia Tena kama ni ya simu ndio wanachora tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…