and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Hizi story huwa mnazipatia wapi?🤣 acha umbeya!!!(jus kidding )
Ni kwamba Burundi ni mtoto wetu sisi Watanganyika na hii vita hata kama ingeendelea ingeweza ku backfire kwa Burundi pia sababu kuna kundi la waasi linamsumbua Burundi hivyo m23 kuendelea kuchukua maeneo hapo congo lazima wangekutana na hilo kundi la waasi la Burundi na kuunganisha nguvu..
Na sisi watanzania hatuna bifu na Kagame ila kagame ndio huleta chokochoko kwetu. Hivyo kilichotokea, Burundi kawezeshwa na tz(kipesa na taarifa zote muhimu ) kisha akaingia kazini, unaambiwa kawachakaza m23, piga sanaaa.(hapo tz kakaa zake pembeni kama hajui kinachoendelea)
Na hawa waburundi tunawapaga sapoti mara nyingi sana, kama unakumbuka kipindi fulani prezida nkurunzinza alipokuja dar kwenye kikao, watu kule Burundi walifanya mapinduzi kwa msaada wa pk na almost walikua wameshafanikiwa.
Unaambiwa prezida nkurunzinza alisafirishwa kwa siri chap chap kutoka dar hadi kigoma, kisha akavushwa mpaka kisirisiri mpaka ikulu,baadae watu wanashangaa rais anahutubia taifa akiwa ikulu, yeye mwenyewe anawashangaa watu wanaosema amepinduliwa.
