Mr passion
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 202
- 282
HATA WEWE UKIWA AMIRI JESHI NA AKILI IPO SAWA SAWA LAZIMA URUDI NYUMA KIDOGO 24HRS 600 SOLDIERS KILA UKIITA KWA RADIO CALL UNASIKIA SHWAAA SHWAA 😂 NA USIKUTE KAGAME ANAONGEA AKIWA UHAMISHONI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HATA WEWE UKIWA AMIRI JESHI NA AKILI IPO SAWA SAWA LAZIMA URUDI NYUMA KIDOGO 24HRS 600 SOLDIERS KILA UKIITA KWA RADIO CALL UNASIKIA SHWAAA SHWAA 😂 NA USIKUTE KAGAME ANAONGEA AKIWA UHAMISHONI
Hao wanaongia ni jeshi la rwanda wamenda kusaidia mazombi yaoGoma Gani hiyo mzee au ya kwenu maana goma Sasa ni nchi huwezi kuingia kidezi hivyo🤣🤣🤣🤣
Ni kwanini Congo isitupe contract sisi Watanzania ili tukalijenge upya jeshi la Congo DRC na tulifunze kuwa na nidhamu ya hali ya juu? Halafu watuachie tuvune Coltan kwa mwaka mmoja tu.Halina maamuzi, literally Congo ni kama hawana jeshi. Ni watu tu wanaovaa combats lakini si jeshi.View attachment 3225114View attachment 3225115View attachment 3225116View attachment 3225117
South Africa walituma tu mgambo kupima nguvu ya upepo; Walipo tangaza kuwa sasa watapelekewa jeshi lisambaratishe hadi kigali...si wametimka...Wako mbele wapi wewe washachezea kichapo kutoka Kwa m23 na la kufanya hawana , imebaki kusema wako mbele bila vitendo🤣🤣🤣🤣
Huko south Africa Kuna migambo tu hamna jeshi la kupambania na m23South Africa walituma tu mgambo kupima nguvu ya upepo; Walipo tangaza kuwa sasa watapelekewa jeshi lisambaratishe hadi kigali...si wametimka...
Unatombwa na mbwaSio watapigwa washapigika mizoga Yao wameibeba tena sio south Africa na tanzania Kuna mizoga Yao wameichukua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wasema tu wameufyata baada ya Trump na Putin kusikikaMuungano wa makundi ya waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametangaza usitishaji mapigano wa kibinadamu kuanzia Jumanne.
Katika taarifa, kundi hilo - linalojumuisha waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda - lilitaja "sababu za kibinadamu" za kusitisha mapigano, baada ya kuteka maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo.
Umoja wa Mataifa umesema takriban watu 900 wameuawa na wengine 2,880 kujeruhiwa katika mapigano ya hivi majuzi katika na karibu na Goma, mji mkubwa wa mashariki mwa DRC, baada ya kutekwa na waasi.
Mataifa ya G7 na EU yamelaani mashambulio hayo kama ukiukaji wa wazi wa uhuru wa DR Congo.
Muungano wa makundi ya waasi - unaojulikana kama Muungano wa Mto Congo - umeshutumu jeshi la Kongo (Congo River Alliance) - kwa kuua watu wakitumia ndege kupiga mabomu maeneo wanayoshikilia.
Pia soma: Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo
Iliongeza kuwa haina nia ya kunyakua eneo lolote zaidi, licha ya kusema vinginevyo wiki iliyopita, na itashikilia misimamo yake.
Katika taarifa, muungano huo ulisema: "Tunasisitiza dhamira yetu ya kulinda na kutetea raia na nafasi zetu."
Mapigano ya kikanda yameshuhudia mamia ya maelfu ya watu wakihama makazi yao katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita. Tangu kuanza kwa 2025, zaidi ya watu 400,000 wamelazimika kutoka kwa makazi yao, kulingana na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi.
Rais wa Rwanda Paul Kagame - ambaye pia ni kamanda mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda - alisema hajui kama wanajeshi wa nchi yake walikuwa nchini DRC
"Kuna mambo mengi sijui. Lakini ukitaka kuniuliza, kuna tatizo nchini Congo linaloihusu Rwanda? Na kwamba Rwanda ingefanya lolote kujilinda? Ningesema 100%," aliiambia CNN siku ya Jumatatu.
Hahahaha eti mazombi wanaume wameiteka goma wanafanya watakalo nyie mademu kazi kulialia eti mizoga yenu imeuwawa mlifikiri mnakuja harusini sio🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hao wanaongia ni jeshi la rwanda wamenda kusaidia mazombi yao
Itaishaje hivi hivi kiaina aina!! Jipu likipapaswa kesho litarudi tena kwa maumivu makali!!
Dawa ya jipu ni kutumbua kamua mpk kiini kitoke damu na maji!!
Akazwe tafadhali
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣Unatombwa na mbwa
Nimeishi SA tokea rais ni De Clark, mara ya kwanza naingia North America nilikuwa nikitumia SA passport back then 50 Rand ikiwa ndiyo noti yao(yetu) kubwa. I know the country like the back of my hand, usijipoteze kuniuliza kuhusu SA.Sijui kama unaijua South Africa au unaisikia tu kwenye vyombo vya habari, kule ni habari nyingine bosi.
Wako mbele saaaana kwa techonologia na kila kitu kama ulaya
Zile vurugu zinazotokea pale mara moja moja zisikuchanganye...
M23 na kaka zao wao hawajafa? By the way, kwenye vita kuna upande usiopoteza askari hata kama ni wachache? Tatizo huwa unaangalia cartoon warfare tu.Sio watapigwa washapigika mizoga Yao wameibeba tena sio south Africa na tanzania Kuna mizoga Yao wameichukua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Magu yuleyule aliyekuwa chawa wa Kagame au Magu mwingine?Ila ndio ukweli ange bananishwa uyo ka nchi kadogo kanasumbua watu kutumia pesa za kodi kuandaa mikutano wakat njia ya utatuzi upo angekuwa magufuli ange pigika uyo
Uliona wapi mayimayi tunakula nyama ya mutu mwenye amekufa!?..sisi tunakulagha nyama ya mupoli tuKwahiyo uko kambi moja na Mayimayi Cannibals ambao wameanza kula Nyama ya maiti za Askari wanaofia kwenye mapigano?!
Mumekosa nyama ya Ng'ombe?!
Kwa aswile mzeeUko kwa aswile au kwa Chokola?
Wasingeweza kusonga mbele na kuteka mji ingekuwa kweli ratio iko hivyo, the end result tells us what exactly transpired. Ramaphosa is trying hard to deceive angry South Africans, it's too late.
Uliona wapi mayimayi tunakula nyama ya mutu mwenye amekufa!?..sisi tunakulagha nyama ya mupoli tu