Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

Ni kwanini Congo isitupe contract sisi Watanzania ili tukalijenge upya jeshi la Congo DRC na tulifunze kuwa na nidhamu ya hali ya juu? Halafu watuachie tuvune Coltan kwa mwaka mmoja tu.
Tshisekedi ni mfanyabiashara mkubwa wa madini na Ramaphosa ana migodi DRC, wako likely kuiomba SA zaidi kwa sababu za kimaslahi zaidi ya nchi nyingine yoyote.
 
Tshisekedi ni mfanyabiashara mkubwa wa madini na Ramaphosa ana migodi DRC, wako likely kuiomba SA zaidi kwa sababu za kimaslahi zaidi ya nchi nyingine yoyote.
Halafu wao wanamsingizia Kagame kwamba ana migodi Kongo kumbe ni wao🤔
 
Kwahiyo huyu kagame anaamua tu yaanii... Akiamua kutudunda na kuacha yy tu!!!??!!!
 
Jamaa ameamua kurudisha majeshi nyumbani ili kama uvamizi wa Kigali kutoka SA ukianza vijana wawepo nyumbani,maaana taarifa kamili ni kuwa karibu 75% ya jeshi la Rwanda wapo Goma na msituni
 
The conflict should not be frozen but it should be resolved categorically ! Freezing of conflict is the wastage of resources. All involved parties should resolve this conflict by any means possible although negotiation is preferred. Anyone pretending is not involved in the conflict should be dealt with as he or she is trying to freeze the conflict. Niongeze nini sasa nieleweke!!!.
Fact 👍
 
DRC: 8,000 Mayi-Mayi accused of cannibalism, disarmed in southern Katanga​

Format News and Press ReleaseSource
Posted13 Feb 2003Originally published13 Feb 2003
KINSHASA, 13 February (IRIN) - An estimated 8,000 Mayi-Mayi militiamen accused of cannibalism were disarmed last weekend in the Haut Lomami District of southern Katanga Province, the provincial governor, Aime Ngoy Mukena Lusa, told IRIN on Wednesday.
The fighters agreed to lay down their arms on 7 February following negotiations between Ngoy and their leaders in the village of Musau, home of one of the most prominent Mayi-Mayi leaders,
Tangu idd amini mpaka mayimayi..haki bado haipatikani!!
 
Jamaa ameamua kurudisha majeshi nyumbani ili kama uvamizi wa Kigali kutoka SA ukianza vijana wawepo nyumbani,maaana taarifa kamili ni kuwa karibu 75% ya jeshi la Rwanda wapo Goma na msituni
Wahuni wanapika msosi wenye pilipili nyingi,sharti aule na vidonda vyake vya tumbo
 
Wanasitisha mapigano wakati SADF ndio kwanza wanamobolize, kulipiza kisasi cha wanajeshi wake 14 kuuwawa?
Huko Rwanda Kagame amerudisha majeshi yake kuulinda mjiwa Kigali.
Hivi Kagame alifikiri atashambulia tuuu, yeye hashambuliwi?
Sasa isiwe sadc kwenda kulinda amani bali iwe vita coz rwanda (m23) wanatumia advantage ya kutoshambuliwa kotokana na slogan ya kulinda amani
 
Hata akiilinda Kigali ni kazi Bure maana SA anauwezo wa kurusha ballistics long range na zikatua Kigali vizuri tu
Wanasitisha mapigano wakati SADF ndio kwanza wanamobolize, kulipiza kisasi cha wanajeshi wake 14 kuuwawa?
Huko Rwanda Kagame amerudisha majeshi yake kuulinda mjiwa Kigali.
Hivi Kagame alifikiri atashambulia tuuu, yeye hashambuliwi?
 
Kutaka nchi nzima kutawaponza. Using'ate zaidi ya unachoweza kutafuna.
 
Huna jeshi wewe kaua askari wako na wengine kawachakaza wapo ICU wanapumulia mipira na goma ipo mikononi mwake na lakufanya huna huyo ndio Paulo mtaalamu wa vita kamguse uumie
Dogo Kagame na Rwanda ni hamna kitu,ninwepesi kama sufu.
Ninavyokuambia hivi ninajua mengi ila siwezi kusema hapa,nikiandika hapa nitajulikana Mimi ndio nimeandika,nilipewa kazi ndogo TU ya kufanya katika moja ya himaya za huyo Kagame wako.
Tanzania inqjua huyo jamaa Yako anapolala na kuamkia.
Katika kitu Nyerere alipatia ni kuweka mfumo wa wajumbe wa nyumba kumi.
Kagame alishaingia kwenye mtego wetu siku nyingi na yeye anajua.
Hapa Kikwete alicheza kama PeleLww Tanzania ogopa sana Mashehe na Mapadri.
Mimi sio man in uniform wala Agent,bali ni mfanyabiashara TU,lakini mwinifu kwa nchi yangu .
 
Back
Top Bottom