Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

Nikuambie kitu usichokijua rafiki.
Tanzania na Rwanda ni nchi rafiki kabisa,zina mahusiano mazuri zinafanya biashara na Marais wanatembeleana,nadhani hilo tuanakubaliana.
Raia wa pande zote mbili wanafanya biashara na wanashirikiana kwa Kila kitu.
Tahadhari kwa Kagame ilianza pale Kikwete na Kagame walipozozana.
Rwanda haiwezi kupigana na Tanzania kwa sababu nyingi mno.
Kubwa kuliko zote na ambazo ndizo Kagame hana amani nazo ni kua, kwa muda mrefu kagame amekua akipitisha mizigo yake kwenye bandari ya Dsm,na hapo ndipo alipofanyiwa umafia mkubwa kiasi alipokuja kugundua damage alijaribu kuhamia bandari za mbali.
Bahati mbaya alikohamia vijana walimtangulia ,alipogundua kua Kuna watu wameshakwenda huko na wanampigia chabo pia,aliamua kua mpole kwa Tanzania.
Watu walifahamu kirahisi mizigo yake nchi ilikotoka na mahali ilikoshushwa kuanzia mkoa,wilaya,kata,tarafa,Kijiji,mtaa,porimsitu na hadi kichaka.

Kiukweli Rwanda nchi ndogo kieneo yenye idadi ndogo ya watu isoyokua na bahari wala bandari, na isiyo na uzoefu wa vita kubwa haiwezi kutunishiana misuri na nchi kama SA na TZ,nchi zenye uzoefu na Kila aina ya vita,kuanzia vita za mda mrefu,vita vya kudai Uhuru,ukombozi,vita vya msituni Msumbiji,vita vya kulinda amani sehemu kama ,sudani,Liberia,Lebanon dadi vita za msitun.
Vita vya kusaidia kama Shelisheli na visiwani Comoro.

Utake usitake Rwanda kwa Tanzania ni hamna kitu.
Tumefanya biashara sana na Rwanda sisi Tanzania.
Sio Kila biashara ni biashara.
 
We kenge kweli yaani waache kuwatafuta waliowachezeshea kichapo wanitafute Mimi kwahiyo wakicheza kichapo Cha mbwa Koko tusiseme boya kweli wewe
 
We Kweli kinabo hujui hata unachoongea🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
We kokrochi ya kitusi dawa yenu iko jikoni soon mtakimbia vita na sehemu yenu kubwa ya kwanza bongo,, sasa safari mkija tunawafihleni kwanza alafu ndo tunawapa kambi ya kujihifadhi mbwa nyie
We ngedere kweli 🤣🤣🤣🤣
 
Kwa taarifa tu makampuni ya madini ya SA ndo wamiliki wakubwa wa migodi ya Kongo ! Hivyo serikali ya SA ina maslahi Kongo kwa maana ya kwamba malipo yote wanayopokea makampuni hayo yanapitia katika mabenki ya SA hivo serikali inapata kodi kbwa tu
KAKA MBONA UJAONGEA UONGO HATA KIDOGO WAKITAKA UHAKIKI WAKAULIZE TRUCK DRIVER WANAOFATA COPPER CONGO GARI YA SA HAPIGWI MAWE KAMA ZETU ZA KIBONGO KIUFUPI MIUNDO MBINU YA CONGO INATEGEMEA KUTOKA SA UMEME UNAZALISHWA ZAMBIA UNAKWENDA CONGO ILA ZAMBIA GIZA 😂 WANAVAA MANGUO YA MING'AO TU USIKU MUONANE KWAIYO MSHUA KAMA KAAMUA KUPIGANIA UGALI WAKE CONGO CC TUWE MASHABIKI NANI KAPIGWA MENGINE HAYATUHUSU
 
Baaaasi Tateee baaasi utaniliza bure mana kuna watoto wamekazana kila kitu chai chai hawajui mambo yanayotendeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…