GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Picha ya shoga mwenzako asiejiamini hata nzi tu anamuogopaJibu swali huyo ndio mmeo anaekupiga paipumaana umetuletea picha kabisa🤣🤣🤣🤣
Shoga wakati kakulamba kinyeo hicho unabaki kulialia humu 🤣🤣🤣🤣🤣Picha ya shoga mwenzako asiejiamini hata nzi tu anamuogopa
Naomba usinquote tena sina muda na watoto wasio rizki
Kabisa yanNilishapendekeza mahali kuwa Tanzania apewe kandarasi ya kufundisha jeshi la DRC, na wakati wote wa mafunzo Tanzania ndiye adhibiti eneo lote lenye changamoto ya usalama hasa Mashariki ya DRC. Wakiiva hao askari, ndipo waruhusiwe kukabidhiwa nchi.
Zikipita Zambia wanaweza kuzitungua kwa Sababu ni kama Zambia ni mshirika mkubwa wa Rafiki wa Kigali!!Hata akiilinda Kigali ni kazi Bure maana SA anauwezo wa kurusha ballistics long range na zikatua Kigali vizuri tu
Huyo jamaa yetu najuaa anajua ukweli lkn anataka kujifirahisha TU.Angalia umbali uliopo kati ya Dodoma hadi Ngara, halafu Ngara hadi Kigali.
View attachment 3225357
View attachment 3225359
Unaliwa na sultan makengeShoga wakati kakulamba kinyeo hicho unabaki kulialia humu 🤣🤣🤣🤣🤣
Hata mimi akifa Kagame nitamshukuru sana MUNGU. Damu za watu zitaacha kumwagika. Huyu ni Hitler wa central Africa.Kweli kabisa imeshindikana kumuua Kagame?
Akili Yako ndogo nimeishia hapo kwenye population ya watu yaani ulivyozuzu unafikiri kushinda vita ni wingi wa watu waliopo nchi kawachokoze Israel population yao 9M tu kama nchi Yako yenye population 67M haijageuzwa majivuHuyo jamaa yetu najuaa anajua ukweli lkn anataka kujifirahisha TU.
Ukweli hua haujifichi siku zote.
Kufa Kwa wanajeshi 2 wa TZ na 13 wa SA haimaanishi udhaifu wa majeshi hayo.
Sasa haisemwi ni wanajeshi wangapi wa M23 wamekwisha kufa Kwa Sasa .
Tufanye hiyo idadi ya 600 wa M23 waliokufa si sahihi.
Je wenyewe hawafi?
Sasa tuje kwenye ukweli na data
Population of Tanzania 67.4 million
Population of Rwanda 14 .09milion
Utulivu wa kisiasa
Tanzania utulivu ni asilimia 100, Haina wakimbizi wa kisiasa wala wakimbizi waasi.
Rwanda Haina utulivu wa kisiasa Kagame Kila siku anaua wapinzani wake na wengine kuwafunga.
Viongozi wenye nguvu za maamuzi na kisiasa baadhi wamekimbia nchi na wengine amewaulia uhamishoni.
Ikitokea vita waafhirika wa kisiasa hawatakia upande wake
Makabila
Tanzania Ina makabila mengi yanaelewana na yana umoja
Rwanda Ina makabila machache, mawili makubwa na hayana umoja
Hata hivyo kabila la Kagame watusi na ndio anawayegemea ni wachache Rwanda ukilinganisha na wahutu wengi.
M23 inaundwa na watusi zaidi na maadui wa kagame walioasi na kukimbilia DRC ni waasi wenye asili ya wahutu.
Ikitokea vita sehemu kubwa ya wahutu hawatakua upande wake.
Kijiografiq
Tanzania Ina ukanda mrefu wa bahari hii Ina faida kuingiza mizigo,
Rwanda Haina bahari hivyo Haina bandari kuingiza mizigo.
Rwanda kwa Tanzania inaingia mara 40
Na kibaya zaidi imezungukwa na nchi kadhaa zenye mashaka nayo.
Ikitokea vita hata kua na nafasi nzuri ya kuingiza silaha
Vita ilizopigana
Tanzania imepigana vita nyingi na ngumu.
Rwanda imepigana vita chache na nyepesi.
Ikitokea vita Rwanda Haina uwezo kama wa Tanzania
Ikitokea vita kamili baina ya nchi mbili hizi Rwanda itashindwa.
Wapi wewe wameshakutoa manundu na wanajeshi wako wameuwawa hakuna ulichokifanya kama unaweza wafuate goma sehemu waliyoishikilia kibabe sio kubweka humu🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hawana lolote mbwa hao.., , wapigwe kisawasawa.., na wakikimbilia RWANDA tunawafuata huko huko!, eti ndio walitaka Rais wa DRC ajishushe kiasi cha kuongea nao?!
Hivi mtu aliyesema anataka kuivamia Kinshasa leo hii aseme kaghairi hivi hivi tu bila kuwa kapigwa viboko vizito?!Nadhani ni maamuzi mazuri.
Kama amepigwa viboko mbona hivyo viboko haviendelei hamna kitu hapo kagame kaamua atulie kidogo maana Kila siku mnalialia kumtaja Ili msije mkamuaribua heshima yake anawasahaulisha halafu ataibuka tena kutembeza kichapo kama kawaida jiulize kwanini bado goma anaishikilia hivyo viboko si vingefika Hadi goma🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi mtu aliyesema anataka kuivamia Kinshasa leo hii aseme kaghairi hivi hivi tu bila kuwa kapigwa viboko vizito?!
Kabisa, sasa wanaghairi tu kivipi?!hawa hata kama wameamua kuacha mapigano, watafutwe popote walipo wamalizwe!!!Itaishaje hivi hivi kiaina aina!! Jipu likipapaswa kesho litarudi tena kwa maumivu makali!!
Dawa ya jipu ni kutumbua kamua mpk kiini kitoke damu na maji!!
Akazwe tafadhali
Hamna Cha moto Wala nini kagame mjanja maana kaona Kila siku mnalialia kumtaja kaona Hawa wajinga watanialibia heshima yangu kimataifa kwahiyo kawaambia m23 watumie kwanza waendelee kushukilia goma halafu wataaibika Tenga kutembeza kichapo m23 kama kawaida🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siyo kusitisha kirahisi kihivyo.Wamehisi kuna moto mkali unakuja.
Huna ubavu huo sababu wapo hadharani hapo goma Sasa peleka pua Yako utamjua Cornell nangaa ni nani🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kabisa, sasa wanaghairi tu kivipi?!hawa hata kama wameamua kuacha mapigano, watafutwe popote walipo wamalizwe!!!
Safari ya Kinshasa imefia wapi?Huna ubavu huo sababu wapo hadharani hapo goma Sasa peleka pua Yako utamjua Cornell nangaa ni nani🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona unaitetea jw inanini mana naona sa ndo wanakomaa Sasa hawa jw wanatoka wapiKwa ukanda huu, mtu yoyote mwenye akili hawezi kukomaa na JW na SA dhidi yake.