Angalia umbali uliopo kati ya Dodoma hadi Ngara, halafu Ngara hadi Kigali.
View attachment 3225357
View attachment 3225359
Huyo jamaa yetu najuaa anajua ukweli lkn anataka kujifirahisha TU.
Ukweli hua haujifichi siku zote.
Kufa Kwa wanajeshi 2 wa TZ na 13 wa SA haimaanishi udhaifu wa majeshi hayo.
Sasa haisemwi ni wanajeshi wangapi wa M23 wamekwisha kufa Kwa Sasa .
Tufanye hiyo idadi ya 600 wa M23 waliokufa si sahihi.
Je wenyewe hawafi?
Sasa tuje kwenye ukweli na data
Population of Tanzania 67.4 million
Population of Rwanda 14 .09milion
Utulivu wa kisiasa
Tanzania utulivu ni asilimia 100, Haina wakimbizi wa kisiasa wala wakimbizi waasi.
Rwanda Haina utulivu wa kisiasa Kagame Kila siku anaua wapinzani wake na wengine kuwafunga.
Viongozi wenye nguvu za maamuzi na kisiasa baadhi wamekimbia nchi na wengine amewaulia uhamishoni.
Ikitokea vita waafhirika wa kisiasa hawatakia upande wake
Makabila
Tanzania Ina makabila mengi yanaelewana na yana umoja
Rwanda Ina makabila machache, mawili makubwa na hayana umoja
Hata hivyo kabila la Kagame watusi na ndio anawayegemea ni wachache Rwanda ukilinganisha na wahutu wengi.
M23 inaundwa na watusi zaidi na maadui wa kagame walioasi na kukimbilia DRC ni waasi wenye asili ya wahutu.
Ikitokea vita sehemu kubwa ya wahutu hawatakua upande wake.
Kijiografiq
Tanzania Ina ukanda mrefu wa bahari hii Ina faida kuingiza mizigo,
Rwanda Haina bahari hivyo Haina bandari kuingiza mizigo.
Rwanda kwa Tanzania inaingia mara 40
Na kibaya zaidi imezungukwa na nchi kadhaa zenye mashaka nayo.
Ikitokea vita hata kua na nafasi nzuri ya kuingiza silaha
Vita ilizopigana
Tanzania imepigana vita nyingi na ngumu.
Rwanda imepigana vita chache na nyepesi.
Ikitokea vita Rwanda Haina uwezo kama wa Tanzania
Ikitokea vita kamili baina ya nchi mbili hizi Rwanda itashindwa.