Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

Hata akiilinda Kigali ni kazi Bure maana SA anauwezo wa kurusha ballistics long range na zikatua Kigali vizuri tu
Zikipita Zambia wanaweza kuzitungua kwa Sababu ni kama Zambia ni mshirika mkubwa wa Rafiki wa Kigali!!
 
Angalia umbali uliopo kati ya Dodoma hadi Ngara, halafu Ngara hadi Kigali.
View attachment 3225357

View attachment 3225359
Huyo jamaa yetu najuaa anajua ukweli lkn anataka kujifirahisha TU.
Ukweli hua haujifichi siku zote.
Kufa Kwa wanajeshi 2 wa TZ na 13 wa SA haimaanishi udhaifu wa majeshi hayo.
Sasa haisemwi ni wanajeshi wangapi wa M23 wamekwisha kufa Kwa Sasa .
Tufanye hiyo idadi ya 600 wa M23 waliokufa si sahihi.
Je wenyewe hawafi?
Sasa tuje kwenye ukweli na data

Population of Tanzania 67.4 million
Population of Rwanda 14 .09milion

Utulivu wa kisiasa
Tanzania utulivu ni asilimia 100, Haina wakimbizi wa kisiasa wala wakimbizi waasi.

Rwanda Haina utulivu wa kisiasa Kagame Kila siku anaua wapinzani wake na wengine kuwafunga.
Viongozi wenye nguvu za maamuzi na kisiasa baadhi wamekimbia nchi na wengine amewaulia uhamishoni.
Ikitokea vita waafhirika wa kisiasa hawatakia upande wake

Makabila
Tanzania Ina makabila mengi yanaelewana na yana umoja

Rwanda Ina makabila machache, mawili makubwa na hayana umoja
Hata hivyo kabila la Kagame watusi na ndio anawayegemea ni wachache Rwanda ukilinganisha na wahutu wengi.
M23 inaundwa na watusi zaidi na maadui wa kagame walioasi na kukimbilia DRC ni waasi wenye asili ya wahutu.

Ikitokea vita sehemu kubwa ya wahutu hawatakua upande wake.

Kijiografiq
Tanzania Ina ukanda mrefu wa bahari hii Ina faida kuingiza mizigo,
Rwanda Haina bahari hivyo Haina bandari kuingiza mizigo.
Rwanda kwa Tanzania inaingia mara 40
Na kibaya zaidi imezungukwa na nchi kadhaa zenye mashaka nayo.
Ikitokea vita hata kua na nafasi nzuri ya kuingiza silaha

Vita ilizopigana
Tanzania imepigana vita nyingi na ngumu.
Rwanda imepigana vita chache na nyepesi.

Ikitokea vita Rwanda Haina uwezo kama wa Tanzania

Ikitokea vita kamili baina ya nchi mbili hizi Rwanda itashindwa.
 
Akili Yako ndogo nimeishia hapo kwenye population ya watu yaani ulivyozuzu unafikiri kushinda vita ni wingi wa watu waliopo nchi kawachokoze Israel population yao 9M tu kama nchi Yako yenye population 67M haijageuzwa majivu
 
Hawana lolote mbwa hao.., , wapigwe kisawasawa.., na wakikimbilia RWANDA tunawafuata huko huko!, eti ndio walitaka Rais wa DRC ajishushe kiasi cha kuongea nao?!
 
Hawana lolote mbwa hao.., , wapigwe kisawasawa.., na wakikimbilia RWANDA tunawafuata huko huko!, eti ndio walitaka Rais wa DRC ajishushe kiasi cha kuongea nao?!
Wapi wewe wameshakutoa manundu na wanajeshi wako wameuwawa hakuna ulichokifanya kama unaweza wafuate goma sehemu waliyoishikilia kibabe sio kubweka humu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna kipindi Uganda ilikua inapitishia mizigo yake kwa urahisi bandari ya Mombasa kenya.
Waliingia mgogoro kuhusu kisiwa Cha minjingu kilichoko ziwa Victoria,Kenya inasema ni chake na Uganda inasema ni chake.
Bifu likawa kubwa Mu7 akaanza kufanya mipango bidhaa zake zipitie DSM badala ya Mombasa.

Sasa najiuliza Kagame akiingia vitani na TZ je mizigo (silaha) atapitishia Mombasa,Msumbiji,SA,NAMIBIA, ANGOLA AU DRC?
 
Hivi mtu aliyesema anataka kuivamia Kinshasa leo hii aseme kaghairi hivi hivi tu bila kuwa kapigwa viboko vizito?!
Kama amepigwa viboko mbona hivyo viboko haviendelei hamna kitu hapo kagame kaamua atulie kidogo maana Kila siku mnalialia kumtaja Ili msije mkamuaribua heshima yake anawasahaulisha halafu ataibuka tena kutembeza kichapo kama kawaida jiulize kwanini bado goma anaishikilia hivyo viboko si vingefika Hadi goma🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Siyo kusitisha kirahisi kihivyo.Wamehisi kuna moto mkali unakuja.
 
Siyo kusitisha kirahisi kihivyo.Wamehisi kuna moto mkali unakuja.
Hamna Cha moto Wala nini kagame mjanja maana kaona Kila siku mnalialia kumtaja kaona Hawa wajinga watanialibia heshima yangu kimataifa kwahiyo kawaambia m23 watumie kwanza waendelee kushukilia goma halafu wataaibika Tenga kutembeza kichapo m23 kama kawaida🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kabisa, sasa wanaghairi tu kivipi?!hawa hata kama wameamua kuacha mapigano, watafutwe popote walipo wamalizwe!!!
Huna ubavu huo sababu wapo hadharani hapo goma Sasa peleka pua Yako utamjua Cornell nangaa ni nani🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa ukanda huu, mtu yoyote mwenye akili hawezi kukomaa na JW na SA dhidi yake.
Mbona unaitetea jw inanini mana naona sa ndo wanakomaa Sasa hawa jw wanatoka wapi
 
Back
Top Bottom