Mzozo wa Ukraine: NATO yaanza kupiga jaramba

Hii ishu inanikumbusha enzi za kina Jumong na King Gwanggaetto wanaenda wanavamia maeneo ya watu na kujimilikisha
 
hicho kikosi ndio kilimwagwa pale afghanistan ila matokeo yake ilikuwa balaa
 
Kanusha kwa hoja basi.. kanusha nilichosema kwa hoja na acha lawama unaonekana ni low iq.. kanusha hoja yangu kwa hoja si kukimbilia ooh umeshiba.. soo what?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa. Tukiachana na shibe yako pia inaonekana huna uzazi. Yaani huna wajukuu wanaokutembelea ukawaona wakicheza cheza hapo uwanjani kwako ndo maana unaona ni sawa tu mwanadamu akiwa wipe out. Huna future linapokuja suala la uzao wako.
 
Nato wameimarisha ulinzi kwenye nchi wanachama ila hawataingia Ukraine kitu pekee walichoaihidi ni kumsaidia silaha kupambana yeye mwenyewe.
 
Mwenye akili ataelewa hii strategy inayotumika hapa.
NATO wapo kwenye aibu kubwa sana. Hayo wanayofanya ni kujibalaguza tu kwani wamekwisha chelewa sana. Sasahivi Russia wapo ndani ya mjingo hakuna kitu hao NATO wanaweza fanya
 
Hata hao wanajeshi wengi volunteers lazima watakuwa NATO. Ngoja tuone. Naamini Russia hawezi kuachiwa kama alivyoachiwa Crimea.
 
Siyo kashindikana yaani hana cha kupoteza, na Ukraine wao walikosea sana kuungana na matapeli NATO. Bora wangekaa wakayamaliza bila hawa wahuni ambao wanaishia kuogopa hata kupeleka wanajeshi
This is something most people don't understand
If USA step in it will be a total catastrophic disaster

Kwann
Possession of high advance technologies kama vile stealth bomber plane hizi ni ndege za kivita zenye uwezo wa kuinvade sehemu yyte bila kuonekana Kwa macho only quantum radars can detect them na n nch mbili tu ulimwenguni wenye technologies hiyo na sio hayo tu US has so many surprise that the world knows nothing about!

Je mnakumbuka mkasa wa Snowden,, in information technology US ilikua Ina uwezo wa kutambua taarifa zote za yanayoendelea kwa phone call,sms,emails na taarifa nyeti za ulimwenguni za mtu mmoja mmoja ,,,je mnadhani hiyo data base Kwa Sasa Haina uwezo wa kufatilia mikakati ya nnchi ya Russia Kwa Sasa???

Nuclear wars (hapa ndipo penye kisanga)
Embu tujikumbushe kidogo mjapan alipovamia pearl harbour n nn kilitokea je Kuna yyte ulimwenguni alieweza jua n nn kitawapata Hiroshima na gasaki???

Hapa tusimame pamoja ndugu zangu we are talking about nuclear wars sio vta kama ya 1, ya Dunia 40million people lost their life na ilipoganwa Kwa tanks , missile na risasi tu vipi vta ya 2 ambayo more than 50+ million people lost their life
Here we are talking about nuclear wars ,,wars that can destroy cities in a brink of an eye unadhani n wangap watapoteza maisha tusiwe washabiki na vibendera nje ya uwanja kushabikia vta Kwa kuonyesha nani yupo offside wakat mech hatuiwezi na tupo nje ya uwanja ,,,

Economic sanctions ni htr sana Kwa Russia japo Kwa Sasa wanaona hawawez athirika but trust me history has its way of proving itself ,,,kwenye masuala ya uchumi hapa najua wengi hamtanielewa lkn economic sanctions it's more than a war itself,,,hi inamaana gani Incase Russia decided to fight against nato and ikzdwa what will it means??? Kwa mwenye akili anaweza kutafakari na kuelewa
Let us all pray for peace
The world needs peace
We Tanzanian needs peace ✊✊
 
Walitakiwa wasivuke red line na kum undermine Russia. Chokochoko za USA za kutaka kumsogerea Russia kwenye mipaka yake. Hayo ndio matunda yake
Sasa mbona anayepigwa ni ukrain kama usa ndo aliyeleta chokochoko?
 
Yani watu wanamzungumzia Pitin kama Polepole kumbe una mzungumzia Rais wa nchi kubwa sana kijeshi technology pia ana mkuu wa majeshi ana waziri hasa wa ulinzi ana kila kitu
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ikapita siku saba kwenye huu mzozo bila urusi kutikiswa na yeyote miongoni mwa nchi za Ulaya ama Marekani... Basi itadhihirika kwamba Urusi hana Mbabe wake
Nayatunza haya maneno yako na pia naanza kuhesabu siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…