Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hicho kikosi ndio kilimwagwa pale afghanistan ila matokeo yake ilikuwa balaaHiko kikosi (task force) kinapelekwa Poland na huko Baltic states kwenda kuongeza nguvu na kulinda mipaka ya NATO. Hakiendi Ukraine, kulingana na taarifa za sasa, sababu Ukraine si mwanachama.
Ukraine itaongezewa silaha pamoja na misaada mingine kutoka nchi za NATO.
Sawa. Tukiachana na shibe yako pia inaonekana huna uzazi. Yaani huna wajukuu wanaokutembelea ukawaona wakicheza cheza hapo uwanjani kwako ndo maana unaona ni sawa tu mwanadamu akiwa wipe out. Huna future linapokuja suala la uzao wako.Kanusha kwa hoja basi.. kanusha nilichosema kwa hoja na acha lawama unaonekana ni low iq.. kanusha hoja yangu kwa hoja si kukimbilia ooh umeshiba.. soo what?
Sent using Jamii Forums mobile app
NATO wapo kwenye aibu kubwa sana. Hayo wanayofanya ni kujibalaguza tu kwani wamekwisha chelewa sana. Sasahivi Russia wapo ndani ya mjingo hakuna kitu hao NATO wanaweza fanyaMwenye akili ataelewa hii strategy inayotumika hapa.
🤣🤣🤣Eukraine si member wa NATO. Wanatengeneza mazingira iwapo Puttin ataamua kuigusa nchi member wa NATO basi liwalo na liwe wote mpaka wewe nyani gabu uelewe maana ya vita. Tuombe sana hawa viongozi wenye nuclear wasiwe vichaa wakaamua uamuzi kichaa.
View attachment 2131253View attachment 2131254View attachment 2131255
Walitakiwa wafanyaje wasiingie aibu😅NATO wapo kwenye aibu kubwa sana. Hayo wanayofanya ni kujibalaguza tu kwani wamekwisha chelewa sana. Sasahivi Russia wapo ndani ya mjingo hakuna kitu hao NATO wanaweza fanya
Hata hao wanajeshi wengi volunteers lazima watakuwa NATO. Ngoja tuone. Naamini Russia hawezi kuachiwa kama alivyoachiwa Crimea.Hiko kikosi (task force) kinapelekwa Poland na huko Baltic states kwenda kuongeza nguvu na kulinda mipaka ya NATO. Hakiendi Ukraine, kulingana na taarifa za sasa, sababu Ukraine si mwanachama.
Ukraine itaongezewa silaha pamoja na misaada mingine kutoka nchi za NATO.
Mpaka sasa hivi kashaachwa hakuna wa kumgusa Russia.Hata hao wanajeshi wengi volunteers lazima watakuwa NATO. Ngoja tuone. Naamini Russia hawezi kuachiwa kama alivyoachiwa Crimea.
Walitakiwa wasivuke red line na kum undermine Russia. Chokochoko za USA za kutaka kumsogerea Russia kwenye mipaka yake. Hayo ndio matunda yakeWalitakiwa wafanyaje wasiingie aibu😅
This is something most people don't understandSiyo kashindikana yaani hana cha kupoteza, na Ukraine wao walikosea sana kuungana na matapeli NATO. Bora wangekaa wakayamaliza bila hawa wahuni ambao wanaishia kuogopa hata kupeleka wanajeshi
Sasa mbona anayepigwa ni ukrain kama usa ndo aliyeleta chokochoko?Walitakiwa wasivuke red line na kum undermine Russia. Chokochoko za USA za kutaka kumsogerea Russia kwenye mipaka yake. Hayo ndio matunda yake
Nimekupenda bure leo umesimamia ktk ukweliHakuna jipya! Mikwara tu.
Putin keshaingia Ukraine na hakuna aliyemzuia.
Wameishia kuchonga midomo tu. Ooh sijui vikwazo…sijui nini…
Hakuna kilichomzuia Putin.
[emoji457][emoji16]Katika hili jaribuni kukubali tu kwamba RUSSIA kashindikana.
[emoji16][emoji16][emoji16]Yani watu wanamzungumzia Pitin kama Polepole kumbe una mzungumzia Rais wa nchi kubwa sana kijeshi technology pia ana mkuu wa majeshi ana waziri hasa wa ulinzi ana kila kitu
[emoji16]Hujamjua putin vizur kumbe.. huyo ni komando.. ni mwanajeshi halaf jasus.. akili yake akishakula bangi zake haelew kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nayatunza haya maneno yako na pia naanza kuhesabu siku.Ikapita siku saba kwenye huu mzozo bila urusi kutikiswa na yeyote miongoni mwa nchi za Ulaya ama Marekani... Basi itadhihirika kwamba Urusi hana Mbabe wake
Unaambiwa ukweli unaleta ujinga , nature ndio iko hivyo believe or notUmeshiba si kosa lako ni tumbo limezidiwa.
Kaniahangaza Sana [emoji16][emoji16]Kanusha kwa hoja basi.. kanusha nilichosema kwa hoja na acha lawama unaonekana ni low iq.. kanusha hoja yangu kwa hoja si kukimbilia ooh umeshiba.. soo what?
Sent using Jamii Forums mobile app
Let’s wait and see!Mpaka sasa hivi kashaachwa hakuna wa kumgusa Russia.