Sikiogopi kifo. Mda utafika tu na miaka ndo inasonga. Nawasemea hawa watoto wanaurukaruka hapa kwangu na wa majirani. Wajukuu na vizazi vya mbele vya dunia. Wana haki ya kuishi.
Ni Shida sana ukiwa na umasikini na uchoyo hadi wa pumzi kwa vizazi vijavyo, unataka tu dunia iyeyuke hata leo[emoji23]
Kama u mchoyo hupati, maana MUNGU hakupi mali kwa ajili yako, bali jamii yako. MUNGU anapitisha pesa kwa yule anayeona kuwa huyu ataigusa jamii, na huyo mtu anaonekanaga hata akiwa na kidogo.
Achana na mawazo ya kwamba wenye mali walijilimbikizia kwa njia isiyo halali.